Culture Me
JF-Expert Member
- May 24, 2017
- 10,447
- 21,148
Lol, you should try if she match your taste,Top lemon!
Looks like she'd make a perfect lemonade for a nigga!
lemonade
Lol, you should try if she match your taste,Top lemon!
Looks like she'd make a perfect lemonade for a nigga!
Not my type, i like e'm ebony!Lol, you should try if she match your taste,
lemonade
Tena nadhani wamefanya reparking kwa ajili ya soko la Tanzania ambalo limepiga marufuku hydroquinone, sidhani kama TFDA huwa wanazipima content hzo lotionDada angu yaani mara mia ungepaka ata carolight kuliko hiyo lotion mwanzo utang'a a sana kama ulivyo hvo ila subir ukate mwezi utajuta kutumia hyo creme. Kwanza utatoka chunusi kubwa kama majibu, pili white spots zitakujaa miguun, tatu ni creme yenye hydroquinon nyingi sana japo kwenye kopo lake wameandika "with no hydroquinon" .. ushaur wangu achana nayo mara moja tafuta lotion nzuri ambayo haina kemikali.
Haunywi vidonge kweli wewe? Usije ukawa unachanganya mambo!Mko poa?
Weekend inaenda poa sana huku nilipo
Mambo yamekua mengi muda mchache
Niliwahi kuleta uzi hapa kuhusu lotion gani nzuri nipake niweze kung'aa yaani ya kung'arisha ngozi
Rejea uzi huu
nilishauriwa sana nikahangaika wee mwisho wa siku nimeipata hii inaitwa Perfect white ni nzuri balaa week moja tu nilianza kuona changes week ya pili nikang'aaJamani nisaidieni ipi lotion au mafuta mazuri ya kung'arisha ngozi
Ipi lotion ya kiume inafaa kwa men?isiwe inachubua na iwe inasoftisha tu ngozi Na pia nataka ya kung'arisha kwa ajili ya demu wangu aka wife mtarajiwawww.jamiiforums.com
Sasa hv nimeitumia km week kadhaa hivi kiukweli nimeng'aa vizur sana rangi nzuri ya maji kunde Nani asiyetaka kupendeza?
Nilishauriwa nijaribu caro light,carotone,dodo lakin nikagundua zimepigwa marufuku na Tfda na pia zina hydroquinine
Kwahiyo sasa hivi napaka hii perfect white tu
ILA:Sitangazi biashara isije ikaambiwa natangaza biashara maana hamkawii kusema nimeleta tu mrejesho baada ya kuuliza sana na kuhangaika sana humu kuuliza ni vizuri tulete mrejesho.
Mambo ni mareshi
Utani tu, usimaindi!Vidonge vya nini sasa
Picha PlsMko poa?

kabisa kabisa na ushahidi na walotumia na wakawa hivyoDada angu yaani mara mia ungepaka ata carolight kuliko hiyo lotion mwanzo utang'a a sana kama ulivyo hvo ila subir ukate mwezi utajuta kutumia hyo creme. Kwanza utatoka chunusi kubwa kama majibu, pili white spots zitakujaa miguun, tatu ni creme yenye hydroquinon nyingi sana japo kwenye kopo lake wameandika "with no hydroquinon" .. ushaur wangu achana nayo mara moja tafuta lotion nzuri ambayo haina kemikali.
Bila picha huu uzi hatuwezi kuuelewa..picha basi hata ya mikono
Acha tu inizoee
Kwa mfanoAcha tu inizoee