Mratibu wa TARURA Manyara inatosha sasa, huo ujinga unaotaka kufanya, utaishia kubaya

Hata Kama

New Member
Oct 18, 2019
1
1
MRATIBU WA TARURA MKOA WA MANYARA INOCENTI MLAY LEO MCHANA UMEKUTANA NA WAJUMBE WA BODI YA ZABUNI, KITENGO CHA MANUNUZI NA TIMU ZA TATHIMINI KATIKA OFISI YAKO PALE JENGO LA ZAMANI LA HALOTELI. UMEKAA NAO KWA MASAA MATATU UKIOMBA BODI YA ZABUNI WABATILISHE MAAMUZI YAO YA KUTANGAZWA UPYA TENDA ZAIDI YA 40.

BODI YA ZABUNI WAMEKUKUBALIA SHINGO UPANDE KWA MASHARTI YA KUHAKIKISHA KITENGO CHA MANUNUZI NA TIMU ZA TATHIMINI WANAKAA PAMOJA NA KUHAKIKISHA WANAREJEA UPYA RIPOTI ZA TIMU ZA TATHIMINI. MRATIBU UMEKUBALI, UMEAGIZA WAKANDARASI MNAOWATAKA WAITWE, NA WALETE NYARAKA ZILIZOPUNGUA.

BODI YA ZABUNI MLIKAAA KWA WIKI NZIMA, HAIJAWAHI KUTOKEA, MKAPITIA TENDA ZOTE ZAIDI YA 40, MKAONA MAPUNGUFU MAKUBWA, JUZI MLIMKABIDHI MRATIBU RIPOTI YA KURASA ZAIDI YA 200, MMEKATAA ZABUNI ZOTE ZAIDI YA 40 NA MMEAGIZA ZIRUDIWE. LEO KIKAO CHA MASAA MATATU, KIMEWABIDILISHA MAWAZO. TUNAJUA BODI IMEGAWANYIKA, WENGI HAWATAKI MAAGIZO YA MRATIBU, NYIE WACHACHE NIA YENU OVU ITAWAPELEKA KUBAYA. TIMU ZA TATHIMINI MMEWAPA MAWAZO YA HATIMA YA AJIRA ZAO, WANAMUOGOPA MRATIBU ILA HAWATAKI TENA KURUDIA HIZO TENDA ZAIDI YA 40.

MRATIBU, VIJANA WAKO WA KITENGO CHA MANUNUZI WAMECHEZEA VITABU VYA ZABUNI ZA WAKANDARASI, WAMENYOFOA NYARAKA ZA TENDA ZA WAKANDARASI KWA WAKANDARASI WASIOWATAKA NA KUONGEZA BAADHI YA NYARAKA KWENYE VITABU VYA TENDA ZA WAKANDARASI WANAOWATAKA. TUMENYAMAZA KIMYA, USIDHANI TULIKUWA HATUJUI. MIEZI MITATU IMEFIKA, HAKUNA CHA MKANDARASI ALIYEPATA KAZI, TULINYAMAZA KIMYA ILI TUONE HATIMA YAKE NA TULIJUA KINACHOENDELEA, LEO KWA MASAA MATATU UNATAKA KUBATILISHA MAAMUZI YA BODI YENYE KURASA ZAIDI YA 200? UNAONA NI SIRI? MAAMUZI YA BODI YENYE KURASA ZAIDI YA 200 ULIZOKABIDHIWA JUZI, ZINATAKA MCHAKATO UTANGAZWE UPYA, WAMEONA NYARAKA ZOTE ZILICHEZEWA SANA. WEWE MRATIBU UNATAKA KUTUMIA NJIA ZA PANYA ZA KUWATISHA WAJUMBE WA BODI YA ZABUNI, KITENGO CHA MANUNUZI NA TIMU ZA TATHIMINI ILI WAKAE CHINI NA WAJE NA RIPOTI MPYA. KWA NYARAKA ZA ZABUNI ZA WAKANDARASI ZIPI SASA? HIZI ZILIZOCHEZEWA? UNA FAMILIA MZEE, HII NI AWAMU YA TANO.

