Mrejesho: Kilichotokea baada ya mke wangu kurudi saa sita usiku

Alichokifanya ndio unachokifanya. Ngoma droo. Funika kombe mwanaharamu apite ili muendelee kulea watoto.
Acha kumpotosha, huyo mwanamke hata yeye angejua kama jamaa kamcheat angemaind na kutishia kuvunja ndo.
Mke mzinifu ni hatari sana
 
jamaa kimsboy alimpangia chumba bint mbali na yeye alalapo, sasa alipomwambia anataka aishi mwenyewe bint akaondoka, kwa matambo, ilipofika usiku ina maana bint kwa huyo bwana mwizi hawana pa kulala, ndipo akamtext kimsboy mbona funguo ya chumba hakuiacha
INAFANANA na ya kwangu nilipomsombea nyyumba ndogo kitanda na godoro kwa kosa la kuingiza vidume, sasa kaja usiku akakuta chumba kitupu kaangua yowe, leo kanitokea anaomba msamaha angalau apate pa kulala tu, hataingiza tena mtu kumsalimia
Sijamkubalia bado hasira kunichangia chungu kimoja na kibodaboda, ingawa nami nina mke anayenihitaji kila night, nimemruhusu aolewe kanijibu wanaume wa kuoa hawapo, DUH WANAWAKE KZ IPO KM HUPO ANAJISUUZA NA YOYOTE
kimsboy ndo mimi alafu sijijui nini mkuu mbona same story yaniiii 🤣 🤣 🤣
 
Dada...
Kutombewa sikia tu...
Usiombe hiki kitu kimkute ndugu yako yoyote wa kiume...
Kika mwanafamilia roho itamuuma..

Sijui kwa nini wanaume tuliumbiwa wivu huu..?

Na ukitombewa, omba usijue..
Tatizo la kuwa na mwanamke mmoja ndio hilo
 
Achana na hiyo kondoo kifuatacho atakuua, mwanamke akifikia kuvua chupi kwa mwanaume mwingine huyo sio wako, jitenge na shetani man au komaa utazikwa
Kwahiyo mwanaume yeye hawezi kuua hata akiwavua wanawake wa wengine huko? Yeye mwenyewe alikuwa anaenda kumvua mtu wakamuahi wenzio akaenda kuchojolewa na mwingine, kumbe na huku kwake taa nyekundu inamwekula mwekula
 
Ila kiuhalisia wanawake walipewa mioyo ya kipekee kabisa unajua unaeza ishi na limtu lina michepuko ukavumilia adi mwishowe ukawa sugu ata afanyeje unaumia kiaina afu unaendelea na mishe zako ilimradi watoto wakue katika malezi ya baba na mama usiwaathiri
Finali uzeeni , ukiona Baba anaonekana kama zuzu vile tambua maisha ya ndoa enzi ujananani alikuwa mdangaji hivyo mama sahizi zamu yake, kutesa kwa zamu.
 
Kuzae nae sio issue... Huwez kuish na mtu mpuuzi hivyo... Ndo kitu gan bwana? Uishi kwa stress na kinyongo kisa ndoa...? ACHANA NAE ISHI MAISHA YAKO watoto ukiweza wachukue ukishindwa muachie utakua unahudumia
 
kimsboy ndo mimi alafu sijijui nini mkuu mbona same story yaniiii 🤣 🤣 🤣
Post # 553
kuna mwanamke niliamua kumpangisha mpaka chumba siku moja tupo wote akawa anachat na kajamaa kake mpaka jamaa akamwambia vip mshkaji hayupo?? kaka jibu acah kumzungumzia tufanye yetu… Jamaa akamwambia nakupenda sana japo wew mke wa mtu demu akamjibu nakupenda piaa yani nilivyoona zile msg niliomba sana Mungu anipe uvumilivuu maana siku ile ningeuaa walahii… kesho yake nikamwambia nataka kuishi mwenyewe kwa sasa yani hata hakakuniuliza kitu kakaacha funguo kakasepa na vitu vyake sasaa ubaya Usiku sijui jamaa ake alikuwa hana geto kanaanza kuniuliza mbona nimerudi umefunga mlango
🤣 🤣 🤣 WANAWAKE HAWA KAMA HUNA MOYO MGUMU WALAHI ATAKUENDESHA SANA
hapa ndipo nilipofananisha na story /matukio yangu, nampangia chumba ili nijimilikishe nyumbani pakichafuka yeye naye anaingiza. Kuna member amepost #559 anakuomba si ungempa funguo aendelee kulala, ndipo nikajaribu kumfafanulia huenda hulali hapo ya mbele hukumalizia km ulirudi kwa wife au mchepuko ni wife material
 
Baada ya mimi kurudi home siku ambayo wife hakutarajia ntarudi ,sikumkuta nyumbani na nilipompigia simu yy alijibu yupo home anaangalia tamthilia.

Nimekaa kuanzia saa moja usiku mpka saa sita usiku ndio anatokea,
Alipatwa na kama bumbuwaz hiv hakuamin km nipo home nilimnasa vibao akadondoka chin na kuomba nimsamehe haja fanya chochote kibaya

Nilimsikiliza lakin hakuwa na hoja yeyote ambayo inarizisha ukamwelewa yeye alisimamia msimamo wake huo alikuwa kwa shoga yake walikuwa wanaangalia muvi ndio maana kachelewa.

