eden kimario
JF-Expert Member
- Jun 13, 2015
- 10,235
- 16,205
Hua nawaza hasara ya sh/billions 11 na huko kunakodaiwa kulawitiwa watoto na hawa jamaa nguza na papii IPI ni afadhali
Maana kifungo cha maisha kwa kosa la kulawiti hainiingii akilini na kulitia hasara taifa ya billions 11 najiuliza tungeinunulia nini hii pesa kama isingepotea