MRATIBU, TULIKUFUATA NA KUKUAMBIA TABIA YA KIJANA WAKO BENEDICT KAGIZO KUCHUKUA PESA ZA WAKANDARASI WALIOOMBA ZABUNI ZA UJENZI. ALIGEUZA TARURA MANYARA KAMA GULIO, KACHUKUA PESA KWA WAKANDARASI, NA TATIZO ALICHUKUA PESA KWA WAKANDARASI WALIOSHIDWA, ALIWALAZIMISHA TIMU YA TATHIMINI WAKAMGOMEA, BODI YA ZABUNI WALIMGOMEA. BENEDICT KAGIZO KACHEZEA SANA NYARAKA, UNATAMBUA SANA. HUKUCHUKUA HATUA YOYOTE. TUNAJUA BENEDICT KAGIZO NI MKUU WA KITENGO CHA MANUNUZI MANYARA, SIO MTUMISHI WA UMMA, NI KIBARUA. KIBARUA AMEKUSHINDA, MASAA MATATU YA LEO NDIO YABATILISHE UJINGA WA KIBARUA HUYO NA YAFUTE MAAMUZI YA BODI YENYE KURASA ZAIDI YA 200? ACHANA NA MAWAZO HAYO, HII NI AWAMU YA TANO

MRATIBU, KAMA UNAONA MAAMUZI YA BODI KUBATILISHA TENDA NA KUAGIZA TENDA ZITANGAZWE UPYA NI MAAMUZI YA KIJINGA, FUATA TARATIBU, UNAYE MWANASHERIA MWAMBIE AKUSHAURI. ACHA NJIA ZA PANYA ZITAKUPONZA, FAMILIA BADO INAKUHITAJI.

WAKANDARASI TUPO TAYARI ZABUNI ZITANGAZWE UPYA, TENDA ZA SASA ZIMECHEZEWA, TUMEKULA HASARA NA TUMEPOTEZA MUDA. TANGAZENI UPYA, TUTARUDI UPYA KUOMBA. HATUMTAKI BENEDICT KAGIZO MKOA HUU.

MRATIBU, RIPOTI YA KURASA ZAIDI YA 200 YA BODI YA ZABUNI TUNAYO. MAKUBALIANO MLIYOFANYA MCHANA YA KUTAKA HARAMU IWE HALALI MKIYAFANYA. RIPOTI YENU TUTAMFIKISHIA RAIS DR. MAGUFULI NA WAZIRI MKUU MAJALIWA KASIMU. TUTAMFIKISHIA KWA NJIA TUNAZOJUA SISI,

WITO KWA VYOMBO VYA DOLA MKOA WA MANYARA, YANAYOENDELEA KWA TARURA MANYARA NI AIBU KWA TARURA NA SERIKALI. SIO SIRI TARURA MANYARA INATIA AIBU, NI GULIO LA ZABUNI ZA UJENZI. VYOMBO VYA DOLA CHUKUENI HATUA, NI AIBU SANA.
 
MRATIBU WA TARURA MKOA WA MANYARA INOCENTI MLAY LEO MCHANA UMEKUTANA NA WAJUMBE WA BODI YA ZABUNI, KITENGO CHA MANUNUZI NA TIMU ZA TATHIMINI KATIKA OFISI YAKO PALE JENGO LA ZAMANI LA HALOTELI. UMEKAA NAO KWA MASAA MATATU UKIOMBA BODI YA ZABUNI WABATILISHE MAAMUZI YAO YA KUTANGAZWA UPYA TENDA ZAIDI YA 40.

BODI YA ZABUNI WAMEKUKUBALIA SHINGO UPANDE KWA MASHARTI YA KUHAKIKISHA KITENGO CHA MANUNUZI NA TIMU ZA TATHIMINI WANAKAA PAMOJA NA KUHAKIKISHA WANAREJEA UPYA RIPOTI ZA TIMU ZA TATHIMINI. MRATIBU UMEKUBALI, UMEAGIZA WAKANDARASI MNAOWATAKA WAITWE, NA WALETE NYARAKA ZILIZOPUNGUA.

BODI YA ZABUNI MLIKAAA KWA WIKI NZIMA, HAIJAWAHI KUTOKEA, MKAPITIA TENDA ZOTE ZAIDI YA 40, MKAONA MAPUNGUFU MAKUBWA, JUZI MLIMKABIDHI MRATIBU RIPOTI YA KURASA ZAIDI YA 200, MMEKATAA ZABUNI ZOTE ZAIDI YA 40 NA MMEAGIZA ZIRUDIWE. LEO KIKAO CHA MASAA MATATU, KIMEWABIDILISHA MAWAZO. TUNAJUA BODI IMEGAWANYIKA, WENGI HAWATAKI MAAGIZO YA MRATIBU, NYIE WACHACHE NIA YENU OVU ITAWAPELEKA KUBAYA. TIMU ZA TATHIMINI MMEWAPA MAWAZO YA HATIMA YA AJIRA ZAO, WANAMUOGOPA MRATIBU ILA HAWATAKI TENA KURUDIA HIZO TENDA ZAIDI YA 40.

