Mrejesho baada ya mashule kufunguliwa

Ma kabwela wa vifo (merchants of death) vifo vyote si kitu isipokuwa cha kinachowahusu.

Kwani mna mioyo ya kibinadamu nyie?
You are clouded with emotions, you are not in a sound state to make a rational judgement.
Hukuona habari ya Mh. Magufuli kufiwa na ndugu yake kipindi kile cha kilele cha COVID-19 nchini? Bado Mh. Magufuli hakufungia watu ndani sababu kifo kile kilikuwa hakimhusu?

Aliona Uhuru Kenyatta akamtumia salam za pole na wewe upo hapa nchini hukuona unakuja kulialia!
Death is inevitable to every living body, the only difference is the day we die.
 
Death being inevitable does not justify murder!

Kwa mchawi kila kifo ni nyama ya kula. Atasikitishwa vipi na kifo?

Hongereni!
 
Nakukumbusha tu, mwezi haujaisha toka shule zilipo funguliwa. Shule zilifunguliwa tarehe 29. 06.2020. Leo ni tarehe 11.07.2020

Kukumbusha form six pia ni shule na walifungua 01.06.2020.

Vipi hapo mwezi bado?

Au shule kwako ni chekechea tu mkuu?

Hivi akili zenu huwa pia ziko kwenye vichwa hivi hivi kama watu wengine?
 
Death being inevitable does not justify murder!

Kwa mchawi kila kifo ni nyama ya kula. Atasikitishwa vipi na kifo?

Hongereni!
Since when COVID-19 deaths are murder cases?
I thought we were discussing about COVID-19 related deaths.

Mara uchawi, mara Corona mara mauwaji(murder), that is very incoherent way of making logical arguments!!!
 
IMG_20200711_210356_499.jpg
 
Nafundisha shule ya watoto 400 na walimu 26 ,hmshuleni hapa hakuna mtoto wala mwalimu anayekohoa wala mwenye mafua kwa wiki ya pili sasa,

Wewe kama unahofia korona jifungie ndani ,ila sisi tunaendelea kuchapa kazi,over

Sent from my TECNO KB7j using JamiiForums mobile app

Uko Tumsiime mkuu?

Vipi yale malimbikizo ya mishahara alikubali kuwalipa?

Inaeleweka mkuu hali ile haikuwa hali.

Usiwe na hofu bandiko hili hali advocate kurejea kule mkuu.

Kuwa na amani mkuu.
 
Kama taifa la watu wenye kujali maisha ya watu, pamoja na yote ilikuwa muhimu kupeana mrejesho wa hali halisi baada ya vipindi fulani.

Hata hivyo umepita zaidi ya mwezi sasa hata baada ya mashule kufunguliwa, bila ya mrejesho wala tathmini yoyote.

Ikumbukwe kuwa kulinganisha na maisha shamrashamra zingine zozote ni ubatili mtupu.

Hapa karibuni kumekuwapo na miito ya tahadhari kuhusiana na kupuuzwa mno kwa hatua za kujikinga huko mashuleni ambako:

1. Hivi sasa nawa nawa hazipo tena.
2. Watoto kwenye ma school bus kujazwa pomoni hadi wengine kukalishwa chini kwenye sakafu za mabasi hayo.
3. Mambo ya kuzingatia social distancing hayapo tena.
4. Uvaaji wa mabarakoa umekuwa ni habari ngeni.
5. Nk nk.

Mawaziri wenye dhamana wakiwa busy kwenye kampeni kurejea bungeni.

Tupeane mrejesho walioko huko mashuleni ni wana na ndugu zetu.

Pana habari kuwa vimekuwapo vifo vya ghafla huko mashuleni vilivyowasibu wanafunzi na hata walimu na maprofesa nguli katika kipindi hiki pia.

Kuyasubiria haya kuzifika familia moja moja kivyao vyao haiwezi kuwa dili.

