Mrejesho kuhusu Suzuki Jimny 2000

Teknolojia Ya Manyo Kwenye Gari ni sawa na analogia kwenye Mawasiliano. Baada Ya Miaka Kadhaa Viwanda Vitaacha Kuzalisha.
 
Hello Team Magari ,

Asanteni sana kwa ushauri mlionipa nimefanikiwa kukiagiza hichi Jimny na kimeshafika nyumbani .

Kutoka Dar mpaka Arusha kilikula mafuta ya elfu 80000.mpaka kimefika nimetumia 9,7 milioni .Kutoka dar turbo Ilikuwa inafunguka kufika Bagamoyo ika stack.Ndio hiyo tuu shida kidogo tu.

Asanteni sana.

Hii manual gear inatesa sana sijawahi endesha hii gari .Mpaka natamani kuiacha nitembee kwa mguu View attachment 1979780View attachment 1979781
Hiki kigari shida hakipo stable hasa offroad kepesi mno sijui walikakosea chassis yake vipi.
Ila mkuu ungechukua ya 1.3L/1.4L manual isio na turbo ndo vina nguvu sana kote kambi!
 
Back
Top Bottom