Mrejesho kuhusu Forex Trading: One step at a time, Safari ndio imeanza rasmi

habari tena wakuuu...mbna maelezo ya ontario na sectretary wake yanapishana...ontario alisema kwamba watu 300 wa mwanzo watalipia 65k as fee baada ya hapo watalipia 130k...but nmeongea na secretary wake kasema nilipie 130k then niaze darasa tar 2 octbr ...sasa najiuliza wikii hiii watu 300 wataishaje wakati ndo kwanza wapo batch ya pili na bado watu 100...?mweny uelewa hapa anieleweshe npo mkoani nataka nitimbe dsm
 
habari tena wakuuu...mbna maelezo ya ontario na sectretary wake yanapishana...ontario alisema kwamba watu 300 wa mwanzo watalipia 65k as fee baada ya hapo watalipia 130k...but nmeongea na secretary wake kasema nilipie 130k then niaze darasa tar 2 octbr ...sasa najiuliza wikii hiii watu 300 wataishaje wakati ndo kwanza wapo batch ya pili na bado watu 100...?mweny uelewa hapa anieleweshe npo mkoani nataka nitimbe dsm
Mkuu ungemuuliza tu akufafanulia. Ika

Training ya watu 300/ilianza tr za mwanzo za mwezi huu, kwa batch ya pili 100 ambao watalipa 130 itaanza next week tr 2. So that's how I understand.
 
Wote wanapata tuu faida ? Tunaanza kudanganyana sasa hapa
Ndoo maana ya mentorship boss kama Ontario alivyosema mwanzo utapata mentorship 6 months free means saiv tunatrade as a group so ukiona wote wanapata faida ujue hiyo ni Kaz ya group zima under guru Ontario na Sa mentors hiyo ni mpaka uive na uwe independent
 
Bora umejisalimisha mapema ndugu maana kuna wasauzi wametoka kwa Mzee madiba wanagonga yai lile kama la Britain...ukimangamanga unatoka kama ulivyokuja.

Ila njoo tu..kama hujaelewa unambana mswahili mmmoja after class the anakuvunjia baadhi ya terminology then unasogea mbele....kwa kutambaa, kukimbia, au kutembea haijalishi muhimu twende mbele tu mkuu.

Nakushauri njoo utajutia hela yako bro.
Nashukuru kaka kwakunipa makavu yenye faida kwangu
 
Wakuu mnaojibizana kuhusu forex;
1. Huwezi kumtetea simba, hujitetea kwa nguvu zake.

2. Huwezi kumtetea shujaa nguvu zake humtetea

3. Mfalme mwenye nguvu hujulikana na kuheshimika kwa nguvu zake.

MNAPOTUMIA NGUVU NYINGI KUJIBU MASHAMBULIZI
1. Mnaifanya forex ni duni..acheni ijitetee kwa bluu

2. Ikiboresha maisha yetu ni utetezi tosha.
Kwanini kumtetea mwenye nguvu????
 
Usipoteze mda wako kubishana na uyo Jamaa

iv una anzaje kufananisha betting na Foreign exchange trade??
umesha wahi kwenda kwny maduka ya fedha [Bureau De Change] pale mjini posta/mipakani uka jiuliza wana pataje faida?? ama upo upo tu kihasara unaleta hoja mfu isiyo na mashiko??

Wakuu mnaojibizana kuhusu forex;
1. Huwezi kumtetea simba, hujitetea kwa nguvu zake.

2. Huwezi kumtetea shujaa nguvu zake humtetea

3. Mfalme mwenye nguvu hujulikana na kuheshimika kwa nguvu zake.

MNAPOTUMIA NGUVU NYINGI KUJIBU MASHAMBULIZI
1. Mnaifanya forex ni duni..acheni ijitetee kwa bluu

2. Ikiboresha maisha yetu ni utetezi tosha.
Kwanini kumtetea mwenye nguvu????
 
Hahahaaa Java my favourite language. Sijaacha mkuu wangu bado na hustle nayo tena sana tu kiongozi!!!

Huku nipo tokea mwezi May nakimbizana na pips... Yaani napiga Java nikichoka naamia kwenye forex hahaha si unajua tena kiongozi!!!

Sasa mkuu hujachelewa... Java inapigwa kama kawa..pia forex inapigwa!! Kama hujaanza tafuta vitabu anza mkuu wangu!!
Najongea najongea mdomdo naja. Natumai tutaongea tu lugha moja
 
Nianze kwa kumshukuru Mungu kwa kuniweka hai mpaka mda huu...niseme kuwa Sir. Jeff tunashukuru sana kwa moyo wako wa busara na usio na uchoyo katika kutufungua macho katika elimu hii ya soko la Dunia , forex ...mimi nilianza nawe since day one nasoma kila kitu unachaposti japo sio mchangiaji mzuri katika forum...ila kwa fursa hii nilifungua masikio na ubongo wangu kupokea na kuifanyia kazi...Ijumaa tulimaliza darasa la jioni na jana nilianza live trading ..kiukweli kwa msaada tunaoupata huwezi pata popote kabisa...its more than team its a family its undugu ..hakuna mtu anaweza kumsaidia mtu kupata hela kwa gharama zero kabisa ...mie nasema gharama zero maana siku ya ufunguzi ile elf 65 niliimaliza pale pale.....mie niliwaona watu kibao wakipotosha ukweli kama akina mberoya na wengi kwa nia ambayo pengine wao hawajua au wanajua...ila Mungu kasimama nasi hata sasa ndio maana tupo hapa tulipo hongera sana Sir Jeff, Mr Blue aka Dr. , Mr Ria i'll not forget u guys...u hv done a mass impact positively now ...u can hear a lot of seminar all across the country...simply because of u Jeff, Mr Cre , Real and TmT in general...Tanzania youngth need this evolution more than ever.. jana ndio sio ya kwanza na nimeweza ku double account kwa mentorship yenu...stay blessed
Screenshot_2017-09-26-13-03-27.png
 

Attachments

  • Screenshot_2017-09-26-11-53-51.png
    Screenshot_2017-09-26-11-53-51.png
    27.8 KB · Views: 41

Similar Discussions

Back
Top Bottom