Mrejesho, alidai hana hisia.

Jing chu

JF-Expert Member
May 9, 2019
385
592
Wakuu habari za muda huu, kuna thread moja niliwahi post kwenye love connect nikitafuta wangu wa moyo.

Bahati nzuri kati ya wakiokuja nilikongwa nyoyo na binti mmoja (30yrs) safii alinipendeza moyoni na machoni, tukaweka appointment tukakutana mawasiliano yakaendelea charting hadi usiku wa manane.

Niliona nimepata kabisa nikaanza kuzidisha romantic kicks cha ajabu siku moja ananmbia amependa niwe rafiki yake tu sababu HANA HISIA ZA MAPENZI NA MIMI daaah! Niliumia sana nikasema isiwe tabu nikanyamaza hadi sasa.

Anyway, nishauri tu kuwa tunapotafuta au kutafutwa ukijirokeza uwe serious maana mtu hadi aache wengine aje kwako tayari utafanya akuone haupo serious una yumba na maisha.

Niliwaza either hajanipenda au ni kudeka kimapenzi ? Sasa kwa kuwa mimi sihitaji kipoteza muda nikaona huyu sio fungu langu otherwise alikuja kwa lengo jingine.

Tubadilike tuwe.wawazi kama mtu hujamwelewa/hujampenda mchane makavu tu na ndo maana ya kupeana mawasiliano kuonana na kutumiana picha.

Naamini ataona huu Uzi but unisamehe kama.nitakukwaza.

Nawasilisha.
 
Uzuri wa hiz mambo mkuu...wenyewe wasema mlango wa Mungu u wazj..ukijidai weeeh sitaki nataka au hueleweki au unazingua...basi wanajitokeza watu ili waku replace tu ....sasa omba uwe irreplaceable hivyo yaan
 
Umeongea mkuu niliwaza n nikasema au alivyoniona nimeshuka kwenye daladala akaona sio type yake nini? Teh teh teh nikasema isiwe kazi.
 
Sisi wanawake huwa tunapenda taratibu, inawezekana alidhani atakupenda kadri mnavyoendelea lakini bahati mbaya ameshindwa....msamehe bure. Lakini pia anaweza kuwa na sababu nyingine hiyo ameifanya kama kisingizio tu, au kuna mambo yamemkwaza mlipokuwa mnachat watu wengine (nikiwemo mimi) huwa tunakerwa na vitu vidogo sana.
 
Jamaa yetu awe mpole tu, hahaha
 
Oky, ila bado nampenda hata leo akijitokeza. Na mm nilikuwa kwenye tafiti zangu pia.

Back
Top Bottom