Mramba na Kimaro wakimbilia kanisani

..huyu Kimaro si alikuwa kwenye kundi la "wapiganaji"? halafu leo yuko pamoja na Basil Pesambili Mramba? CCM kweli ni wasanii.

Balozi%2B128.jpg


- Mhhhhhhhhh! hizi hukumu JF bwana yaani ukiwa na mtu flani basi unakuwa kama yeye, okay how about this?

Respect.


FMEs!
 
Utapiga kura? kama ni ndio, Je utakua wapi kipindi cha uchaguzi? Rombo au...
our Ignorance will leave Mramba as our MP for the next 5yrs. believe you me. Mramba atakua tena mbunge wa Rombo.


You that right...Kula 5 Vivian....

 
Mbunge ni 'mali' ya wale walioko jimboni kwake.

Kama wana jimbo wanamchagua mtu fulani, watu wa majimbo mengine hatuna haki ya kuingilia maamuzi yao, labda kura ziwe zimeibiwa.

Much as I disagreed with some decisions Mramba took while a Minister, I don't see why tukatae asichaguliwe na Warombo kuwa mbunge wao kama bado wanapenda iwe hivyo. Kugombea ubunge ni haki ya kikatiba ya Mramba. Kama Mramba hafai, na CCM aliyoko inamruhusu kugombea wakati hafai, hiyo ni fursa maridhawa kwa vyama vya mageuzi kwenye kujihomolea jimbo la uchaguzi la Rombo!

Still, namrespect Mramba on one aspect -- alipokuwa Waziri wa fedha hatimaye alianza kuchukua maamuzi ya busara kama vile kufuta kodi "ya maendeleo", jambo lililoleta tija, manufaa na amani ya kweli kule kijijini... far and wide from Rombo.

Kuhusu kuliletea taifa hasara, najiwekea breki kusema, lakini nabaki na maswali kwamba: katika awamu yao, ni yeye pekee Waziri aliyeleta hasara kwa taifa? Vipi wale wengine waliosaini 'mikataba mibovu'? Je, awamu hii hakuna mkataba mbovu hata mmoja unaojulikana kwamba ni mbovu? Je pana yeyote aliyewajibishwa? Je, Mramba ni mwanzo mpya wa uwajibikaji kwa kuwachukulia hatua wale waletao hasara, au ni 'kafara' inayotolewa kuwaridhisha 'wafadhili' kwamba 'hata vigogo', "si mnaona!?" tunawapeleka mahakamani" kwa tupigieni makofi kidogo jamani...

Mlenge
 
maji yamewafika shingoni. kwani alia,miwa na nani kuwa bila yeye rombo haiwezi kuwepo.? hana aibu hata kidogo huyo mramba . amesahau kauli zake pale watu walipolalamika juu ya ununuzi wa ndege mbovu ya rais..? kama sehemu ya fedha zile aliwapa hao wachungaji basi anachofanya ni kudai malipo kutoka kwao, vinginevyo awaachie WATU SAFI wagombee jimbo hilo. NANI ALILPA HATI MILIKI.?
 
Heri huyo Katibu wa CCM Mkoa, maana ujumbe wake uliwatahadharisha Wakuu wa dini kutotumia makanisa kuwa majukwaa ya siasa bali wahubiri upendo, amani nk.
 
kauli ya Mwalimu Nyerere iliyomwambia ‘mimi nastaafu ila wewe baki Rombo wasaidie wananchi wa Rombo.


Mramba is a first-class liar. Hivi kuwaambia wananchi wa Tanzania wakiwemo Warombo kwamba Ndege ya Rais, radar or whatever itanunuliwa hata ikibidi wananchi wale majani ni kuwasaidia? Pamoja na kesi mahakamani ya matumizi mabaya ya Uwaziri wake bado Mramba anajiona anayo credibility ya kuendelea kuwa Mbunge? Kwa nini watu wa aina ya Mramba wanaachiwa/wanaruhusiwa kuwachezea wananchi kiasi hiki?

Kulikuwa hakuna mantiki yoyote ya Mramba kutumbukiza jina la Mwalimu katika kujipigia debe. Tumuulize Mramba: Je, Mwalimu angelikuwa hai leo angethubutu kutamka hayo aliyowaambia hao wachungaji?
 
mkuu ben, naomba unifafanulie hapo kwenye red...njia gani hiyo aliyotumia kuwasaidia warombo?

