Mrejesho kuhusu Forex Trading: One step at a time, Safari ndio imeanza rasmi

Salute bosses

Awali ya yote ningeomba nitoe shukrani zangu za dhati kwa team nzima ya Jamii Forums. Bila hii platform kiuhalisia wengi wetu wangekua bado wapo gizani, nisingekua inspired kushare hii knowledge, apparently tusingefika hapa tulipofika. Siku kadhaa za nyuma mimi na team yng tulibahatika kukutana na baadhi ya viongozi wa JF, CEO - max, dada Ashadii, content manager na moderator. Natanguliza shukrani nyingi sana kwa ushauri mlionipa, we are on same page.
1e771369280db8c9d07d906f6dd81367.jpg

Pili, nitoe shukrani kwa serikali na taasisi zake kwa kazi nzuri wanayofanya. Jumatano wiki iliyopita, maafisa kutoka idara kadhaa walitutembelea ofisini ili kuweza kufahamu uhalisia wa tunachokifanya. Kiukweli walifanya kazi yao kwa professionalism ya hali ya juu sana zaidi ya matarajio yetu. Tulizungumza mambo mengi sana ikiwemo kupokea ushauri for the betterment of our operations.

Zaidi ya yote nitoe 5 kwa wote walioregister kwaajili ya forex mentorship and coaching programme inayoendelea ofisini kwetu TMT. Mmekua nasi ktk kipindi kigumu hadi sasa na kwakweli tuna furaha sana kwamba wanafunzi wa kwanza walioanza mafunzo wamekamilisha jana, na hii ni 1 ya feedback niliyopokea.

Morning SJ, I would like to thank you for last and this week's thorough and well organized training. The material was very interesting and the discussions were truly inspiring. I particularly enjoyed the visual illustrations, which made the content easily understandable.
f0a83c7b5c52a4478228a4f1f36c623d.jpg

Uzuri ni kwamba baada ya training ya darasani sasa tunaingia kwenye real global financial markets business, nitawashika mkono through the whole journey for a life time, kila kitu kuanzia stocks, indices, foreign currencies, commodities, precious metals nk nk. That's the only way we can make history together.

Safari imeanza

Mwanzo wakati naitroduce hii fursa ya global financial markets watu wengi walinibeza kwa kejeli na matusi. Jibu langu lilikua rahisi sana I will keep quiet until results start talking on my behalf. Wanafunzi waliomaliza jana darasa, tulitrade nao live darasani jana ijumaa.

Hizi ni baadhi tu ya hizo results nilizokua nasema tusubiri ziongee.

90108ba6749c1a09de6a95239c960d26.jpg
Huyu ni mwanafunzi aliyefungua account ya $100 sawa na 224,000 lkn jana pekee kapata faida ya $23 sawa na 54,000. Let's be honest, biashara gani itakupa faida hiyo kwa ratio ya mtaji huo. Mfano mzuri ni mtu aliyenunua boxer, anabidi awe na mtaji wa 2.5 mil na kwa siku hesabu yake ni elfu 10 tu.

6a205701623ecf122763ee4a309fd1d0.jpg
Huyu nae ni mwanafunzi aliyeanza kutrade jana. Imagine kwa mtaji wa 555,000 ndani ya siku 1 tayari kaingiza profit ya 123,000.

dac7dd9144f641e91048cfb775e560db.jpg
Huyu alifungua account ya GBP (Great Britain Pound), ambayo roughly thamani yake ni 200,000 lkn jana pekee yake kapata faida ya 70,000

5efad3a58459299c04da69da67413098.jpg
Huyu nae jana pekee yake kalala na 160,000 kama faida.

5122807b61e1a90da34a4623b7743fca.jpg
huyu nae alianza jana tu lkn utaona ana faida ya laki 1 in one day. Mtu mwenye coaster anayefanya biashara ya daladala anakula faida ya 80,000 kwa siku na service kibao.

Sasa kuna watu walikua wanapiga kelele kwamba tunacharge elfu 65, and it's clear wanafunzi wengi jana pekee yake wamepata faida zaidi ya mara 2 ya pesa waliolipia kwaajili ya training. Knowledge is EXPENSIVE anywhere on earth, nimesoma UDSM, mpk namaliza mkopo wa heslb ulikua almost mil 15. But mtu akiajiriwa hakuna miracle itatokea aweze kurudisha hiyo pesa in 3 years. Lkn kwa knowledge ninayoitoa mtu anarudisha fees ndani ya siku

Week ijayo tunaanza na wanafunzi wengine 100 kuanzia J3 hadi Ijumaa. The process goes on and on hadi ifike muda kua asilimia 40 ya vijana wanaweza kutrade global financial markets na kutumia knowledge watakayoipata kubadili uchumi wao.