Ambapo mrejesho kabla ya hatari ni wazi kuwa utaokoa maisha.
Unataka mrejesho sio?
Niko chuo since day one tumefungua na sijawahi hata kupiga chafya. Sio sijawahi tu, hakuna hata mmoja kaumwa, kapatikana na dalili, kalazwa au kafa kwa corona virus. Hao ma-Prof na Dr sijaona hata mmoja anakuwa hivyo. Kuingia chuo lazima kunawa na kuvaa barakoa, since its a scam zaidi ya 90% ya watu hawakuwa wanavaa barakoa wakishafika ndani. Bata tunakula, viwanja tunaenda tunasongamana, kanisani/misikiti tunaenda. Life goes on na hiyo virus iko BBC, Aljazeera, DW na CNN uko.
 
ulikuwa mtari wa mbele wa vita dhidi ya maamuzi ya serikali kuhusu mapambano ya corona,nakuona jinsi unavyojiskia hapo ulipo.

ni mwezi sasa umepita labda corona imefuata viatu ije kwa uzuri
mshikaji toka day 1 analilia lockdown afu ikabounce. nadhani hawa ni wale wavivu ambao hawapendi kufanya kazi. sahiv karibia nchi zote duniani wanaona lockdown ni upuuzi.
 
Wacha kutulazimishia upumbavu wako mwamba!

Manjagata - hii bagosha !!!!?!

Utakuwa umenisoma hunayo haki ya kulazimisha upumbaav wako hata kama ni tokea pande pande za CIA!

Wasalimie Muganza.
 
mshikaji toka day 1 analilia lockdown afu ikabounce. nadhani hawa ni wale wavivu ambao hawapendi kufanya kazi. sahiv karibia nchi zote duniani wanaona lockdown ni upuuzi.

Unayasoma wapi uliyoyaandika hapo? Ni kuota ndoto tu na kujiaminisha kuwa ulichoandika umekisoma tokea kwa mtoa mada?

Pana matatizo mahali na mfumo wa elimu. Atakaye kuja na hoja ya kuufanyia utanzuzi kuwa na watu walioelimika down to the ground hata kama ni Jecha kwa hakika anazo kura zetu wengi tu.

Vipi umekurupuka tokea kwenye kilabu cha wanywa 'pingu' na ulichokuja kuandika?
 
Unataka mrejesho sio?
Niko chuo since day one tumefungua na sijawahi hata kupiga chafya. Sio sijawahi tu, hakuna hata mmoja kaumwa, kapatikana na dalili, kalazwa au kafa kwa corona virus. Hao ma-Prof na Dr sijaona hata mmoja anakuwa hivyo. Kuingia chuo lazima kunawa na kuvaa barakoa, since its a scam zaidi ya 90% ya watu hawakuwa wanafaa barakoa wakishafika ndani. Bata tunakula, viwanja tunaenda tunasongamana, kanisa ni/misikiti tunaenda. Life goes on na hiyo virus iko BBC, Aljazeera, DW na CNN uko.

Unaweza kurekebisha badala ya kuandika uko "chuo" kuwa angalau uko "vyuo" kabla ya kuendelea kutiririka?

Au kwa uelewa wako ulichoandika kina simama hima hima hadi kwa shule ya msingi Mitundu iliyoko kijijini Mitundu?
 
We jamaa haueleweki. Umeomba mrejesho ila watu wote wanaokupa mrejesho unawapinga. Jamaa mmoja kakwambia mwanae kamaliza form six karudi salama, mwingine anafundisha shule ya watoto 400 anasema hajaona yeyote mwenye shida unakataa then walioko vyuo wanakwambia hawajaona au kusikia kesi yoyote nao unawapinga sasa unataka nini au lengo la kuanzisha uzi lilikuwa lipi! Kwa unavoonekana hata serikali wakikupa mrejesho ukareflect yanayoelezwa na wadau hapa najua pia utapinga. Kwanini sasa tusiamini unaitakia majanga nchi? Mkuu corona itakuwa kwenye korido za ofisi za bavicha na page zao mitandaoni, huku mtaani haipo. Mi pia nina jirani mwalimu mkuu wa shule ya msingi ila pia ana binti yake wa mwisho kamaliza form six na karudi salama, wanafunzi wake wako salama na ana kibinti cha mdogo wake anaishi nacho na kinasoma shule yake na kuthibitisha kuwa kuna usalama sio yeye mwalim wala kibinti cha mdogo wake wanavaa barakoa.
 
