MREJESHO: Kinachoendelea Mpaka sasa

Mkuu kwanza nakushauri tena achana kukimbizana na huyu mwanamke wewe mpe nafasi ya kuchukua vitu vyake aende zake.... hebu pambana na moyo wako uache kumpenda huyo mwanamke na usifikirie kumsamehe ata kuua huyo hakufai... msahau kabisa lea mtoto wako.

Najua unampendaa sana huyo binti lakini hebu pambana usikubali kurudi nyuma.... mpe vitu vyake achana nae...
 
Kama uliweza kuutambua ukweli na ukashuhusmdia kwasasa chakufanya nenda kafungue mlango kusudi huyo Dada achukue vitu vyake, pia kama uliikua umepanga katika hiyo nyumba unaweza kuirudisha funguo kwa mmiliki Wa nyumba hiyo.
Usikate tamaa katika kumwomba Mungu Wa Mbinguni
 
Hongera ni hatua sahihi umechukua, kwa sasa fanya mchakato umrejeshee vitu vyako na siku ukienda tafuta jamaa/rafiki mwenye msimamo ambae hata ukitaka kurejesha upendo kwake akakumbushe ni nini unapaswa kufanya.
 
Unajua wewe unadhani kuachana ni kukomoana, hapana siyo hivyo.

Mtafute haraka mzee, akipata mtu wa kumshauri wakabomoa nyumba wakaiba vitu itakuwa mbaya kwako.

Maana nyumba haina mtu kwa sasa, ni rahisi kubomoa tena kwa mtu aliyekuwa anakaa anaijua vizuri.
Hio Ya Kubomoa hawezi i'm sure with it!!
 
Wakati nasoma hii thread mapigo yangu ya moyo yamebadilika kabisa.We Mwenyezi Mungu Niepushie kikombe hiki
 
Shida Sio Kupiga simu! nawaza hapa hata kama nimeamua nimrudishie vitu vyake maisha yaendelee should i be 1st kumcheki juu ya hili???
Piga simu Kwa yule polisi mwambie aongee na yule Malaya aje achukee kila kilicho chake then rudi Arusha.USIMTAFUTE TENA
 
Ndugu wengi yametukuta na mazito zaidi ya haya ya kwako lakini kwa busara na hekima tuliweza kushinda mfano mimi ndyomaana naweza hata kuandika now , but chakufanya hakikisha unaweka mazingira ya kiusalama umkabidhi vitu vyake umuache aende zake haijalishi unampenda kiasi gani utazowe tu , mimi niliachwa na watoto wadogo mno kisa ex wa mke wangu katoka nje kimasomo lakini nisha settle .
Nawasilisha
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom