Mrejesho:house girl wa Uganda

xfactor

JF-Expert Member
Jan 25, 2014
1,511
1,287
Baada ya lile tukio la house girl wa Uganda kumtesa mtoto heshima imerudi kwa walinda Nyumba.

ImageUploadedByJamiiForums1416961481.337446.jpg
 
Sio ajabu watoto wakike wote wanaanza ngono mapema na wakiume wanakua Mashoga. Hayo Mambo ya housegirls na Ma houseboy.
 
Mwenye tabia yake haachi hata umbebe na beleko ya chuma bado ataendelea tu
 
Umeonaee...Wazazi yaani wanatakiwa waamke...mambo ya kuwaachia hgirls Twenty four seven waache...wakague watoto kila siku

Sio ajabu watoto wakike wote wanaanza ngono mapema na wakiume wanakua Mashoga. Hayo Mambo ya housegirls na Ma houseboy.
 
Aaaaaahh wapi bado masikio hayawezi kuzidi kichwa, isipokuwa kwa taahira tu....
 
Back
Top Bottom