weka picha yake mkuuWakuu poleni na kazi!!kama mtakumbuka kuna uzi humu niliwaomba wapi nitapata yule ndege anaetoboaga matundu kwenye miti mikavu nawashukuru sana mlionipa mwongozo yule ndege nimempata hukoo ikwiriri vijijini!asanteni kwa ushauri wenu!!
Jee ni huyu..? tupe faida yake mkuu.....Wakuu poleni na kazi!!kama mtakumbuka kuna uzi humu niliwaomba wapi nitapata yule ndege anaetoboaga matundu kwenye miti mikavu nawashukuru sana mlionipa mwongozo yule ndege nimempata hukoo ikwiriri vijijini!asanteni kwa ushauri wenu!!
Kumbe huyo ndege ni dawa ya kupandishia watu vyeo!kwa hiyo karibia unapandishwa cheo?
hahahahahaaaaaaKumbe huyo ndege ni dawa ya kupandishia watu vyeo!
Picha picha picha ni muhimu na kwakuwa umempata kama ulivyoomba msaada wa kumpata na umefanikiwa basi tueleze faida yakeze.Eheeeeee baba ndo huyo huyo tena na kikonye ndo hicho hicho asee daah!!ila nishapata nimepata namba 2 yaje ila sio mbaya zoezi linaendelea!!!daa ila kanidonoa sana asee anang'ata balaa
Siyo huyu mkuu,mwenyewe ni mdogo sana,kwetu sikonge vijiji vya usunga one ,usunga two,mibono,wapo wengi sana,tunawaita NKONG'ONTIJee ni huyu..? tupe faida yake mkuu.....
View attachment 367641