Mkuu babu M,

I meant alitumia nafasi yake ya uwaziri kutenga bajeti kubwa Rombo badala ya kuzingatai vipaumbele vya kiuchumi.Ingawa bunge lilikubaliana still dhana nzima ya equal distribution of income anad allocation of resources ilihujumiwa

Pia,tuhuma za kutoa misamaha ya kodi ingawa ni tuhuma tu still zinamwathiri mwananchi wa Rombo ambaye Mramba ndiye mwakilishi wake.sasa babba wa Taifa hakumuagiza kuwasaidia wananchi wa Rombo kihivyo
 
Si kila mwanaume anayevaa suruali au mwanamke anayevaa sketi anastahili kuwa mbunge-Mramba
 
MRAMBA NA KIMARO WAKIMBILIA KANISANI.

Mbunge wa Rombo, Basil Mramba,
ametumia fursa ya kuwahutubia wachungaji 42 wa Kanisa la Kiinjili la Kulutheri Tanzania (KKKT) kwa kujitakasa kwamba yu mtu safi na mchapa kazi na kwamba ataendelea kuwa mbunge wa jimbo hilo.

Sambamba na Mramba, pia Mbunge wa Vunjo, Aloyce Kimaro ambaye aliitisha mkutano wa wachungaji hao ulioanza saa 4:00 asubuhi hadi saa 12:00 jioni, aliwasilisha rasmi maombi ya kutaka wamsaidie kuwasilisha ujumbe kwa waumini wao kwamba anakusudia kuwania tena ubunge katika jimbo hilo.

Katika mkutano huo ambao ni nadra kutokea katika kipindi hiki cha kupanda kwa joto la uchaguzi, Mramba na Kimaro, walitumia jukwaa hilo kujisafishia njia ya kuwania ubunge huku Mramba akitamba hakuna wa kumzuia isipokuwa kama tu Chama Cha Mapinduzi (CCM) kikimkataa.

Wachungaji hao wanatoka Jimbo la Kilimanjaro Mashariki la Dayosisi ya Kaskazini ya kanisa hilo linalojumisha sharika kutoka wilaya za Rombo na Moshi Vijijini.

.....



FMES,

..mfano wako wa picha ya Slaa na Lowassa haulingani hata kidogo na walichofanya Kimaro na Mramba.

..taarifa ya IPP hapo juu inaelekeza kwamba mkutano huo baina ya wabunge na wachungaji wa KKKT uliitishwa na "mpiganaji" Aloyce Kimaro.

..taarifa ya IPP hapo juu inaelekeza kwamba "mpiganaji" Aloyce Kimaro ndiye aliyempokea fisadi Basil Mramba alipofika mkutanoni.

..this was a JOINT ELECTION CAMPAIGN APPEARANCE AT A CHURCH FACILITY BY "mpiganaji" Aloyce Mushi and fisadi Basil Mramba.

..binafsi naona kuna matatizo mawili hapa. kwanza, nyumba za Ibada na Wachungaji wanatumika ktk kampeni za kisiasa. pili, ni huyu aliyekuwa akijiita mpiganaji[Kimaro] kuandaa mkutano wa kujisafisha kisiasa na kumhusisha fisadi[Mramba].
 


FMES,

..mfano wako wa picha ya Slaa na Lowassa haulingani hata kidogo na walichofanya Kimaro na Mramba.

..taarifa ya IPP hapo juu inaelekeza kwamba mkutano huo baina ya wabunge na wachungaji wa KKKT uliitishwa na "mpiganaji" Aloyce Kimaro.

..taarifa ya IPP hapo juu inaelekeza kwamba "mpiganaji" Aloyce Kimaro ndiye aliyempokea fisadi Basil Mramba alipofika mkutanoni.

..this was a JOINT ELECTION CAMPAIGN APPEARANCE AT A CHURCH FACILITY BY "mpiganaji" Aloyce Mushi and fisadi Basil Mramba.

..binafsi naona kuna matatizo mawili hapa. kwanza, nyumba za Ibada na Wachungaji wanatumika ktk kampeni za kisiasa. pili, ni huyu aliyekuwa akijiita mpiganaji[Kimaro] kuandaa mkutano wa kujisafisha kisiasa na kumhusisha fisadi[Mramba].


- Sawa mkuu nimekusikia sana!

FMEs
 
Mafisadi wote wanakimbilia makanisani, kunani paleeeee? au ndio sehemu walikofichia pesa zetu?

