desayi
JF-Expert Member
- Aug 27, 2017
- 3,286
- 5,460
Ushawahi kuendesha manual halafu iwe na cc ndogo ndo utajua nachokwambia ila Kama ni ma v8 ni huwezi jua mateso yakeYaani umeongea opposite.Kwahio manual inafaa kwa safari fupi?
Ushawahi kuendesha manual halafu iwe na cc ndogo ndo utajua nachokwambia ila Kama ni ma v8 ni huwezi jua mateso yakeYaani umeongea opposite.Kwahio manual inafaa kwa safari fupi?
Vijana punguzeni kula chips mayai, yaani kuendesha manual Dar - Arusha unalia lia? Sasa ukipiga Dar - Kigoma? Manual raha sanaaaaa na huwezi sinzia hovyo...Manual sio gari ukiwa na safari ndefu unafika miguu iko hoi ila kwa hizi gari ndogo ndogo
Hapo Huyo Kazoea AutomaticHahahahahah manual inazingua kule kupanga na kupangua gears yani haswa kama umezoea automatics! Maana ni kuweka D na kukanyaga kibatu tu😅
Afiche kwani kaiba?hongera sana ila ukiweza zuia namba za gari kuonekana
Na mimi nawashangaa mkuu..Hamjawahi kuendesha manual cars nyie. Unachoka vipi sasa mguu? Kwa kazi ipi hiyo?
Watu wote hapa nyumbani na kazini hamna mtu anayejua kuendesha manual mkuu.hata jirani .Hongera sana,kagari kazuri kama utakuwa unakaendesha mwenyewe maana kama madereva mkiwa wengi,hakatadumu...
😄😄 Mateso gani?Ushawahi kuendesha manual halafu iwe na cc ndogo ndo utajua nachokwambia ila Kama ni ma v8 ni huwezi jua mateso yake
Nenda kwenye edit picture then pitisha ufutio hapo kwa plate namba... Ila inatakiwa ufanye Kabla hujatuma picha...Embu nisaidie mkuu kuna namna wanaifuta
Tatizo mnataka sote tuwe sawa, jambo ambalo haiwezekani mkuu...Hii karne ya 21 kununua manual ni kurudi nyuma.
Mzee CC inauhusiano gani na bamzi? Kwamba ukiwa na CC kubwa unafukia tu matuta.Sio kwa gari hizi ndogo zenye cc ndogo Kila ukifika kwenye bamzi nikupunguza gear
Ukiendesha rav4 Ni sawa na vitz mkiwa kwenye tutaMzee CC inauhusiano gani na bamzi? Kwamba ukiwa na CC kubwa unafukia tu matuta.
Mbona Serikalini wanaagiza Manual mkuu ,hizi hard top zote ni manual gear.na hizi za kwenda porini ni manual gear ..Hivi hizi Kilimo kwanza ni Manual au AT maana sijawahi hata kuchungulia huko ndani kukoje .Hii karne ya 21 kununua manual ni kurudi nyuma.
Huna hoja ya maanaManual sio gari ukiwa na safari ndefu unafika miguu iko hoi ila kwa hizi gari ndogo ndogo
Ushawahi kumiliki gari manual au huna hojaHuna hoja ya maana
Faida ya manual car kwa kipindi hiki ni kuwa hamna atakaekuomba omba gari maana 90% ya kizazi cha leo hawajui kuendesha manual!Watu wote hapa nyumbani na kazini hamna mtu anayejua kuendesha manual mkuu.hata jirani .
Kweli mkuu.kuna siku mama mmoja aliniomba nimsogezee gari yake ya manual nikamwambia samahani sijui kuendesha manual gear niliona aibu sanaFaida ya manual car kwa kipindi hiki ni kuwa hamna atakaekuomba omba gari maana 90% ya kizazi cha leo hawajui kuendesha manual!
Hiki kigari shida hakipo stable hasa offroad kepesi mno sijui walikakosea chassis yake vipi.Hello Team Magari ,
Asanteni sana kwa ushauri mlionipa nimefanikiwa kukiagiza hichi Jimny na kimeshafika nyumbani .
Kutoka Dar mpaka Arusha kilikula mafuta ya elfu 80000.mpaka kimefika nimetumia 9,7 milioni .Kutoka dar turbo Ilikuwa inafunguka kufika Bagamoyo ika stack.Ndio hiyo tuu shida kidogo tu.
Asanteni sana.
Hii manual gear inatesa sana sijawahi endesha hii gari .Mpaka natamani kuiacha nitembee kwa mguu View attachment 1979780View attachment 1979781