Mrejesho kuhusu Suzuki Jimny 2000

Mavindozii

JF-Expert Member
Oct 20, 2012
2,111
2,759
Hello Team Magari , Asanteni sana kwa ushauri mlionipa nimefanikiwa kukiagiza hichi Jimny na kimeshafika nyumbani .Kutoka Dar mpaka Arusha kilikula mafuta ya elfu 80000.mpaka kimefika nimetumia 9,7 milioni .Kutoka dar turbo Ilikuwa inafunguka kufika Bagamoyo ika stack.Ndio hiyo tuu shida kidogo tu.Asanteni sana.Hii manual gear inatesa sana sijawahi endesha hii gari .Mpaka natamani kuiacha nitembee kwa mguu
IMG_20211019_165856.jpg
IMG_20211019_165922.jpg
 
Last edited:
Hello Team Magari , Asanteni sana kwa ushauri mlionipa nimefanikiwa kukiagiza hichi Jimny na kimeshafika nyumbani .Kutoka Dar mpaka Arusha kilikula mafuta ya elfu 80000.mpaka kimefika nimetumia 9,7 milioni .Kutoka dar turbo Ilikuwa inafunguka kufika Bagamoyo ika stack.Ndio hiyo tuu shida kidogo tu.Asanteni sana.Hii manual gear inatesa sana sijawahi endesha hii gari .Mpaka natamani kuiacha nitembee kwa mguu View attachment 1979780View attachment 1979781
Umeagiza au umemvua mtu?
 
Back
Top Bottom