Offer niliyotangaza ya kuchangia 65,000 imeisha, na sasa charges will apply. From now onwards baada ya wanafunzi 300 wa mwanzo kila atakayekuja itabidi ilipie fees ya 130,000. With this money utapata vifuatavyo;-

●1 week training about global financial markets

●Live trading during classes kama tulivyofanya na wanafunzi waliopita

●lifetime coaching, tutatrade pamoja all the time when we trap a trading opportunity in the market. Tutadiscuss pa1 charts analysis kila fursa inapoappear. (This is the best offer you will ever receive in ur trading career).

●Ukipata tatizo lolote, the office is open to help you all the time. Come through and you'll thank me later.

Office ipo Oysterbay, Jangid Plaza floor no. 2 office number 211. Ali Hassan Mwinyi, mkabala na Protea Hotel ya Oysterbay, right away mbele ya mataa ya St. Peters. Kama mtu anatumia public transport basi kituo kinaitwa Mbuyuni. Namba ya ofisi ni 0754 311 568.
ebb110d984fe6e6b2dd14075af906c3e.jpg
 
Duh! Kwa hiyo roughly huyu jamaa kwa siku katengeneza zaidi ya mil 3...are you guys serious?

This is an enlightenment era. I'm riiiiiiiich!
Ndio uone jinsi tulivyokua gizan kwa kutokua na taarifa... Sasa unamshangaa huyo kuna masela hapo bongeni kwa mandela wanazipiga kama hawana akili vile!!

Daah ni bahati mbaya tu kuna mambo mengi sana yanatokea hapa dunian ila hatuna habari. Yaani mtu unaenda kazin unakomaaa weee alafu mjinga mmoja anawaita "wapumbavu" hahhaaa!!

Mshahara huo huo unaoukomalia mwezi mzima mwenzako anakupigia ndan ya masaa machache!!

Tumetoka misri sasa tunaenda canaan na haturudi nyuma...
 
Mchukue mwenzako mliyeamuaa nae kujiziba macho makusudi... Wanaoelewa wataelewa hii kitu we jamaa.

Forex wakifanya banks,hedge funds, finance companies and other large corporation au hata wazungu tu it is fine, ila tukifanya sie TMT ni kubet... So banks, governments na hao wengine nao wanabet?
Wanabeti mkuu, ndio maana huwa wanapigwa hela.
"hawala ya fedha" ni salama sana, ila inahitaji mtaji mkubwa sana kwa miaka mingi, hupunwi hata kumi.
Fixed deposit ni salama pia, hupotezi hata senti.

Hisa ni tombola, forex ni betting yaani umepaswa kuelewa hii mambo.
 
ila kwa huu moyo wako wa kukomaa siku ukija huku utakua trader mzuri saana maana una elements za kuto give up...
Kuna wanaodhani nawapinga kufanya wanayoyafanya (trading)

Nawapa changamoto wasibweteke na watakapopiga hela wawekeze kwenye miradi mingine ili na sisi tupate vibarua vya ulinzi.

Manake sisi wengine kutrade ni kubeti na kubeti ni kamari, na kamari ni HARAMU.
 
PC yangu nimetoa windows OS baada ya kuona na waste time wenye mambo yasiyo na msingi... Sasa nimeamia Linux!!. Jua Java 9 imetolewa juzi kati tu hapo....

Hahhaa huku ni forex programming ntajuchek mida!!

Nakushauri sana anza kusoma you will never regrate kwenye forex!!
Thank you bro of mine.
1day I will talk in numbers with sound effects on positivity of FX
 
Kuna wanaodhani nawapinga kufanya wanayoyafanya (trading)

Nawapa changamoto wasibweteke na watakapopiga hela wawekeze kwenye miradi mingine ili na sisi tupate vibarua vya ulinzi.

Manake sisi wengine kutrade ni kubeti na kubeti ni kamari, na kamari ni HARAMU.
Zeroth law of thermodynamic

If A=B,and B=C,
Then A=C....haaaaaahaaaaa

Umenkumbusha 4yrs ago
 
110effae7ebb978661b5975e9126354f.jpg

Nilisema week hii nataka profit sio chini ya $8000. Let's see how it ends.
Pambana mkuu, bombadier imeshikiliwa canada, unaweza kuisaidia serikali kuikomboa.
Pambana mkuu tunaimani na wewe.
Benki kuu wanatuzeveza pamoja na midola yote kutoka ACCACIA.

