Naomba uzoefu kuhusu Honda Fit

Yangu nimenunua $1,290 apo ukiweka na bank charges $60. Ko jumla inakua 1,350. Ila ikishafika bandarini nimeambiwa niandae kama 4 mill. Kwa ajiri ya TRA

Naweza ona picha yake kaka. Unaweza ziba plate number. What is your experience? Unajutia kuinunua? Mpaka hivi aasa changamoto zake. Ama ulishaiuza.
 
Bado ninayo na sijutii kuinunua

Okey. Mie nataka ninunue kwa mtu. Anauza 4 million TZS. Nilitaka tu feedback yako. Maana bongo kila sehemu Toyotaaa toyotaaaaa.... Nilitaka kuchukua VITZ tatizo shape yake mbayaaaa
 
Spare zake ni bei lakini ni imara. Unahitaji upate fundi mzuri pia.
 
Daaah. Hapo kwenye bei ndio naogopa kishenzi. Kuna mtu taa moja ya gari yake imepasuka. Anasema bei yake 400,000 mpaka leo kashindwa kununua. Nimesahau gari lakin sio Honda kama hii.

Ndio maana kumbe wengi wanajibanaga tu kwenye vitoyota
 
Hata TOYOTA Ukitaka spare original zina bei, sema uzuri wa toyota spare feki zipo nyingi ko zinauzwa bei ndogo sio kama magari mengine kama Honda, ndio maana ukikuta spare ambayo haina feki yake utakuta bei ni kama ya honda au Nissan tu. Mfano Taa, Bamper, Tank la mafuta n.k.

Uzuri mwingine wa Toyota, spare used zipo nyingi kwakua magari ni mengi na yanapata ajari/kuharibika hivyo watu wanafungua spare kutoka Gari A kwe da Gari B.

Mfano mimi napita kwenye barabara yenye urefu wa Km 9 vumbi na ni raster lakini nikifunga spare za miguu ya gari hua zinakaa zaidi ya miezi 8 hadi mwaka zinanigharim kama 250,000/= pamoja na ufundi.

Jamaa yangu ana toyota Spacio, tunaishi sehem moja yeye akifanya service ya chini ya gari inamgharim 80,000 hadi 120,000/= ila hajawahi kumaliza mwaka hajaenda kwa fundi either kubadirisha au kurekebisha vitu alivyo funga.

Kwa ujumla hapo kila gari ina pande mbili, ni wewe mwenyewe kuchagua.
 
Mkuu wangu chukua tu!! Honda ni gari nzuri na relatively ina bei ndogo kulinganisha na counter part zake za Toyota kama Vitz na ist!!!
Mimi nina Honda Fit Aria ya 2005 iko poa sana!!

Nizaidi ya mwaka mzima naitumia sijawahi kupata tatizo la kuifundi lililonihitaji kufunga spare/kifaa kipya!!! Labda kwa vile ni ya matumizi binafsi, kama ni ya biashara hapo sina experience.

Kaka habari. Bado unayo Honda Fit yako ama ulishauza, ama ilishaharibika, ama ushampa mtu (mke/ndugu).
 
Hao ma agent ndo wapigaji wazuri sana hapo unaweza kuta kashabania laki kadhaa
Acha stori za vijiweni. Kama ni rahisi na wewe fungua kampuni uwe agent. Usifananishe madalali wa viwanja na ma-agent wa magari.
 
Aisee, kumbe uko serious, unatafuta Honda?? Ukiagiza japan uta enjoy sana. Bei haizidi 8.3 Million. Jitoe ufaham mkuu, pesa makaratasi
Mkuu kwema kiongozi? Mkuu Mimi nimeizimia Honda Fit kinyama. Sema vitisho ninavyokutana navyo vinanivunja nguvu. Yahani kama mwezi hivi sasa napambana na roho yangu juu ya kuagiza au kuto kuagiza Honda fit. Kuna ndugu yangu anajua habari za magari nilimuomba ushauri akanikatisha tamaa sana kwamba hiyo gari spear hakuna na ukizipata bei yake ni ni kubwa mno. Naomba ushauri wako maana nimeona hapa miaka imepita toka umeanza kumiliki hii gari. Je, kuna changamoto yoyote unaipitia kwenye hii gari?
 
Mkuu chukua gari hiyo ni nzuri mnoo achana na hao wanaokukatisha tamaa. Ninahakika hautajutia, mimi ninayo mwaka wa tatu huu service nilofanya ni ndogondogo tu haina usumbufu kabisa.
 
Mkuu kwema kiongozi? Mkuu Mimi nimeizimia Honda Fit kinyama. Sema vitisho ninavyokutana navyo vinanivunja nguvu. Yahani kama mwezi hivi sasa napambana na roho yangu juu ya kuagiza au kuto kuagiza Honda fit. Kuna ndugu yangu anajua habari za magari nilimuomba ushauri akanikatisha tamaa sana kwamba hiyo gari spear hakuna na ukizipata bei yake ni ni kubwa mno. Naomba ushauri wako maana nimeona hapa miaka imepita toka umeanza kumiliki hii gari. Je, kuna changamoto yoyote unaipitia kwenye hii gari?

Hiyo honda fit nilimuagizia jamaa wa CRDB mpaka leo anayo sijawahi sikia ananipigia cm sijui imekuwa hivi,, chukua hutojuta mbona zambia Zimbabwe zimejaa honda fit watu wanatumia,,,, unajua miluzi mingi umpoteza mbwa,,, sema na nafsi yako inataka nini
Over
 
Mkuu wangu chukua tu!! Honda ni gari nzuri na relatively ina bei ndogo kulinganisha na counter part zake za Toyota kama Vitz na ist!!!
Mimi nina Honda Fit Aria ya 2005 iko poa sana!!

Nizaidi ya mwaka mzima naitumia sijawahi kupata tatizo la kuifundi lililonihitaji kufunga spare/kifaa kipya!!! Labda kwa vile ni ya matumizi binafsi, kama ni ya biashara hapo sina experience.
Mkuu samahani, vip kwa safari ndefu hizo honda fit mf dar to bukoba hazisumbui?
 
Back
Top Bottom