Mrejesho kutoka kwa waliowahi kutumia dawa za nguvu za kiume

Dawa za nguvu kama vitamin au dawa za preasure au diabetic. Zote zinasaidia tu performance tako ..ukitaka ya kudumu hamna kabisa
nani kakwambia dawa ya kudumu ya nguvu za kiume haipo? mambo ya tiba za asili tuachie sisi. sio kila kitu uonyeshe ujuz hata km huna
 
Nimetumia zaidi ya asilimia 80 hazitibu trust me okoa pesa yako mimi nilitibiwa na mzee mmoja tena baada ya kukaa miezi minne bila kufanya ngono nilikuwa Chaputa mzuri...nkapona kwa dawa ya mzee mmoja sio mganga wala nini ni mzee tu wa miaka km 90 hivi arusha ndani ndani unaweza pona ila sio kwa ndodi,mwaka wala hao wengine wengine kibao wa hapo dar...nimetumia more than 2milion....tatizo la nguvu za kiume sa kwa njia ya punyeto na porno HAWANA DAWA HIYO...wapuuzie au nenda kaliwe pesa zako...

Mjomba naomba msaada nami nna tatizo hilo chanzo ni punyeto nna miaka 24 tu lakini cwez kitu... nisaidie japo nami nifike huko kupata tiba
 
Dah kwakweli hii thread leo imeniokoa. Nlitaka kufungua porn afu nijilipue na angalau bao moja nilale.....
Lakini nimeona eti punyeto nayo inasababisha kuwa mlegevu wa huku chini nimeogopa.

Asante mtoa mada.
 
Nimeona reo tushilikishane katika hili jambo ambaro linatutesa wengi duniani

Mimi ni miongoni mwa wahanga wa hili tatzo nlisumbuka saana kutafuta tiba kwa kuwa nlikuwa na uwezo wa kurudia tendo zaid ya Mara tatu rakini nawai kumaliza

Nlitaabika pamoja na kutumia gharama nyiingi na kunyweshwa vitu viingi skupata rusuisho

Nikakutana na mzee Wang mmoja alinisaidia kwa njia nyepeesi ambayo haina gharama

Kama ww ni miongoni mwa wenye tatzo la kuwai kifika kileleni Fanya hivi

Tafuta mbegu za maboga ambazo ni kavu zisafishe vizuuri alafu tafuna kama Katanga waweza zi Kaanga au ukara bila kukaanga

Pia tunaungana kuwa anae wai kumariza hata mbegu hutoa chache ivyo basi wakati unatumia mbegu za maboga jaribu kunywa na maji kwa wiingi matokeo utayaona baada ya wiki moja

Binafsi nimepona kwa kufanya hivyo tuu pia kma unaweza kupata na asari itakuwa ni vizuri zaidi

MaanA mm matokeo nimeyapata nkaona bora tudhilikishane nawe upone kifupi mimi saivi natamani hata kuacha kutumia condom maana huwa simalizi nachukuwa mpaka saa na zaidi

Mwenye kuitaji ajaribu Kama syo msaada kwako waweza pita
 
Hii dozi ni ya muda gn?!
 
Sihitaji bali nitaka kufaham ni kitu gani, kwetu kigoma dawa zote zipo hapa
Hahahhaaa hii huku Rwama tunaiita Bunga!dah hii ishazoeleka ila co nzuri kiafya ya nguvu za kiume, , kwan inaumaliza ule uwezo wa kawaida,mwsho wa cku bila bunga huwez kulast long kbsa,! Simshahur mtu kuijarb japo nishawahi ijaribu n ninayo,,for emergency use!!!!
 
Hahaha for emergncy!
 
Bado sijapata utaifiti wa kisayansi punyeto inahusian nini na kushindwa kusimamisha...mbona naona kama ndio inaomgeza speed na stamina..!bunyere inapigwa na mzigo unapigwa vya kutosha stamina ya kutosha na unaji control vizuri ku piz
 
Hahaha dah hii ishu Ngumu sana,kuna wale punyeto addicted hii mbaya sana, lkn kuna wale wanaoipga kabla real mechi ili kupunguza mzuka wa goli la kwnz hufanikiwa Kuwasaidia kukawia kufk kilelen ,
lkn kiukwel tusipotoshane huu mchezo ni mbaya n unahitaji kupgwa vita sana..
[HASHTAG]#Stop[/HASHTAG] masturbation....!
 
Hata weewe bado hujatoa jibu muafaka ubaya wake nini na umekiri kuna watu inawasaidia
 
Nimetumia zaidi ya asilimia 80 hazitibu trust me okoa pesa yako mimi nilitibiwa na mzee mmoja tena baada ya kukaa miezi minne bila kufanya ngono nilikuwa Chaputa mzuri...nkapona kwa dawa ya mzee mmoja sio mganga wala nini ni mzee tu wa miaka km 90 hivi arusha ndani ndani unaweza pona ila sio kwa ndodi,mwaka wala hao wengine wengine kibao wa hapo dar...nimetumia more than 2milion....tatizo la nguvu za kiume sa kwa njia ya punyeto na porno HAWANA DAWA HIYO...wapuuzie au nenda kaliwe pesa zako...
kakupa nini mkuuu
 
Bado sijapata utaifiti wa kisayansi punyeto inahusian nini na kushindwa kusimamisha...mbona naona kama ndio inaomgeza speed na stamina..!bunyere inapigwa na mzigo unapigwa vya kutosha stamina ya kutosha na unaji control vizuri ku piz
madhara yakehuja baadae baada ya miaka miano hadi kumi endelea na utafiti
 
Saikolojia kitu kibaya sana. Hivi huwa mnadanganywa kuwa hilo ni tatizo? Ukiwa kwa tendo punguza stress na kuona kitendo hicho cha kawaida sana ila ukiwaza sijui kibamia sijui nn huwezi kuwa na performance zuri sahau. Mbinu ni maandalizi ya kutosha kiongozi ili uendane na speed ya mwenzio
 
Back
Top Bottom