Mratibu wa Kanda ya Pwani wa CHADEMA( TUGARA NI JANGA) (Simung'unyi)

Dah!
Anakalia kadi ili iweje!?
Kwani za kwake?
Ina maana bila yeye kadi hazipatikani.!?
Kwamba kwenye Kanda nzima yeye peke yake ndio anapaswa kutoa kadi!?
Sijaelewa hapa
 
Lord ashburton,
Inawezekana kuna jambo amekukera huyo mratibu lakini mimi nadhani kama wewe ni mwanachama na unataka chama kikue unafahamu utaratibu wa kupeleka malalamiko ili tatizo lako lishughulikiwe kwa mujibu wa katiba, kanuni na miongozo ya chama chetu. Ukiweka hapa JF, jambo rasmi la kichama sana sana unaongeza tatizo kwa washindani wetu wa kisiasa. Nakushauri andika barua ya malalamiko kwa mamlaka husika. Huku JF tupambane na ccm na siyo sisi kwa sisi. Simtetei Tugara kwa kuwa sijui lalamiko lako ila naelezea taratibu, kanuni na jinsi katiba inavyotutaka tufanye.
Hongera kwa kufanya kazi za chama kwa bidii kama maelezo yako yanavyojieleza.

MLETA UZI NI MFUASI WA ZZK NA KIKUNDI CHAO CHA ACT. Angekuwa ni mwanachama mzalendo angetumia njia za kiitifaki kuwasilisha lalamiko lake kwenye mamlaka ya juu ya chama
 
Back
Top Bottom