Rostam nae kila siku kanisani missada kibao, Luwasa kaenda mpaka Jeruselem, Hivi kuna connection yoyote kati ya Kanisa na Ufisadi? Wachungaji wanatuangusha nadhani wao sio chaguo la Mungu
 
i wish these statements were given after al ijumaa prayers,you would have seen the hypocrites condemning the gathering that they changed nyumba ya sala kuwa uwanja wa siasa,but here no body comments on that
you are just hypocrites,
 
i wish these statements were given after al ijumaa prayers,you would have seen the hypocrites condemning the gathering that they changed nyumba ya sala kuwa uwanja wa siasa,but here no body comments on that
you are just hypocrites,



You are right Bro!
Kumbuka kule kweli ni sehemu ya ibada watu wachafu na mafisadi kama hawa hawana nafasi wataishia hukohuko kwenye vilabu
 
headline_bullet.jpg
Mkuu wa wilaya asema aliitisha mkutano wa maendeleo
headline_bullet.jpg
Asema hakuitisha kwa ajili ya Mramba, hivyo asilaumiwe



Mramba%20B%282%29.jpg

Mbunge wa Rombo, Basil Mramba (CCM).



[FONT=ArialMT, sans-serif]Mbunge wa Rombo, Basil Mramba (CCM), amekutana na viongozi wa dini za Kikristo na Kiislamu pamoja na wa serikali kuzungumzia maendeleo ya wilaya na kutumia fursa hiyo kuwaomba viongozi hao wamuunge mkono nia yake ya kutetea kiti cha jimboni hilo, katika Uchaguzi Mkuu wa Oktoba, mwaka huu.[/FONT]
[FONT=ArialMT, sans-serif]Katika mkutano huo uliofanyika Machi 2, mwaka huu katika ukumbi wa ofisi ya Mkuu wa Wilaya hiyo, Peter Toima, na kuhudhuriwa na mapadri wa Kanisa Katoliki na masheikh wa wilaya hiyo, Mramba aliwaeleza kuwa ana nia ya kuwania ubunge katika jimbo hilo mwaka huu.[/FONT]
[FONT=ArialMT, sans-serif]Taarifa kutoka katika mkutano huo, uliochukua zaidi ya saa tano, zinadai kuwa Mramba alichelewa kufika na kukuta mkutano ukiendelea na katika mazungumzo yake, aliwaomba viongozi hao kufikisha salamu kwa waumini wao na kuhakikisha wanamuunga mkono ili aweze kufanikiwa.[/FONT]
[FONT=ArialMT, sans-serif]Aidha, aliwaomba viongozi hao kumsaidia ili aweze kurejea tena katika nafasi hiyo na kuwaeleza wazi kuwa bado ana nia ya kuwania ubunge katika jimbo hilo na kwamba nia yake itakwama tu kama Chama Cha Mapinduzi (CCM) hakitampa ridhaa.[/FONT]
[FONT=ArialMT, sans-serif]Wakizungumzia ombi hilo, ambalo ni nadra sana kutokea, hasa katika kipindi hiki, ambacho joto la uchaguzi limepanda katika maeneo mbalimbali nchini, baadhi ya viongozi walidai wana taratibu zao za kufanya kazi na hawawezi kuburuzwa na wanasiasa.[/FONT]
“[FONT=ArialMT, sans-serif]Sisi kama viongozi wa dini tuna taratibu zetu za kufanya kazi, kama mtu ametuita na ameonyesha nia ya kuwania ubunge,” alisema kiongozi mmoja wa dini na kuongeza: “Sisi tunamsikiliza na kuwaachia maamuzi wapigakura, ambao ni wananchi kwani hatuwezi kuwaambia wamchague nani na kumuacha nani.”[/FONT]
[FONT=ArialMT, sans-serif]Alisema kwa sasa nchi ikiwa inaelekea katika uchaguzi mkuu Oktoba mwaka huu, wanajitokeza watu wengi na kuongea nao, lakini wao wanawasikiliza wananchi pekee ndiyo wenye maamuzi.[/FONT]
[FONT=ArialMT, sans-serif]Akizungumzia mkutano huo ambao ulihudhuriwa pia na Katibu Tawala wa wilaya hiyo, Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri hiyo na viongozi wengine wa serikali, Mkuu wa wilaya hiyo alisema mkutano huo aliuitisha yeye kwa lengo la kukutana na viongozi hao wa dini kujadilia masuala ya maendeleo ya wilaya hiyo.[/FONT]
