Mrejesho baada ya kuacha pombe miezi 6 sasa

Yeah, nigeria kuna kipindi walizifungia ATM mkuu kwasababu ya huu wizi.

Baadhi ya Benki huwa wanaficha namba za katikati kwa kuweka ***** then wanamalizia mwisho.
Najua ni hatari kama mfano mtu akajua akaunti yako, expire date na cvv. Hapo anakupiga mchana kweupe na jua linawaka. Receipts zake hazina expire date na cvv
 
Weeee sio mwanamke huyo, kuna jamaa mmoja alijichanganya akamuita mrembo, bumija akatupia picha yake pande la mdingi...
IMG_20210802_141831_687.jpg
 

Attachments

  • 2021-07-15-213218012.mp4
    8.2 MB
Niliacha pombe kwa kua kila nikinywa pombe nikiamka naamka na kesi,kwa ufupi nilikua bapata hasara sana.Kwa sasa nimekua mnene sana,mda wowote napasuka maskini Mimi.Nikinywa pombe lawama,nimeacha lawama.Dunia tambara bovu nimekubali
Umeanzia ukubwani, ukawa limbukeni... ndipo shida ilipo
 
Ewaaaa bumija kama bumija, huwa unaendesha gari gani nije nipande....

Halafu sasa mbona umeweka avatar ya mrembo huoni kama unawachanganya mabaharia na kutupa tabu sie waifu matirioz?
Cc Lusungo

Duh ni mdingi kabisa aisee…. Huyo atakua anachezea TGTS H huko hahahahaaa

Naona umemuelewa binamu unajipigia jaramba tuu
 
Back
Top Bottom