Mratibu wa THRDC, Onesmo Olengurumwa apandishwa kizimbani kwa kosa la kuvamia Hotel ya Blue Pearl

Chachu Ombara

JF-Expert Member
Dec 11, 2012
5,360
2,000
Leo hii 13.06.2017 UONGOZI wa Blue Pearl Ubungo Plaza wametushtaki kwa kosa la uvamizi siku ya uzinduzi wa kitabu (sauti za watetezi wa haki vyuoni) siku ya 03.06.2017

Maratibu wa mtandao wa kutetea haki za watetezi Tanzania Mh. Onesmo Olengurumwa kapandishwa Mahakamani na kusomewa Mashtaka ya kuvamia Blue Pearl (trespass case) siku ambayo alikuwa akihudhuria kongamano la uzinduzi wa kitabu kilichoandikwa na ndg. Alphonce Lusako.

Awali polisi walivamia Hotel ya Blue Pearl na kumkamata mratibu huyo, zaidi soma => Polisi wavamia hotel ya Blue Pearl na kumkamata Mkurugenzi wa (THRDC) Onesmo Olengurumwa

ngurumwa.jpeg
 
Mgibeon

JF-Expert Member
Aug 7, 2011
8,890
2,000
Hata hivyo nashangaa Sana, ningekua Mimi ndio Hakimu kwenye kesi za kipuuzi kama hizi ningekua naigonga Jamuhuri faini za kutikisa mfuko wa hazina, maana hii kesi huyu jamaa atashinda Tu. Wanampotezea muda Tu..
 
imhotep

JF-Expert Member
Oct 13, 2012
22,566
2,000
Kama kavamia hoteli serikali yetu itakuwa salama kweli na hawa "trojan horses"?adhabu kali dhidi yake ichukuliwe ili iwe mfano kwa wale wavamizi wa mahoteli kama hana hela ya futari si aje huku gongo la mboto
 
Waziri kivuli

JF-Expert Member
Nov 30, 2016
2,989
2,000
Leo hii 13.06.2017 UONGOZI wa Blue Pearl Ubungo Plaza wametushtaki kwa kosa la uvamizi siku ya uzinduzi wa kitabu (sauti za watetezi wa haki vyuoni) siku ya 03.06.2017

Maratibu wa mtandao wa kutetea haki za watetezi Tanzania Mh. Onesmo Olengurumwa kapandishwa Mahakamani na kusomewa Mashtaka ya kuvamia Blue Pearl (tracepass case) siku ambayo alikuwa akihudhuria kongamano la uzinduzi wa kitabu kilichoandikwa na ndg. Alphonce Lusako.

Awali polisi walivamia Hotel ya Blue Pearl na kumkamata mratibu huyo, zaidi soma => Polisi wavamia hotel ya Blue Pearl na kumkamata Mkurugenzi wa (THRDC) Onesmo Olengurumwa

Nchi hii ni ya maajabu!!!Mbona Bashite hapandishwi kizimbani kwa kuvamia clouds?
 
mng'ato

JF-Expert Member
Oct 27, 2014
24,440
2,000
Kama kavamia hoteli serikali yetu itakuwa salama kweli na hawa "trojan horses"?adhabu kali dhidi yake ichukuliwe ili iwe mfano kwa wale wavamizi wa mahoteli kama hana hela ya futari si aje huku gongo la mboto
Na yule aliyeenda kuamsha dude 'clauds' na bunduki vp?
 
Metsada

JF-Expert Member
Mar 19, 2013
1,459
2,000
Leo hii 13.06.2017 UONGOZI wa Blue Pearl Ubungo Plaza wametushtaki kwa kosa la uvamizi siku ya uzinduzi wa kitabu (sauti za watetezi wa haki vyuoni) siku ya 03.06.2017

Maratibu wa mtandao wa kutetea haki za watetezi Tanzania Mh. Onesmo Olengurumwa kapandishwa Mahakamani na kusomewa Mashtaka ya kuvamia Blue Pearl (tracepass case) siku ambayo alikuwa akihudhuria kongamano la uzinduzi wa kitabu kilichoandikwa na ndg. Alphonce Lusako.

Awali polisi walivamia Hotel ya Blue Pearl na kumkamata mratibu huyo, zaidi soma => Polisi wavamia hotel ya Blue Pearl na kumkamata Mkurugenzi wa (THRDC) Onesmo Olengurumwa

Huyu Olengurumwa kwanza ana tatizo la Uraia. Huyu ni MKIKUYU 100% ingawa anajiita Mmasai wa Loliondo. Akimaliza hapo apandishwe kizimbani kujibu aliipataje passport ya Tanzania. Hatutakaji ujinga sie. Najua atetewa humu, ila huyu sio Mtanzania.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom