Baada ya kuandika Uzi kuhusu kuwa na tatizo LA mgegendo kuwa legelege watu wamekuwa hawaelekezi hospitali wala mtaalamu yoyote, nimekosa ufumbuzi maana nilihitaji kujua kama naweza kupata huduma ya matibabu katika hospitali IPI kwa hapa dar au kwa mtaalamu yupi anaweza nisaidia, naamini haya matatizo ni ya kawaida katika jamii yetu kwa hiyo kuna watu wana uzoefu NAyo kwenye familia au marafiki au watu wao wa karbu naomba kujua walifanyaje maana nateseka sana aisee na nawa haidi kuwaletea mrejesho baada ya kupata tiba kamili.....natanguliza shukrani kwa wote mlioshauri katka Uzi wangu mwingne