Dogo yuko chuo. Tuliposikia chuo kinafungua na ingali tunajua kabisa dogo afya mgogoro; familia iliingiwa na simanzi kuu. Mrejesho ni kuwa dogo yuko ngangari na anaendelea kupiga shule. Anafanya test na ataingia UE. Kama dogo letu amesavaivu wallah anyone can. That’s all kwa leo.
 
Nimesema niko CHUONI, huwezi kuwa VYUONI unless uwe mkaguzi sijui wa wizara. Uko shule unakotaka nikutajie atakuja mwingine anayefundisha au kusoma uko akwambie. Jinsi ulivyo na akili za kuvukia barabara unataka nikupe taarifa ambazo sijashuhudia. Unafosi ujinga wako uwe timilifu kwa kila mtu.
Yani ukute nawe unajiita GT humu jukwaani.
 
Kwa takwimu ulizoweka na hasa msumari aliogongelea mwalimu wa Tumsiime umemaliza mkuu!

Ila kwa akili akili zako za kuunga unga sitakutendea haki nisipomalizia kwa kukuunga mkono 100% kama yalivyojiri tokea pande za Dodoma:

CCM hoyee!!!
 
Nimesema niko CHUONI, huwezi kuwa VYUONI unless uwe mkaguzi sijui wa wizara. Uko shule unakotaka nikutajie atakuja mwingine anayefundisha au kusoma uko akwambie. Jinsi ulivyo na akili za kuvukia barabara unataka nikupe taarifa ambazo sijashuhudia. Unafosi ujinga wako uwe timilifu kwa kila mtu.
Yani ukute nawe unajiita GT humu jukwaani.

Umejua tofauti ya vyuo na chuo. Kwa hakika unazo akili za kuvukia barabara kama alizo nazo ngedere au nyani.

Kwamba umeona kuwa wewe siyo mkaguzi kujua yanayojiri vyuoni na hivyo huwezi kuleta usiyoshudia? Hiyo ndiyo essence ya uzi mbechile wee usiyejuwa kushoto wala kulia kwako ni wapi.

Kwani pana haja hata ya kukumbusha jamii ambamo moja humcheka mwenziwe kwa kudhani liko vyema kumbe ohoooo ?!
 
Dogo yuko chuo. Tuliposikia chuo kinafungua na ingali tunajua kabisa dogo afya mgogoro; familia iliingiwa na simanzi kuu. Mrejesho ni kuwa dogo yuko ngangari na anaendelea kupiga shule. Anafanya test na ataingia UE. Kama dogo letu amesavaivu wallah anyone can. That’s all kwa leo.

Jambo la kheri kuwa dogo anadunda na tunamwombea kama tunavyoombeana wote kiungwana maisha marefu.
 
We jamaa haueleweki. Umeomba mrejesho ila watu wote wanaokupa mrejesho unawapinga. Jamaa mmoja kakwambia mwanae kamaliza form six karudi salama, mwingine anafundisha shule ya watoto 400 anasema hajaona yeyote mwenye shida unakataa then walioko vyuo wanakwambia hawajaona au kusikia kesi yoyote nao unawapinga sasa unataka nini au lengo la kuanzisha uzi lilikuwa lipi! Kwa unavoonekana hata serikali wakikupa mrejesho ukareflect yanayoelezwa na wadau hapa najua pia utapinga. Kwanini sasa tusiamini unaitakia majanga nchi? Mkuu corona itakuwa kwenye korido za ofisi za bavicha na page zao mitandaoni, huku mtaani haipo. Mi pia nina jirani mwalimu mkuu wa shule ya msingi ila pia ana binti yake wa mwisho kamaliza form six na karudi salama, wanafunzi wake wako salama na ana kibinti cha mdogo wake anaishi nacho na kinasoma shule yake na kuthibitisha kuwa kuna usalama sio yeye mwalim wala kibinti cha mdogo wake wanavaa barakoa.
Kanataka kutulazimisha eti! Sasa kama majibu kanayajua kalitaka mrejesho wa nini?
 
Back
Top Bottom