Mratibu wa THRDC, Onesmo Olengurumwa apandishwa kizimbani kwa kosa la kuvamia Hotel ya Blue Pearl

Huyu Olengurumwa kwanza ana tatizo la Uraia. Huyu ni MKIKUYU 100% ingawa anajiita Mmasai wa Loliondo. Akimaliza hapo apandishwe kizimbani kujibu aliipataje passport ya Tanzania. Hatutakaji ujinga sie. Najua atetewa humu, ila huyu sio Mtanzania.
We ndio mamaake?

Kuwa Mkikuyu hawezi kuwa Mtanzania? Mbona kuna Wahindi kibao Watanzania?
 
Huyu Olengurumwa kwanza ana tatizo la Uraia. Huyu ni MKIKUYU 100% ingawa anajiita Mmasai wa Loliondo. Akimaliza hapo apandishwe kizimbani kujibu aliipataje passport ya Tanzania. Hatutakaji ujinga sie. Najua atetewa humu, ila huyu sio Mtanzania.
Ukianza mambo ya Utaifa Kuna mtu aturudishwa Kigali hapa.
 
mmh atakoma...bora angevamia klaudz ata na mabunduki isingekuwa shida...angesifiwa naangeambiwa piga kazi na waliojuu ya sheria
 
Leo hii 13.06.2017 UONGOZI wa Blue Pearl Ubungo Plaza wametushtaki kwa kosa la uvamizi siku ya uzinduzi wa kitabu (sauti za watetezi wa haki vyuoni) siku ya 03.06.2017

Maratibu wa mtandao wa kutetea haki za watetezi Tanzania Mh. Onesmo Olengurumwa kapandishwa Mahakamani na kusomewa Mashtaka ya kuvamia Blue Pearl (tracepass case) siku ambayo alikuwa akihudhuria kongamano la uzinduzi wa kitabu kilichoandikwa na ndg. Alphonce Lusako.

Awali polisi walivamia Hotel ya Blue Pearl na kumkamata mratibu huyo, zaidi soma => Polisi wavamia hotel ya Blue Pearl na kumkamata Mkurugenzi wa (THRDC) Onesmo Olengurumwa

Kesi dhaifu mno !
 
Back
Top Bottom