MRATIBU, VIJANA WAKO WA KITENGO CHA MANUNUZI WAMECHEZEA VITABU VYA ZABUNI ZA WAKANDARASI, WAMENYOFOA NYARAKA ZA TENDA ZA WAKANDARASI KWA WAKANDARASI WASIOWATAKA NA KUONGEZA BAADHI YA NYARAKA KWENYE VITABU VYA TENDA ZA WAKANDARASI WANAOWATAKA. TUMENYAMAZA KIMYA, USIDHANI TULIKUWA HATUJUI. MIEZI MITATU IMEFIKA, HAKUNA CHA MKANDARASI ALIYEPATA KAZI, TULINYAMAZA KIMYA ILI TUONE HATIMA YAKE NA TULIJUA KINACHOENDELEA, LEO KWA MASAA MATATU UNATAKA KUBATILISHA MAAMUZI YA BODI YENYE KURASA ZAIDI YA 200? UNAONA NI SIRI? MAAMUZI YA BODI YENYE KURASA ZAIDI YA 200 ULIZOKABIDHIWA JUZI, ZINATAKA MCHAKATO UTANGAZWE UPYA, WAMEONA NYARAKA ZOTE ZILICHEZEWA SANA. WEWE MRATIBU UNATAKA KUTUMIA NJIA ZA PANYA ZA KUWATISHA WAJUMBE WA BODI YA ZABUNI, KITENGO CHA MANUNUZI NA TIMU ZA TATHIMINI ILI WAKAE CHINI NA WAJE NA RIPOTI MPYA. KWA NYARAKA ZA ZABUNI ZA WAKANDARASI ZIPI SASA? HIZI ZILIZOCHEZEWA? UNA FAMILIA MZEE, HII NI AWAMU YA TANO.

MRATIBU, TULIKUFUATA NA KUKUAMBIA TABIA YA KIJANA WAKO BENEDICT KAGIZO KUCHUKUA PESA ZA WAKANDARASI WALIOOMBA ZABUNI ZA UJENZI. ALIGEUZA TARURA MANYARA KAMA GULIO, KACHUKUA PESA KWA WAKANDARASI, NA TATIZO ALICHUKUA PESA KWA WAKANDARASI WALIOSHIDWA, ALIWALAZIMISHA TIMU YA TATHIMINI WAKAMGOMEA, BODI YA ZABUNI WALIMGOMEA. BENEDICT KAGIZO KACHEZEA SANA NYARAKA, UNATAMBUA SANA. HUKUCHUKUA HATUA YOYOTE. TUNAJUA BENEDICT KAGIZO NI MKUU WA KITENGO CHA MANUNUZI MANYARA, SIO MTUMISHI WA UMMA, NI KIBARUA. KIBARUA AMEKUSHINDWA, MASAA MATATU YA LEO NDIO YABATILISHE UJINGA WA KIBARUA HUYO NA YAFUTE MAAMUZI YA BODI YENYE KURASA ZAIDI YA 200? ACHANA NA MAWAZO HAYO, HII NI AWAMU YA TANO

MRATIBU, KAMA UNAONA MAAMUZI YA BODI KUBATILISHA TENDA NA KUAGIZA TENDA ZITANGAZWE UPYA NI MAAMUZI YA KIJINGA, FUATA TARATIBU, UNAYE MWANASHERIA MWAMBIE AKUSHAURI. ACHA NJIA ZA PANYA ZITAKUPONZA, FAMILIA BADO INAKUHITAJI.

WAKANDARASI TUPO TAYARI ZABUNI ZITANGAZWE UPYA, TENDA ZA SASA ZIMECHEZEWA, TUMEKULA HASARA NA TUMEPOTEZA MUDA. TANGAZENI UPYA, TUTARUDI UPYA KUOMBA. HATUMTAKI BENEDICT KAGIZO MKOA HUU.

