Ki vp mkuu.
Baada ya lile tukio la house girl wa Uganda kumtesa mtoto heshima imerudi kwa walinda Nyumba.
View attachment 205662
Alituma comments kabla hajasoma sio kosa lake.Upo nyuma ya dunia
Sio ajabu watoto wakike wote wanaanza ngono mapema na wakiume wanakua Mashoga. Hayo Mambo ya housegirls na Ma houseboy.
Sio ajabu watoto wakike wote wanaanza ngono mapema na wakiume wanakua Mashoga. Hayo Mambo ya housegirls na Ma houseboy.