jogi
JF-Expert Member
- Sep 25, 2010
- 25,558
- 25,322
Mtaibiwa mchana kweupe!Mm ninavyo fikiri hiyo ya million 25 ni ya migodi mikubwa ambayo inatuma usumaku mbali na uso wa dunia lakini Kama ni jirani tu hiyo ya laki tatu inafaa
Fanyeni utafiti nje ya box.
Tafuta tu hata shuhuda huru (sio zilizopostiwa na kampuni inayouza hizo detector) tafuta mdhibiti ubora (kama vile tbs kilipo kiwanda) aliyeidhinisha kifaa husika.
Mtaibiwa na wahuni wa dubai.