Mrejesho: Hatimaye nimempata yule ndege anayetoboa kwenye miti mikavu

Wakuu poleni na kazi!!kama mtakumbuka kuna uzi humu niliwaomba wapi nitapata yule ndege anaetoboaga matundu kwenye miti mikavu nawashukuru sana mlionipa mwongozo yule ndege nimempata hukoo ikwiriri vijijini!asanteni kwa ushauri wenu!!
weka picha yake mkuu
 
Bahati mbaya sikuona huo uzi najua mahali wapo!!

Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
 
Wakuu poleni na kazi!!kama mtakumbuka kuna uzi humu niliwaomba wapi nitapata yule ndege anaetoboaga matundu kwenye miti mikavu nawashukuru sana mlionipa mwongozo yule ndege nimempata hukoo ikwiriri vijijini!asanteni kwa ushauri wenu!!
Jee ni huyu..? tupe faida yake mkuu.....
upload_2016-7-19_16-28-34.jpeg
 
Eheeeeee baba ndo huyo huyo tena na kikonye ndo hicho hicho asee daah!!ila nishapata nimepata namba 2 yaje ila sio mbaya zoezi linaendelea!!!daa ila kanidonoa sana asee anang'ata balaa
 
Picha picha picha ni muhimu na kwakuwa umempata kama ulivyoomba msaada wa kumpata na umefanikiwa basi tueleze faida yakeze.
 
Mkuu bado kitu kimoja nimalize shughuli zangu kama nikifanikisha nitaleta mrejesho!!!
 
Back
Top Bottom