Mradi wa walimu kutokulipa nauli una tija?

mwembemdogo

JF-Expert Member
Feb 28, 2016
2,282
1,252
Wadau hasa walimu naomba mtujuze Juu ya agizo la mradi wa walimu wa mkoa wa Dar es salaam kupanda mabasi ya Daladala BURE Kwa kuwa Na vitambulisho maalumu upo?Imebidi tuulize kwani MKUU wetu wa mkoa ana mambo mengi kiasi ambacho huenda la walimu kusafiri bure kaliacha.Tunaomba mtujuze.
 
Back
Top Bottom