Mrejesho baada ya mashule kufunguliwa



Hii comenti nimeipenda sana jamaa upo sehemu uagize kitichair nikuje jibu konki

Huyo konki master aliyekukuna vilivyo ndiye huyo huyo mwenye hii comment #411:


IMG_20200719_093937_540.jpg


kumhusu kigogo wa Twitter kwenye uzi huu?

Serikali: Siku za Kigogo wa Twitter zinahesabika na hana siku nyingi

Au ndiyo yale ya waswahili wa Pemba mwajuana kwa vilemba?

Vipi yule mhanga atarejea salama safari hii? Au kuna mpya abakie huko huko?

Misahafu imenena kabla ya mwisho mbona mtayasema wenyewe?
 
Kanataka kutulazimisha eti! Sasa kama majibu kanayajua kalitaka mrejesho wa nini?

Vipi jombi unazikumbuka comments zako?

Kwani waliosema ujinga mzigo walikosea?

Au haswa haswa wajiangalie zaidi wajidhaniao kuwa wamesimama?
 
Dogo yuko chuo. Tuliposikia chuo kinafungua na ingali tunajua kabisa dogo afya mgogoro; familia iliingiwa na simanzi kuu. Mrejesho ni kuwa dogo yuko ngangari na anaendelea kupiga shule. Anafanya test na ataingia UE. Kama dogo letu amesavaivu wallah anyone can. That’s all kwa leo.

Mrejesho unaendelea je? Au sasa corona hamna, au ipo kidogo sana?

IMG_20210128_034207_473.jpg


Wapumzike kwa amani wote waliotangulia mbele za haki kwa sababu ya ujinga wetu.
 
Mambo haya dah!

Tatizo tuna mijamaa mijinga kuliko maelezo.

Kwao maisha ni ya jiwe basi. Hayapo maisha mengine zaidi ya hayo.

Wengine wote hata wakiangamia ni sawa. Na kuwa huo ni mpango wa Mungu.

Ukisikia yanasema "Mungu hoyeee" usidhani yanasingiziwa.
 
Mrejesho mashuleni ila mpuuzi mmoja analeta habari za watu kufiwa na wake zao kwani nao walikua wanafunzi mashuleni au waalimu?
 
Tatizo tuna mijamaa mijinga kuliko maelezo.

Kwao maisha ni ya jiwe basi. Hayapo maisha mengine zaidi ya hayo.

Wengine wote hata wakiangamia ni sawa. Na kuwa huo ni mpango wa Mungu.

Ukisikia yanasema "Mungu hoyeee" usidhani yanasingiziwa.

My poor dogo...
 
Back
Top Bottom