Mrejesho kuhusu Suzuki Jimny 2000

Hiki kigari shida hakipo stable hasa offroad kepesi mno sijui walikakosea chassis yake vipi.
Ila mkuu ungechukua ya 1.3L/1.4L manual isio na turbo ndo vina nguvu sana kote kambi!

Yote kwa yote hongera mkuu
Thanks man tatizo budget yangu Ilikuwa milioni 9 na sasa hivi naona vinazidi kupanda bei mkuu .unajua kipya ni 70 milioni?
 


Suzuki Jimny Safi Sana Manual Na Pembeni Kuna

Rashid Mfaume Kawawa (4WD) Maamuzi Magumu Unakongomeka (Waha)
 
Kweli mkuu.kuna siku mama mmoja aliniomba nimsogezee gari yake ya manual nikamwambia samahani sijui kuendesha manual gear niliona aibu sana
Hahahah maza alikuona mama mwenzie tu sema alikausha 😅 ulipoona stick shifter tu ukajiwahi fasta!
 
Mbona Serikalini wanaagiza Manual mkuu ,hizi hard top zote ni manual gear.na hizi za kwenda porini ni manual gear ..Hivi hizi Kilimo kwanza ni Manual au AT maana sijawahi hata kuchungulia huko ndani kukoje .
Nazo ni Manual mzee! Serikali haiagizi Automatics! Ukiona li Auto-matic jua ni specs za Mkurugenzi alizotaka wakati anaagiza la kwake
 
Thanks man tatizo budget yangu Ilikuwa milioni 9 na sasa hivi naona vinazidi kupanda bei mkuu .unajua kipya ni 70 milioni?
Sema naona ulidhamiria yakuagiza ila kwa hio bajeti yako ungepata escudo safi kabisa yenye power kubwa au hata escudo ile second gen.hizo ndo gari ndogo zenye 4wd ya uhakika,very economical,power,zina space zaidi kuzidi jimny!
Mil 70 kununua jimny ni kuchezea pesa!
 
Siku ukitaka kusukuma unijuze.
Hizi gari huwa naziota Kila wakati
Hizo hapo mkuu .
Screenshot_2021-10-20-19-09-24-067_com.ding.kupatana.jpg
 
Back
Top Bottom