Mrejesho baada ya mashule kufunguliwa

Dogo yuko chuo. Tuliposikia chuo kinafungua na ingali tunajua kabisa dogo afya mgogoro; familia iliingiwa na simanzi kuu. Mrejesho ni kuwa dogo yuko ngangari na anaendelea kupiga shule. Anafanya test na ataingia UE. Kama dogo letu amesavaivu wallah anyone can. That’s all kwa leo.
Kadogo spana mkononi, lakini kanadunda?
 
Unayasoma wapi uliyoyaandika hapo? Ni kuota ndoto tu na kujiaminisha kuwa ulichoandika umekisoma tokea kwa mtoa mada?

Pana matatizo mahali na mfumo wa elimu. Atakaye kuja na hoja ya kuufanyia utanzuzi kuwa na watu walioelimika down to the ground hata kama ni Jecha kwa hakika anazo kura zetu wengi tu.

Vipi umekurupuka tokea kwenye kilabu cha wanywa 'pingu' na ulichokuja kuandika?
kwa taarifa yako nipo moja ya nchi ambazo zilipigwa na corona tokea mwanzo tena wagonjwa walikua wengi na haijawah kwenda lockdown na mpaka leo wagonjwa wapo na bado haijawekwa lockdown na nimoja ya nchi tajiri sana duniani sa nakushangaa wewe unalilia lockdown na huna uhakika wa mlo wa siku
 
Gashinaga nang'ho ulimunhu? Ganyan'ebhe!

Nasubiria jiwe atafsiri kwanza.

Itakuwa umeandika kikwenu bila shaka ukiamini kijima jima kuwa tutaelewa tu kama wale mitume wa kwenye 'Matendo ya Mitume'.

Hii bagosha !!!!
 
Kwa takwimu ulizoweka na hasa msumari aliogongelea mwalimu wa Tumsiime umemaliza mkuu!

Ila kwa akili akili zako za kuunga unga sitajutendea haki nisipomalizia kwa kukuunga mkono 100% kama yalivyojiri tokea pande za Dodoma:

CCM hoyee!!!
Sigara kali kutoka kwenye Corona mpaka kwenye siasa,ila ndio maisha yaache ya endelee we tafuta tunguli endelea kupiga ramli.
 
Ndio mkuu..na kalipokuwa likizo tuliwaza mengi. Sasa kama huyu dogo anadunda basi hii CCP virus kweli imekuwa redundant..
Mkuu utaniua kwa kicheko, Watanzania mna maneno ni hatari! Watu walitaka kutuaminisha upumbavu. Kuna kipindi nyumbu walikuwa msitari wa mbele kutangaza vifo, eti kila anayekufa anatangazwa kafa kwa Corona, mbona sasa hivi hatuoni tena matangazo yao!
 
kwa taarifa yako nipo moja ya nchi ambazo zilipigwa na corona tokea mwanzo tena wagonjwa walikua wengi na haijawah kwenda lockdown na mpaka leo wagonjwa wapo na bado haijawekwa lockdown na nimoja ya nchi tajiri sana duniani sa nakushangaa wewe unalilia lockdown na huna uhakika wa mlo wa siku

Unayasoma wapi hayo ya lockdown wewe? Au ni kujidhania tu kuwa umesimama?

Kwa haka kakujidhania dhania kasiwe mwendelezo wa kudhania upo ughaibuni aka majuu, kumbe ni jirani yangu nyumba ya pili tu hapa hapa dongobeshi?!
 
Kanataka kutulazimisha eti! Sasa kama majibu kanayajua kalitaka mrejesho wa nini?

Hukuelewa, namsubiria dada yako arudi atafsiri mada yote kisukuma kama itakuwezesha kuelewa mkuu.

Hii bagosha !!!!
 
Mkuu utaniua kwa kicheko, Watanzania mna maneno ni hatari! Watu walitaka kutuaminisha upumbavu. Kuna kipindi nyumbu walikuwa msitari wa mbele kutangaza vifo, eti kila anayekufa anatangazwa kafa kwa Corona, mbona sasa hivi hatuoni tena matangazo yao!
Lock down ni batili. Haiko realistic kwa nchi yetu. Tupige kazi. Haka kamdudu hakana mpango wa kuondoka leo wala kesho...na kakishakuwa kamezoea mazingira na miili yetu basi..tusiige. Muktadha wetu tuendelee na maisha.
 
Kuna watu yani hadi unajiuliza hivi huyu anaishi kweli Tz hii hii au yupo nje ya nchi maana anaona ambavyo wengine hatuvioni.

Ile party ya kuiaga corona bado hatujapata mrejesho hadi leo na sasa tunaulizana mrejesho wa vyuo na baadaye tutakuja kuulizana mrejesho wa hii mikutano ya wana ccm.
 
Hawakukosea waliotambua kuwa "nyani kuona kund*le" itakuwa ni habari kubwa.

Heri wewe umeliona lako mkuu.
 
Kupeana mrejesho ni kupenda mambo mabaya kutokea?

Akili zenu nyie zinafanya kazi kama za binadamu wengine kweli?
Mrejesho gani unataka upewe? , kwamba hadi leo wanafunzi hawajapata Corona? Au unataka usikie wanafunzi kadhaa wanaugua Corona?.
Kaka ukiona kimya means hakuna mwanafunzi anae umwa, unless huko mtaani kwako kuna wanafunzi wanaumwa. Vingnevo tuspende kusikia habri mbaya tu.

Sent from my SM-G965U using JamiiForums mobile app
 
Kumbe ya Iringa ni ya ukweli, "ukiona kimya, ujue nimekubali, uningusage kwa pole pole tu. Ukiangaliga na visiki."

Mkuu aliyekwambia mrejesho maana yake ni kusikia habari mbaya, alikuachia bichwa tupu.
 
IMG_20200703_205603.jpg
 
Mara nyingine tuziruhusu akili zetu kuwa sawa! Ndiyo maana ma Lumumba yanatuita sisi nyumbu! Hivyo vifo vingi shuleni umevisikia shule gani? Wacha upumbavu mwamba!

Lumumba hili linapojifanya kuwa si Lumumba. Haya ndiyo yale yanayojifanya ni mashauri dhidi ya Membe. Haya yanauthubutu ya kujifanya kuwa ni jinsia nyingine. Majitu yasiyojulikana katika ubora wayo:

IMG_20200719_093937_540.jpg

Yanadhani yataweza kuwahadaa watu wote siku zote.

Comment #411ni nukuu ya mamba mshauri watu kuvuka mto tokea kwenye uzi huu:

Serikali: Siku za Kigogo wa Twitter zinahesabika na hana siku nyingi

Wasalimie Muganza hasa wa pale international airport.
 
Mara nyingine tuziruhusu akili zetu kuwa sawa! Ndiyo maana ma Lumumba yanatuita sisi nyumbu! Hivyo vifo vingi shuleni umevisikia shule gani? Wacha upumbavu mwamba!

Hii comenti nimeipenda sana jamaa upo sehemu uagize kitichair nikuje jibu konki
 
Back
Top Bottom