[FONT=ArialMT, sans-serif]Alisema kuwa hakujua Mramba alitokea wapi na kuhudhuria mkutano huo na kwamba hakumwalika, lakini kwa kuwa alifika alipewa nafasi ya kuzungumza na viongozi hao kama mbunge wao.[/FONT]
“[FONT=ArialMT, sans-serif]Sikumuita Mbunge (Mramba), yeye alihudhuria kama mtu mwingine ambaye angeruhusiwa kuhudhuria, kama ungekuwa mkutano wa viongozi wa siasa lazima ningemuita Mwenyekiti wa CCM mkoa na Katibu,” alisema DC Toima na kuongeza: “Mkutano wangu ulikuwa wa kawaida na si wa kisiasa.”[/FONT]
[FONT=ArialMT, sans-serif]Toima alisema mkutano huo ulijadili ushirikishwaji wa viongozi wa dini katika masuala ya maendeleo ya afya, maji, miundombinu na masuala mengine ya maendeleo ya wilaya hiyo.[/FONT]
[FONT=ArialMT, sans-serif]Alipohojiwa juu ya hatua ya kuitisha mkutano huo wakati kukiwa na joto la uchaguzi, alisema yeye si kiongozi wa siasa bali ni mtumishi wa serikali na kwamba hachanganyi siasa na dini na endapo kiongozi mwingine wa siasa angefika katika mkutano huo angeruhusiwa kuhudhuria.[/FONT]
[FONT=ArialMT, sans-serif]Siku hiyo hiyo, majira ya saa 7 mchana, Mramba alizungumza na wachungaji wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Dayosisi ya Kaskazini katika mkutano ulioitishwa na Mbunge wa Jimbo la Vunjo, Aloyce Kimaro (CCM).[/FONT]
[FONT=ArialMT, sans-serif]Mkutano huo ulifanyika makao makuu ya jimbo la Kilimanjaro Mashariki, katika mji mdogo wa Himo chini ya uenyekiti wa Mkuu wa Jimbo hilo, Luca Kessy.[/FONT]
[FONT=ArialMT, sans-serif]Katika mkutano huo, Mramba alisema licha ya kukabiliwa na kesi mahakamani, bado ataendelea kuwa mbunge wa jimbo hilo kwani wananchi wake bado wanampenda na watampa nafasi tena ya kuwawakilisha bungeni.[/FONT]
[FONT=ArialMT, sans-serif]Alisema ni mzoefu wa kesi na kwamba ana uzoefu katika utendaji kazi serikalini na ubunge kwani amekuwa mbunge wa jimbo hilo kwa vipindi vitatu tofauti.[/FONT]
[FONT=ArialMT, sans-serif]Aligusia kesi ya jinai inayomkabili mahakamani kuwa inamnyima nafasi ya kuwahudumia vyema wananchi wake.[/FONT]
[FONT=ArialMT, sans-serif]Mramba alisema si kila mwanaume anayevaa suruali au mwanamke anayevaa sketi anastahili kuwa mbunge, hivyo ni vyema wananchi wakawa makini sana na watu wanaojipitisha pitisha katika majimbo yao.[/FONT]
“[FONT=ArialMT, sans-serif]Siasa siyo kamari, kuwa kiongozi ni lazima uwe na wito fulani ndani yako na vile vile siasa ni kazi mbaya,” alisema bila kufafanua.[/FONT]
[FONT=ArialMT, sans-serif]Aidha, aliwabeza baadhi ya wabunge, ambao kwa sasa wanahaha katika majimbo yao kwa kurudi kuwabembeleza wananchi dakika za mwisho ilhali muda wao wa miaka minne waliutumia kwa kukaa jijini Dar es Salaam na kuishi maisha ya starehe.[/FONT]
“[FONT=ArialMT, sans-serif]Dunia ina watu wazuri na wabaya, tunaishi nao na tunafanyakazi nao, mimi ni mzoefu wa kushtakiwa na hilo halinikatishi tamaa ya kuwatumikia wananchi wangu ambao bado wana imani kubwa na mimi,” alisema.[/FONT]
[FONT=ArialMT, sans-serif]Hivi karibuni, Katibu wa CCM mkoani hapa, Steven Kazidi, alikaririwa akiwataka viongozi wa dini kutokubali makanisa kutumika kama majukwaa ya kisiasa hasa katika kipindi hiki cha kuelekea katika uchaguzi huo.[/FONT]




CHANZO: NIPASHE
 
Tujikumbushe, khaa huyu baba alikuwa na dharau! Si haba maneno yake ya nyodo ya kujititimua kifua mbele ya dola/Jamhuri ndo yamemfunga! Gray Mgonja yuko nje na hatukumsikia akiongea kwenye media

unnamed%2B%252843%2529.jpg


Mramba%2Bna%2BYona.jpg


BTW anafanana fanana na Ben Saanane, mna undugu nini?
 
