MRDT kipimo bora kabisa cha kugundua vijidudu vya Malaria

Slowly

JF-Expert Member
Jul 7, 2016
10,518
34,913
Kama mnavyojua nchi zetu za ukanda wa joto Kama Tanzania ugonjwa wa malaria ndo janga kubwa....ugonjwa huu husababisha vifo Vingi zaidi ya tunavyojua....mbali na kuwepo kwa tiba ya ugonjwa huu...kumekuwepo na changamoto ya upatikanaji wa kipimo cha haraka na uhakika cha kuweza kuditect uwepo wa plasimodium Katika damu ....mpak sasa maabara nyingi hapa nchini hasa za private zinatumia. microscope kupima malaria kupitia bloodslide....mbali na kuwepo kwa laboratory technician weng uhalisia ni kwamba kuna wataalamu wachache sana wanaoweza kutumia microscope kwa usahihi...watu weng wakienda kupima huambiwa wana malaria na kuandikiwa Dawa bila wao kuugua malaria ...na hvyo kusababisha mwili ufanye reaction na dawa bila sababu na hii ni hatari sana....wamiliki wengine wa maabara huandika fake malaria ili wauze dawa......tatizo jingine. ni kuwepo kwa maeneo ya mbali ambayo wataalamu wa kutumia microscope na upatikanaji wa microscope zenyewe ni mdogo...matatizo ya macho kwa baadh ya wataalamu wa maabara ni changamoto nyingne....kutokana na gharama za microscope weng wa wamiliki hutumia darubini mbovu na chakavu....kwa sababu hzi na zingine nying shirika la afya duniani WHO likaja na kpimo rahisi, haraka na cha uhakika kijulikanacho Kama MRDT (Maralia Rapid Diagnostic Testing) ...kama tulivyo wengne weng mim mwenyewe nilikuwa sikiamini hki kifaa....mwz wa kwanza nlihsi dalili za malaria. nkaenda maabara ya private kupima inayotumia microscope nikaambiwa nina malaria 2..nikameza mseto baada ya wki mbili nkahsi tena dalili za malaria nikaenda kupima tena maabara ya private nikaambiwa nina malaria 4 nikaenda kuongea na daktar mmoja wa dispensary ya private akanambia nichome sindano nikachoma, hali ikawa shwar kwa mda .badae Kama wki Moja nikarud maabara nikaambiwa Nina malaria 4, na nikaambiwa nitumie mseto kwa usahihi nikameza tena dawa....badae nikamfata daktar yule aliyenichoma sindano nikamweleza akaniangalia akaniambia huwa unaenda kupima wap na wanatumia kifaa gan nikamwambia wanatumia microscope akaniambia nisirudie tena kupima malaria kwa kutumia microscope kwan weng huandika false malaria ili wauze dawa na wengi pia hawana utaalamu wa kugundua vijidudu vya malaria kwa usahihi...ndipo akanionyesha kipimo cha MRDT akanipima pale kikaonesha sina malaria nikaenda hospital tofaut za serikali kama tatu hvi wakanpima kwa kutumia MRDT majibu yakaja sina malaria nikapima na typhoid nikaambiwa nina typhoid ndogo 1/20..nikaamua kuhakikisha kwenye issue ya malaria nikaenda maabara za microscope Kama mbili hvi ya kwanza nikaambiwa Nina malaria 2 ya pili nikaambiwa nina malaria 4.. baada ya miez sita means mwez huu nilhis malaria nkaenda kupima kwa kutumia MRDT nikaambiwa Nina malaria nikameza dawa baada ya kumaliza dozi nikaenda tena Kupima kwa kutumia MRDT majibu yakaja sina malaria...tangu hapo nikakipigia saluti kipimo cha MRDT na pia hospital za serikali naziamini sana mana wale Kama huna ugonjwa wanakwambia ukweli tofauti na private weng wao watakwandikia ugonjwa hata Kama hauna ili wauze dawa, ...kinachowafanya watu weng waamini kuwa wana malaria hata Kama hawana ni kuwa dalili nying za malaria Kama kuhsi bardi, homa, maumivu ya joint nk znafanana sana na za magonjwa mengne meng kama typhoid, amiba, HIV, homa ya ini, homa ya kawaida na mafua nk...hvyo nashaur ndgu zangu tutumie MRDT kupima malaria na Kama kipimo kikionesha huna malaria amini hauna la sivyo utameza Madawa bila sababu...kumbuka dawa na sindano ni sumu
 
Hiki kipimo mi kila nikipima kinakataa lakini nikibadili kipimo kingine nakutwa na 2/3parasites
 
Ukitaka kufa mapema na maralia kiamini kipimo hicho,sina hamu nacho kilitaka kunipotezea mwanangu hiv hiv,sitakuja kukiamini hata anishauri dokta.
 
Ukitaka kufa mapema na maralia kiamini kipimo hicho,sina hamu nacho kilitaka kunipotezea mwanangu hiv hiv,sitakuja kukiamini hata anishauri dokta.
Unajua acha trump atuite shithole, mi hapa mtoto kaugua sijui nimwani nani private wanasema anamalaria 3. Serikalini mrdt
hana malaria ikumbukwe huyu no mtoto was miezi 9. Jamani kipi no kipmo sahihi?
 
Unajua acha trump atuite shithole, mi hapa mtoto kaugua sijui nimwani nani private wanasema anamalaria 3. Serikalini mrdt
hana malaria ikumbukwe huyu no mtoto was miezi 9. Jamani kipi no kipmo sahihi?
Kipimo cha zamani achana kabisa na mrdt utakufa bure.
 
Back
Top Bottom