Mradi wa umeme kwa kutumia mafuta mazito Mwanza. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mradi wa umeme kwa kutumia mafuta mazito Mwanza.

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Ze burner, Jul 16, 2011.

 1. Ze burner

  Ze burner JF-Expert Member

  #1
  Jul 16, 2011
  Joined: Jan 5, 2011
  Messages: 460
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 33
  Mh. rais!!!!!!!!!!
  napenda kuishukuru siri kali yetu ya jamhuri ya muungano kwa kutuletea mradi huu wa kuzalisha umeme kwa kutumia mafuta mazito hapa jijini mwanza. kwa kweli hii ni faraja kwani kwa sasa hata maji hayatembei vizuri mdomoni kwa sabab u umeme haupo tena na siyo mgao.
  Ombi langu kwako muheshimiwa uwasaidie hao wadau wa mradi wetu huu mkombozi ili angalau ifikapo 2020 uwe umemaliza na tuweze kupata umeme wa uhakika. pia umuombe ROSTAM kwa kuwa sasa ana muda wa kutosha baada ya kujiuzulu asaidie kusimamia mradi huu. Nina hakika wananchi watamsamehe.
  Ombi jengine mh. ni kwamba kwa kuwa hizi megawatts za grid ya taifa hazitoshelezi kwa mikoa yote naomba uwashauri TANESCO watugawiye umeme kwa mwezi mwezi angalau wamiliki wa viwanda na makampuni wakajipanga wakijua mwezi gani watafanya kazi na mwezi gani wataacha uzalishaji kwani hata mafuta ya kuendeshea jenereta mh. hali ni mbaya hayanunuliki na hata ukinunua hayaleti faida. na kama itawezekana hata miezi mitatu mitatu.

  tunakumba utusaidie hili mh. na sisi tutakusaidia kuwashawishi wabungu wapitishe mswada zile pesa za rada zote uchukuwa wewe mkuu sisi shida yetu umeme tu.

  Natumai ombi langu utalikubali kwa moyo mkunjufu.

  Wako katika ushenzi wa taifa

  mfakamia mali
   
Loading...