Mrejesho kutoka kwa waliowahi kutumia dawa za nguvu za kiume

orangutan

JF-Expert Member
Mar 21, 2014
759
772
Naomba wale wote ambao wamewahi kutumia madawa na mizizi ya kimasai na hawa waganga wa kienyeji wasioisha ili kuongeza urefu na unene wa pampu pamoja na perfomance ya kitandani waje hapa jukwaani watupe mrejesho kama kweli wamepata suluhisho la kudumu.
Nia ni kwamba tunataka tujue kama kweli hawa wamaasai na waganga uchwara wa nguvu za kiume kama mizizi yao inasaidia kweli ili nasisi wenye vibamia na perfomance ya dakika mbili tuwahi mapema tukapate tiba tuanze kuinjoi raha ya u-mandingo!
 
Hakuna ugonjwa mbaya kama ugonjwa wa kisaikolojia! ukiwa unaamini kuwa una umbile dogo na huna nguvu za kiume,basi wewe una tatizo kubwa sana la kisaikolojia,katika utafiti nilioufanya wa kawaida tuu,wanaume wengi bado wanaamini nguvu za kiume ni kuwa na kunio kubwa,au ku pee mabao mia,au kumliza mpenzi wako wakat wa kwichi! Nguvu za kiume ni uwezo wa kukidhi matamanio ya mwenzio,unaweza kwenda one shot but mwenzio akaenda two....three or more pamoja na kibamia chako
 
Naomba wale wote ambao wamewahi kutumia madawa na mizizi ya kimasai na hawa waganga wa kienyeji wasioisha ili kuongeza urefu na unene wa pampu pamoja na perfomance ya kitandani waje hapa jukwaani watupe mrejesho kama kweli wamepata suluhisho la kudumu.
Nia ni kwamba tunataka tujue kama kweli hawa wamaasai na waganga uchwara wa nguvu za kiume kama mizizi yao inasaidia kweli ili nasisi wenye vibamia na perfomance ya dakika mbili tuwahi mapema tukapate tiba tuanze kuinjoi raha ya u-mandingo!

Mbona hujiamini. Sema 'Mimi' usiseme 'sisi'.
 
Kijana wa miaka 20-35 utumie dawa za kuongeza nguvu za kiume Duuuu!!

Uache kula vizuri ukashiba.
Uache kufanya kazi za kutumia nguvu au mazoezi kufanya misuli ipate moto.
Uache kunywa maji ya kutosha ili mzunguko wa damu ufanye kazi vizuri.
Uache kupumzika kwa muda wa kutosha.
Uache kuvaa nguo zinazobana mapumbu au nguo nyingi zinazoweza kusababisha joto kunako pumbu.
Uache kupiga punyeto na kuangalia picha za uchi.
Uache unywaji wa Pombe kupitiliza na Uvutaji wa sigara kupitiliza.
Ulaji wa vyakula vyenye mafuta Sana.

Ukifanya mambo yote hayo sijui hata Kama utakuwa unafikiri habari za nguvu za kiume.
 
Nimetumia zaidi ya asilimia 80 hazitibu trust me okoa pesa yako mimi nilitibiwa na mzee mmoja tena baada ya kukaa miezi minne bila kufanya ngono nilikuwa Chaputa mzuri...nkapona kwa dawa ya mzee mmoja sio mganga wala nini ni mzee tu wa miaka km 90 hivi arusha ndani ndani unaweza pona ila sio kwa ndodi,mwaka wala hao wengine wengine kibao wa hapo dar...nimetumia more than 2milion....tatizo la nguvu za kiume sa kwa njia ya punyeto na porno HAWANA DAWA HIYO...wapuuzie au nenda kaliwe pesa zako...
 
Kweli!!! Wanawaibia sana watu
 
Kijana wa miaka 20-35 utumie dawa za kuongeza nguvu za kiume Duuuu!!

Uache kula vizuri ukashiba.
Uache kufanya kazi za kutumia nguvu au mazoezi kufanya misuli ipate moto.
Uache kunywa maji ya kutosha ili mzunguko wa damu ufanye kazi vizuri.
Uache kupumzika kwa muda wa kutosha.
Uache kuvaa nguo zinazobana mapumbu au nguo nyingi zinazoweza kusababisha joto kunako pumbu.
Uache kupiga punyeto na kuangalia picha za uchi.
Uache unywaji wa Pombe kupitiliza na Uvutaji wa sigara kupitiliza.
Ulaji wa vyakula vyenye mafuta Sana.

Ukifanya mambo yote hayo sijui hata Kama utakuwa unafikiri habari za nguvu za kiume.
Kat ya vyoote hvho punyere na porno ndio tatzo kwa walio wng
 
Kumbe hadi mjichochee na madawa? kumbe hadi mji chaji ndo nguvu zipatikane?.. ndo maana vijana mtaan wanasema akina mama watu wazima ni mteremko..
 
Back
Top Bottom