Last edited by a moderator:
Jailed Mramba, Yona to contest ruling; seek bail

Published on Thursday, 09 July 2015 01:34 Written by FAUSTINE KAPAMA



JAILED former cabinet ministers Basil Mramba and Daniel Yona have taken their case to the High Court, seeking, among other things, consideration for bail pending their appeal.

"We have instructions from our clients to file a notice of appeal, which will be filed today (yesterday). It will be followed by an application for bail pending appeal before the High Court.

The application will be filed anytime from now," Mr Elisa Msuya, one of the advocates who represented the convicts during the trial told the ‘Daily News' in Dar es Salaam.

Bail pending appeal is lodged under Section 368 of the Criminal Procedure Act (CPA), which allows the High Court or the subordinate court which convicted or sentenced such persons to release them on bail with or without sureties pending the hearing of the appeal.

Upon grant of the application, the court may order that the execution of the sentence appealed against to be suspended pending the hearing of his appeal in which case he shall be treated as a remand prisoner, pending the hearing of his appeal.

According to the same law indicates that if the appeal is dismissed, the time during which the appellant has been released on bail or during which the sentence has been suspended shall be excluded in computing the term of imprisonment to which he is finally sentenced.

The move has been taken by the two - Mramba, then Minister of Finance and Yona - who was Energy and Minerals Minister - having been dissatisfied with the judgment issued by the Kisutu Resident Magistrate's Court in Dar es Salaam on Monday.

Two members of a panel hearing the historical case, Judge Sam Rumanyika and Mr Saul Kinemela, who a senior official in the Labour Commission, convicted the duo of abuse of office and occasioning 11.7bn/- loss to the government and sentenced to three years jail each.

The two members of the court who sat at the Kisutu Resident Magistrate's Court as Principal Resident Magistrates rejected the shield applied by the convicts that President Benjamin Mkapa had authorised the acquisition of the gold assayers company.

"We do not think that the president had directed an urgent procurement of the Alex Steward Assayers without following the procedure. The president, otherwise, should have so directed in express terms," Judge Rumanyika, declared when reading the judgment.

They further held that the Government Notices that were granted by Mramba for tax exceptions were arbitrarily issued in total disregard of the advice given by the Attorney General (AG) and officers from the Tanzania Revenue Authority (TRA), leading to pecuniary loss.

The judgment of the court was not commonly reached as one member of the panel, Judge John Utamwa, gave a dissenting judgment.

He had differed with others in respect of evidence given to have proved the charges against the two convicts. However, the court acquitted former Permanent Secretary (PS) with the Treasury, Gray Mgonja, after the prosecution, through its 13 witnesses, "miserably failed to prove the charges against him."

It was alleged that the two former ministers committed the offences between August 2002 and June 14, 2004, in Dar es Salaam, by giving preferential treatments to M/S Alex Stewart (Assayers) Government Business Corporation.

http://www.dailynews.co.tz/index.ph...l?tmpl=component&print=1&layout=default&page=
 
Miaka mitatu wajiunge Open University Degree ya sheria,wakitoka jela wana Degree Zao wanaunganisha School of Law. Ukijumlishia na ile miaka saba ya kesi majamaa watakuwa mawakili wakibabe level za Marando.
 
Tujikumbushe, khaa huyu baba alikuwa na dharau! Si haba maneno yake ya nyodo ya kujititimua kifua mbele ya dola/Jamhuri ndo yamemfunga! Gray Mgonja yuko nje na hatukumsikia akiongea kwenye media

unnamed%2B%252843%2529.jpg


Mramba%2Bna%2BYona.jpg


BTW anafanana fanana na Ben Saanane, mna undugu nini?

Aisee watu wa humu ni kiboko sijapata kuona yani kwa miaka mitano mmekuwa mnamulika mpaka hatimaye leo ananyea debe na kiburi chote kwisha. Kudadadeki.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom