Mrejesho kuhusu Forex Trading: One step at a time, Safari ndio imeanza rasmi

Kabla hujashutumu ndugu fikiri!!!!

Majibu ya secretary anasema hajui ni lini they'll be in dar, so ulitegemea nisiulize kwa muhusika mkuu kama pale sikupata jibu ambalo halikuniridhisha?????
I know what am doing!!!!! So wewe nasubiri muhusika anijibu coz wewe huna jibu la swali langu!!!!!!!!!
Fresh mkuu
 
3e29c39ebd95dc01b506b0d3626f55ef.jpg

Lot size 0.01 - $29 per trade... Trust the Process.
 
You can make EXCUSES and earn SYMPATHY, OR
You can make MONEY and earn ADMIRATION.

The choice is always yours...
Mkuu wekeni vigezo vya hiyo biashara niwe na nini na nini, na niwe na elimu gani?
 
Mna patika wapi??? Me nimanza hadi kutrade on Demo off course kwa kusoma mwenyewe nna proper notice na material. Nataka kukutana na traders wengine walio serious. Naomba kujua nyie mko wapi!!
 
Ok.. Kwa mm mgeni kabisa nianze nini sasa?

Au niende tu mojamoja ofisini?
Anza na huu mtiririko..

1. Soma vitabu (vipo ukitaka wadau watakupa)

2. Piga demo account

3. The nenda kwenye training

All in all hivi ndio vitu vya muhimu kwenye hili gemu...

1. Your mentality. How can you handle stress and defeat?

2. Knowledge. Utaipata kwa kusoma zaidi na zaidi

Hata ukienda traning haimaanishi uache kusoma. Kwa kifupi kama sio mpenzi wa kusoma basi huku utaona pagumu!!

3. Capital

4. Pc au smartphone au vyote plus internet
 
Marketing manager wa TMT, upo Mzee baba
 
What is the principle? why consecutively short in this screenshort, how does he/she manage closing these positions? Nini response ya broker kwa mteja wake anayejikusanyia faida kwa consecutive short positions without a replica to buy? what is rule any way

3e29c39ebd95dc01b506b0d3626f55ef.jpg

Lot size 0.01 - $29 per trade... Trust the Process.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom