ZionTZ
JF-Expert Member
- Oct 6, 2009
- 1,283
- 538
wakuu hata Mungu hajalazimisha watu kumfuata, yeye kawaapa uhuru wa kuchagua mema na mabaya...sasa kama Mungu mwenyewe hakulazimishi why binadamu akulazimishe...?? mwisho wa siku ni wewe na maisha yako...huyu ONTARIO ambapo humu mnamdhihaki ni upendo wake tu kuamua kutuletea hii fursa kutoka SA, kiukweli haya mambo si kwamba yalikua hayafanyiki bongo....sema wengi ni selfish...wahindi wanafanya forex trading kama hawana akili nzuri, washikaji kibao mimi nimekuja wagundua walikua wanafanya baada ya kuanza kuwapoa hizi habari njema....wakawa wananishangaa eti yani na ujanja wako wooote leo ndo umejua..? i was like wtf...am ur friend i saw this opportunity and decided to come and share kumbe nyie mnaijua hii fursa siku nyingi hamniambii....ndipo nikajua chanzo cha lavish life style yao...so take it from me, watu wengi ni wabinafsi kufa...yani they keep stuff to themselves hawana muda wala hawapendi kuwaambia wengine.
ontario will remain to be our hero, na ni ngumu mtu kuelewa why we all defend him ni mpaka uone jinsi maisha ya vijana especialy graduates na hawa waliopunguzwa kazi recently walivopata matumaini...mimi nipo na baadhi kwenye group moja kuna vijana in a day wanatengeneza 400usd....huyo ni mshahara wa mtu serikalini kwa mwezi mzima...mtu anapata 250usd in a day hivi dogo kama huyo ataanzaje kusumbua tena nyumbani?? so the more we invite our fellow brother n sisters the more we free them financially we call it economical freedom, si kwamba TMT wanataka kupiga pesa yako fanya research hapa mjini hupati shule ya forex chini ya 500k tzs(huyu ni mtu aliekua rahis kabla ya TMT ) mwenzake anacharge 500usd, lakini Ontario anacharge 65k na sasa hivi 130k its soo f*kn cheap...google hapo nchi jirani wanafanyaje...angalia SA ada yao shilingi ngapi...mtu ambae anaweza kufikia JF manake anaweza google pia. msitumie nguvu nyingi kutukanana my life has changed.
ni jukumu lako kujiangalia mwenyewe, mi nalipwa vizuri sana lakini salary haitoshi dependants wameongezeka, ndugu zangu wamepunguzwa kazini wazee wamestaafu hawajalipwa mafao, madogo wengine wameondolewa loan board, so ile nayolipwa nikiigawa haibaki kitu....lakini now am making roughly 200usd in aday kwa week si chini ya 650-800usd kwanini nisimshukuru ONTARIO na crew yake ya [HASHTAG]#TMT[/HASHTAG]?? its your life u r encharge of it no body will blame u for ur decision but yourself.