cocochanel
Platinum Member
- Oct 6, 2007
- 26,769
- 73,481
sina uhakika sana unaweza usikae zaidi ya miaka 10, maana vyanzo vya maji vinakauka kwa kasi sana miaka hii kutokana na mvua kutokunyesha kama zamani,
Uharibifu wa mazingira unaokausha vyanzo vya maji unakuwa kwa kasi..Na jinsi mzee alivyohamasisha watu kuzaliana kwa fujo ndio itakuwa balaa zaidi miaka ya inayokuja
Capacity ya hilo bwawa itakuwa inapungua kwa kasi kama yalivyokuwa mabwawa mengine ya kuzalisha umeme wa maji
Maumivu yakizidi muone daktari.. kwa sasa pokea hizi 💉💉💉