Jing chu
JF-Expert Member
- May 9, 2019
- 385
- 592
Wakuu habari za muda huu, kuna thread moja niliwahi post kwenye love connect nikitafuta wangu wa moyo.
Bahati nzuri kati ya wakiokuja nilikongwa nyoyo na binti mmoja (30yrs) safii alinipendeza moyoni na machoni, tukaweka appointment tukakutana mawasiliano yakaendelea charting hadi usiku wa manane.
Niliona nimepata kabisa nikaanza kuzidisha romantic kicks cha ajabu siku moja ananmbia amependa niwe rafiki yake tu sababu HANA HISIA ZA MAPENZI NA MIMI daaah! Niliumia sana nikasema isiwe tabu nikanyamaza hadi sasa.
Anyway, nishauri tu kuwa tunapotafuta au kutafutwa ukijirokeza uwe serious maana mtu hadi aache wengine aje kwako tayari utafanya akuone haupo serious una yumba na maisha.
Niliwaza either hajanipenda au ni kudeka kimapenzi ? Sasa kwa kuwa mimi sihitaji kipoteza muda nikaona huyu sio fungu langu otherwise alikuja kwa lengo jingine.
Tubadilike tuwe.wawazi kama mtu hujamwelewa/hujampenda mchane makavu tu na ndo maana ya kupeana mawasiliano kuonana na kutumiana picha.
Naamini ataona huu Uzi but unisamehe kama.nitakukwaza.
Nawasilisha.