ubarinolutu
JF-Expert Member
- Oct 22, 2012
- 2,264
- 4,702
Kutokana na Jecha s. Jecha kulikosesha taifa la Tanzania kiasi cha Bil 1050 za MCC, ambazo zingeweza kupeleka umeme ktk vijiji 2800, Serikali itaondoa na kufuta miradi ya REA 3, iliyokuwa imeshaandaliwa kufanyika kutoka katika fedha hzo. Badala yake serikali itayapa makampuni machache kuendelea kutekeleza mradi wa umeme vijijini , kwa bajeti ya bil 50 tu. Kuhudumia vijiji 150 tu.
Makampuni mengi ya wazawa yataanguka, ajira zitapungua, na wahuni mtaani wataongezeka.
Makampuni mengi ya wazawa yataanguka, ajira zitapungua, na wahuni mtaani wataongezeka.