Alivyofika tu chakwanza kawahi kuchukua ndoo aende bafun akaoge niliamin kweli tayar kashaliwa
Sikumkagua huko chin sikuona km kuna haja ya kufanya hivo maana ni km uzalilishaji jibu linaonyesha tu ametoka kuliwa,alivyo maliza kuoga ,

Nikachukua simu yake na kumwambia toa password akawa hataki nikapiga ngumi ya uso akatoa password niliyo yakuta humo unaeza kuzimia,

Moja nikaenda kwny calls nikakutana na calls za jamaa za saa kumi na mbili kamili jion

Pili hamna calls hata moja inayo husisha rafiki yake inayo onyesha jana waliwasiliana kukutana

Tatu kwny whasp msg nikakutana na zajamaa pia na waliplan toka saa tano asubuh nilitaka niziweke humu but nimeshindwa kuweka ila ilikuwa km hivi

Jamaa:hey beautiful missed you

Mke: hey baby missing you more

Jamaa: missed your voice sana

Mke : thanks uko free leo?
Jamaa: yes tuonane bas please
Mke:eek:k ntakwambia.

Hiyo ilikuwa mida ya saa tano hivi asubuh hapa nakumbuka wife alipiga simu km mara 3 nikawa sikupokea nilikuwa kwny bus narud Dar na nililala nikakuta tu msg anasema
Hey baby nataka kujua unaendeleaje na unarudi lin? hapo nilimjibu Jmos usiku hiv akasema poa

Kwny saa kumi na mbili alimtafuta jamaa tena

Mke : hey uko wap tunakutana wap?
Jamaa:maaeneo ya studio kuna sehem inaitwa garden nini sijui..
Mke:poa

Mke mida hiyo ndio kaenda na calls za jamaa ni kama saa 1830hrs nafikir alikuwa akimwelekeza

Yote hayo na msg zote hizo bado wife hajakubali km alikuwa kwa jamaa amekataa katakata

Msela aliye kutana nae kamsave LivingStone nakumbuka wakati tunakaa kijitonyama tulipanga nyumba moja na rafiki zake Mallow walikuwa wakiimba hapo na kuvuta bangi tu ile nyumba tulikuja kuhama hata kodi haijaisha na sikujua haswa tatizo nini pale ila alisistiza tu tuhame maji ni shida , nikasema poa nilitafta sehem nyingine nikalipa

Pale tukapangisha mwingine, mke alikuwa akiwasifia sifia anasema wajua kuimba ila bado hawajatoka kimziki but sikumzingatia ila namba
Wamepeana huko na ukichek jamaa ni yupo yupo anahaso na mziki mambo ya gym Bangibangi tu

Ila ndio hivo kila kitu kinamwisho wakuu akili kwangu kichwani wife kaliwa na and aground wa mziki sijui kwann wanawake wanapenda masela tu mambo ya gym nashangaa sana mtu kama huyo kuvunja ndoa yangu nipo nae toka 2016,

Wakuu ambo mko kwny ndoa mnanishaur nini?
hapa itabidi kutumia busara sana nmefanya nae vitu vingi na huyu manzi leo huu analiwa kimasihara tu inauma sana,

Cha kushangaza alimpigia simu jamaa ,alivyopokea tu jamaa inaonyesha ni wapenz na jamaa alikana ndio ww sio mpenz wangu but sio lazima niwe mpenz wako ndio ufanye .

Watoto wangu wawili mdogo ana 2years na mkubwa 4years wataishi bila Baba na mama pamoja inauma ila ndio itabid iwe hivo

Sintafanya haraka ntamwacha hapa kwny hii nyumba mimi ntaenda kupanga kwingine but watoto wangu atabaki nao yeye bado ni wadogo na ntafocus kuwahudumia na kuwasomeshe but
Itakuwa ngum sana kuwa nae tena wife haswa unapojua ameliwa na mtu wa dizan gan

Usaliti ni kitu kibaya sana wakuu leo hii Livingstone anavunja ndoa yangu hivhiv naona na katika kuchepuka kote sijawahi toka na mke wa mtu Kwann lkn imetokea kwangu?

Story hii ni ya kweli Mungu shahid hakuna nilipo ongeza japo sijaweza kuongea yote yalio tokea sintomaliza,

Hoja zake kubwa
1/ alifanya hivo kujifrahisha nafsi na haimaanishi alienda kwa jamaa
2/Kanitajia wanawake ambao yeye anahis mimi natoka nao katika hao mmoja niyule mchepuko wangu which is true
3/ jana alitoka kwenda kwarafiki yake kwa kuwa aliboreka home alikuwa alone

Hapaameamka na kwenda zake kazin na ubaya tunafanya sehem mmoja kaz,

Imeniuma sana wakuu sijalala kabisa leo hii iskie tu kwa mtu

Nawasilisha mtanisamehe kwa uandish nimevurugwa sana.

Unashauriwa kusoma kisa kilichotangulia: Leo nahisi mke wangu anachepuka huko alipoenda
Ulivyo muoa alikuwa bikra au ulikuta teyari ngoma wazi
 
Back
Top Bottom