,Ya kwangu mbona hali umeme kabisaPasi pia inakula sana umeme pamoja na washing machine.

Mkuu acha visirani. Hapa ghetto nikakoishi wadada wakiwepo wikiend umeme unaotumika kwa siku ni ule unaotumika kwa siku tatu wasiposhinda.Umesahau nyumba zenye jinsia ya kike wengi. Wananyosha sana, wanaoga maji ya Moto sana, wanapenda kuweka viporo kwenye friji na kuvipasha kwenye microwave.
Nunua tu mashine haili umeme kabisa. Tena friji inakula umeme kuliko machine.Nilikuwa na mpango wa kutafuta washing machine ya 9kg kumbe naongeza matumizi makubwa.

Mkuu mimi majuzi nimenunua pasi iliyoandikwa power:300W. Nimefahamishwa kwamba hiyo 300W inamanisha pasi itatumia 0.3unit kwa saa moja. Sasa naomba unisaidie kujibu maswali yafuatayo kwa mpandilio wake:
1. Kama nikiwasha hiyo pasi na kunyoosha nguo mbili ndani ya dakika kumi na kuzima pasi nitakuwa nimetumia unit ngapi?
2. Kama nitawasha hiyo pasi na kunyoosha nguo nyingi kwa saa nzima mfululizo bila kuzima pasi hata mara moja nitakuwa nimetumia unit ngapi?
3. Kama nitawasha hiyo pasi na kunyoosha nguo lakini nikawa nazima pasi na kuiwasha tena kila baada ya dakika kumi ambapo ndani ya saa moja nitakuwa nimeiwasha mara sita baada ya hiyo saa moja nitajikuta nimetumia unit ngapi?

Ahsante sana. Hapo swali la 1 nadhani ulimaanisha 0.05 (yaani 0.3 unit/ dakika 60 x dakika 10) badala ya 0.005. Na kwa bei ya Tsh. 356 kwa unit moja ina maana nitatumia Tsh. 18 tu kunyoosha nguo zote mbili kwa dakika 10!1.Dakika kumi na kuzima pasi nitakuwa
nimetumia unit ngapi?
0.005 unit
2. saa
nzima mfululizo bila kuzima pasi unit
ngapi?
0.3 unit
3.
Elezea unaizima kwa dakika ngapi na unaiwasha kwa dakika ngapi ndani ya hiyo saa moja
😂 😂 😂 😂wanapenda kuweka viporo kwenye friji na kuvipasha kwenye microwave.
Hapana, kuna mtoto mdogo.Kwani wewe dobi mpaka ufue kila siku?
Pasi pia inakula sana umeme pamoja na washing machine.
Hapa aligusia ubovu/uchakavu ambapo kwenye frij hupenyeza gesi nakusababisha kupoza kwa muda mrefu na ges kuisha haraka pia....Rejea matumizi ya raba kwenye milango ya frij/friza....Mwenye mada anamajibu mazur zaidi.
Mkuu mimi majuzi nimenunua pasi iliyoandikwa power:300W. Nimefahamishwa kwamba hiyo 300W inamanisha pasi itatumia 0.3unit kwa saa moja. Sasa naomba unisaidie kujibu maswali yafuatayo kwa mpangilio wake:
1. Kama nikiwasha hiyo pasi na kunyoosha nguo mbili ndani ya dakika kumi na kuzima pasi nitakuwa nimetumia unit ngapi?
2. Kama nitawasha hiyo pasi na kunyoosha nguo nyingi kwa saa nzima mfululizo bila kuzima pasi hata mara moja nitakuwa nimetumia unit ngapi?
3. Kama nitawasha hiyo pasi na kunyoosha nguo lakini nikawa nazima pasi na kuiwasha tena kila baada ya dakika kumi ambapo ndani ya saa moja nitakuwa nimeiwasha mara sita baada ya hiyo saa moja nitajikuta nimetumia unit ngapi?
Mkuu unaweza ku comment chochote kuhusiana na post yangu nyingine hapo juu # 49?Pamoja
sawa sawaHapa aligusia ubovu/uchakavu ambapo kwenye frij hupenyeza gesi nakusababisha kupoza kwa muda mrefu na ges kuisha haraka pia....Rejea matumizi ya raba kwenye milango ya frij/friza....Mwenye mada anamajibu mazur zaidi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Anamaanisha kwamba kama kiongoza joto na baridi kwenye friji ni kizima ila mipira ya mlango wa friji ni mibovu inaruhusu baridi kutoka nje friji litafanya kazi muda wote pasipo kuzima..
Sent using Jamii Forums mobile app
.....afu wakiota vitambi mara wanaanza "oh nini" sijui huko!Umesahau nyumba zenye jinsia ya kike wengi. Wananyosha sana, wanaoga maji ya Moto sana, wanapenda kuweka viporo kwenye friji na kuvipasha kwenye microwave.