Pambana mwana!
 
Wanabeti mkuu, ndio maana huwa wanapigwa hela.
"hawala ya fedha" ni salama sana, ila inahitaji mtaji mkubwa sana kwa miaka mingi, hupunwi hata kumi.
Fixed deposit ni salama pia, hupotezi hata senti.

Hisa ni tombola, forex ni betting yaani umepaswa kuelewa hii mambo.

Ndivyo unavofahamu, wafahamu vema.
Lakini si kila unachokifahamu wewe ndicho sahihi kuliko anachofahamu yule na yule. Hizo zote ulizosema ni monetary investments na hua zina risk zake vile vile. Huingizi tu hela zako kichwa kichwa eti hutapoteza kitu hapo, wrong. Na ndio maana kuna watu wanafanya hizo projections kwa uwekezaji wowote wa fedha kama ulivotaja hapo juu.
Hizo zote zimefanyiwa financial calculated risk, wewe unakwenda kuweka pale ambapo projection zinaonesha positivity na si vinginevyo, na wao watakuinvite au kukuruhusu pale ambapo wana uhakika na future returns.

Zamani watu walikua wanakwenda sokoni na viroba vya pesa, sasa hivi watu wanatembea na kadi tu wanamaliza kila kitu.
Huko kukaa kwako na kuamini kua ni hadi uwe na mtaji mkubwa kutrade forex ndipo ulipojifunga.
We deal on speculating currencies, na always umeshaambiwa kwamba trading on currencies involves significant risks. Kwenye hewala unaona ni mchekea maana watu washabeba risk yako, huku risk unaibeba mwenyewe, ni kama unapoenda kulima pale unalima at your own risk, ila bank hawakwambii deposit at your own risk.
Utakua mtu wa ajabu sana kama teknolojia unaifurahia kwenye magari na vipapaso tu, ila ikija upande mwingine unashupaza mishipa ya shingo tena kwa kitu ambacho huelewi ipasavyo. Read Read Read.
 
Kama ulichoandika ni kweli basi bombadier yetu inashikiliwa kwa uzembe wa benki kuu.

Ukimaliza kusoma hapo naamini kizunguzungu kimekutoka.
 
Kuna wanaodhani nawapinga kufanya wanayoyafanya (trading)

Nawapa changamoto wasibweteke na watakapopiga hela wawekeze kwenye miradi mingine ili na sisi tupate vibarua vya ulinzi.

Manake sisi wengine kutrade ni kubeti na kubeti ni kamari, na kamari ni HARAMU.

Una mawazo mazuri sana na nimekupata kwamba wasikae tu kwenye forex waanze pia kuwekeza kwingine!! Which is good!!

Mkuu... Ushauri wako tumeupata ... Ila...

Inawezekana kwa imani au dini yako unaamini forex ni kamari (which isnt true) but its okey for you lakin haimaanishi kwa wengine ni haramu...

Nakuomba tu, sio kitu kizuri unafanya hasa kwa kukashifu na kukatisha watu tamaa sio vizuri maana tumekatishwa tamaa na serikali kwa hiyo na wewe usiendelee kutukatisha tamaa.

Najua tuko wote kule jukwaa la siasa tunaipiga vita kijani maana wanatutesa kila siku

Sasa huku vijana tunajikwamua baada ya kukosa ajira na biashara zetu kufa!!

BTW nlizan wewe ndiye ungekua mstari wa mbele kumpa moyo ontario maana ameonyesha nia ya kuinua vijana ikiwemo wewe au ndugu zako!!

Una haki ya kukosoa pia una haki ya kutoa mawazo yako ila jitahidi usikwaze wenzako!!

Kama JK alivyosema "wapinzani sio maadui" basi ujue nyie wapinzani ni watu wa muhim kwenye huu uzi ila haimaanishi tunataka muendelee kuamini mnachoamini...

Sometimes we must agree to disagree na tuheshimu maamuzi yetu maana...

Kama kwako ni kamari we pita mbali tuache sisi tuendelee mkuu na siku ukijua sio kamari basi utakaribishwa kwa mikono miwili tuendeleze jukumu la kumsaidia KIPARA baada kushindwa kutoa ajira kwa vijana...
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom