Mrejesho: Hatimaye nimeanza kung'aa kisawa sawa

Dada angu yaani mara mia ungepaka ata carolight kuliko hiyo lotion mwanzo utang'a a sana kama ulivyo hvo ila subir ukate mwezi utajuta kutumia hyo creme. Kwanza utatoka chunusi kubwa kama majibu, pili white spots zitakujaa miguun, tatu ni creme yenye hydroquinon nyingi sana japo kwenye kopo lake wameandika "with no hydroquinon" .. ushaur wangu achana nayo mara moja tafuta lotion nzuri ambayo haina kemikali.
Tena nadhani wamefanya reparking kwa ajili ya soko la Tanzania ambalo limepiga marufuku hydroquinone, sidhani kama TFDA huwa wanazipima content hzo lotion
 
Mko poa?
Weekend inaenda poa sana huku nilipo
Mambo yamekua mengi muda mchache
Niliwahi kuleta uzi hapa kuhusu lotion gani nzuri nipake niweze kung'aa yaani ya kung'arisha ngozi
Rejea uzi huu
nilishauriwa sana nikahangaika wee mwisho wa siku nimeipata hii inaitwa Perfect white ni nzuri balaa week moja tu nilianza kuona changes week ya pili nikang'aa

Sasa hv nimeitumia km week kadhaa hivi kiukweli nimeng'aa vizur sana rangi nzuri ya maji kunde Nani asiyetaka kupendeza?
Nilishauriwa nijaribu caro light,carotone,dodo lakin nikagundua zimepigwa marufuku na Tfda na pia zina hydroquinine

Kwahiyo sasa hivi napaka hii perfect white tu
ILA:Sitangazi biashara isije ikaambiwa natangaza biashara maana hamkawii kusema nimeleta tu mrejesho baada ya kuuliza sana na kuhangaika sana humu kuuliza ni vizuri tulete mrejesho.
Mambo ni mareshi
Haunywi vidonge kweli wewe? Usije ukawa unachanganya mambo!
 
Picha Pls
 
Dada angu yaani mara mia ungepaka ata carolight kuliko hiyo lotion mwanzo utang'a a sana kama ulivyo hvo ila subir ukate mwezi utajuta kutumia hyo creme. Kwanza utatoka chunusi kubwa kama majibu, pili white spots zitakujaa miguun, tatu ni creme yenye hydroquinon nyingi sana japo kwenye kopo lake wameandika "with no hydroquinon" .. ushaur wangu achana nayo mara moja tafuta lotion nzuri ambayo haina kemikali.
kabisa kabisa na ushahidi na walotumia na wakawa hivyo
 
Acha tu inizoee
Kwa mfano
B115E737-AE22-47B2-8970-8DBD0DD7E43E.jpeg
 
Mi Natumia Vaseline Lotion ile ya rangi ya Ugoro Sabuni Natumia Alovela Soap Nanawia Naacha kama Dakika tano yani Sina Gharama Uso Uko Soft tu Nawashauli vitu vya Bei Ndogo kumbe Ndo Vizuri Jamani Zamani Nilikuwa Natumia Vipodozi Vya Bei Saana hata Uso Unakosa Mvuto Nimejalibu Kukopy ili Nitume Humu Imekataa
 
Back
Top Bottom