MRATIBU, RIPOTI YA KURASA ZAIDI YA 200 YA BODI YA ZABUNI TUNAYO. MAKUBALIANO MLIYOFANYA MCHANA YA KUTAKA HARAMU IWE HALALI MKIYAFANYA. RIPOTI YENU TUTAMFIKISHIA RAIS DR. MAGUFULI NA WAZIRI MKUU MAJALIWA KASIMU. TUTAMFIKISHIA KWA NJIA TUNAZOJUA SISI,

WITO KWA VYOMBO VYA DOLA MKOA WA MANYARA, YANAYOENDELEA KWA TARURA MANYARA NI AIBU KWA TARURA NA SERIKALI. SIO SIRI TARURA MANYARA INATIA AIBU, NI GULIO LA ZABUNI ZA UJENZI. VYOMBO VYA DOLA CHUKUENI HATUA, NI AIBU SANA.
LAZIMA AHAHKISHE ENEO LAKE LINAFANYA VYEMA NA LISIPOFANYA VIZURI WAKWANZA KUKOSOA NI NINYI
 
Jiwe gizani limewafikia walengwa ukisikiaa mamaa ujue limewapata.
Hawa TARURA wana njaa sana, siyo mratibu tu, Council manager's wote Tanzania, engineers wote wa tarura njaa balaa. Pia wengi wanataka kuwa na maisha mazuri kwa haraka sana, magari, majumba etc. Wengi wakandarasi wanapata tabu sana wakati wa execution za miradi zao. Mfano aliyeondolewa sumbawanga, mwanza na kwingineko yaani TARURA ni kinzungumukuti. Ni bora na halmashauri ya zamani hawa rookies ni balaa kweli kweli. Yaani wao wanawaza kupiga tu. Wakandarasi wanawakaba sana shingo watoe pesa.
 
Sasa hii taarifa ungeipeleka takukuru ingekuwa vizuri zaidi na ingefanyiwa kazi haraka sana
 
Everywhere Tarura na Tanroads ni malalamiko
Serikali ianzishe portal ya tenda ili evaluation zote zifanyike online except kwa emergency na quotation works.
 
Sio wahandisi tu wa Tarura wenye njaa Bali na vitengo vingine pia mfano wahasibu wana njaa kali. Hawapitishi setifiketi yako bila kumpa chochote kitu. Nilikua na mradi mdogo tu wa kujenga boksi kalvati katika wilaya moja (sitoitaja) mkoani Daslama lakini kila setifiketi niliyoomba nilikua naacha hela kwa mhasibu mpaka ikabd nifungue moyo tu kuwa nafanya kazi ya kanisa.
 
Hahahahaa sio wana njaa Mzee Baba nikusaidiana Maisha yenyewe Magumu.. Mtu unalipwa mio 100 mhasibu ukimpa kidogo hata laki sio mbaya...
 
Mkuu una maslahi gani, haya ni mambo ya kumaliza kwenye vikao, kikao kama kimefanyika hayo si maamuzi ya mtu mmoja
 
Hahahahaa sio wana njaa Mzee Baba nikusaidiana Maisha yenyewe Magumu.. Mtu unalipwa mio 100 mhasibu ukimpa kidogo hata laki sio mbaya...
Na hiyo hiyo ilipe wataalam wangu, ilipe madeni ya materials, irun office expenses, nijilipe mimi, na profit ibaki kwa ajili ya kukuza biashara. Inawezekana?
 
Acha roho mbaya wakati unapiga mahesabu hukujua utapata faida huyo mhasibu sh ngapi utampa elf50 tu atakushumuru watanzania mnaroho mbaya kweli at the same time mnataka huyohuyo mhasibu aache mambo mengine atoe malipo yako harana
 
Kama unalipwa certificate ya mio 100 na kazi umefanya vizurii halafu ushindwe kumpa Mhasibu hata 50k kisa kusema profit hamna itakua nyie ndio mnao bid kwa bei ndogo,hauna watalaam na hauna mitambo...
 
Si ndio hapo mzee Baba Mhasibu akikuambia mfumo haufanyi kazi unaanza kulaumu... Mhasibu unamruka engineer unampa mkwanja...
 
Hivi unafikiri wanaombaga 50,000? Ingia kwenye industry ndio utajua naongelea nini.

Mitambo sio lazima uwe nayo unaweza ukakodi na ukafanya kazi na ukamaliza.

Kazi ya kitaalamu lazima ifanywe na wataalam. Siwezi kufanya kazi bila site engineer na technicians.
Kama unalipwa certificate ya mio 100 na kazi umefanya vizurii halafu ushindwe kumpa Mhasibu hata 50k kisa kusema profit hamna itakua nyie ndio mnao bid kwa bei ndogo,hauna watalaam na hauna mitambo...
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom