Mradi wa ujenzi wa Bomba la gesi wazinduliwa rasmi leo | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mradi wa ujenzi wa Bomba la gesi wazinduliwa rasmi leo

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Makupa, Jul 21, 2012.

 1. M

  Makupa JF-Expert Member

  #1
  Jul 21, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 2,742
  Likes Received: 67
  Trophy Points: 145
  Leo serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imekabidhi rasmi ujenzi wa bomba la gesi kura kwa kampuni ya kichina kwa ajili ya kuanza ujenzi.

  Kimsingi ujenzi wa hili Bomba ni ukombozi kwa nchi na sifa pekee anastahili kupewa raisi wetu Jk kwa kutambua umuhimu wa serikali yetu kumiliki miundo mbinu ya gesi.
   
 2. BONGOLALA

  BONGOLALA JF-Expert Member

  #2
  Jul 21, 2012
  Joined: Sep 14, 2009
  Messages: 13,782
  Likes Received: 2,392
  Trophy Points: 280
  hata lile songas waliahidi itashusha bei ya cement wazo,matokeo yake ipo juu kuliko cement ya pakistan!hizo ni porojo
   
 3. k

  kubenafrank Member

  #3
  Jul 21, 2012
  Joined: Aug 14, 2011
  Messages: 67
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Huna akili timamu unamsifu kikwete kwa lipi alilofanya zaidi ya kuingamiza tanganyika.Shame on you
   
 4. Gwankaja Gwakilingo

  Gwankaja Gwakilingo JF-Expert Member

  #4
  Jul 21, 2012
  Joined: Jan 26, 2012
  Messages: 1,963
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 145
  mhhhh haya ngoja tusubiri ni mapema kulaumu ama kutoa pongezi kwanimikatabaya nchi hii huzaa uozo mbele ya safari
   
 5. doup

  doup JF-Expert Member

  #5
  Jul 21, 2012
  Joined: Feb 26, 2009
  Messages: 1,172
  Likes Received: 335
  Trophy Points: 180
  hivi kweli eeenhhhe!!!???!!!!???!?~~~~!!!:wacko:
   
 6. B

  Bajabiri JF-Expert Member

  #6
  Jul 21, 2012
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 9,755
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  ni ukomboz kwa wanasiasa na matajiri walioweka pesa za gas uswizi,,,,,,acha kusumbua watu hapa,,,,,unadhan hiyo gasi itakunufaisha wewe,,,,subiri ije dar ndo utajua
   
 7. Marire

  Marire JF-Expert Member

  #7
  Jul 21, 2012
  Joined: May 1, 2012
  Messages: 11,420
  Likes Received: 259
  Trophy Points: 180
  Wangetaja na walioficha zile pesa za gas uswis na bado usitegemee kupata unafuu kwa hii serekali ya magamba
   
 8. BINARY NO

  BINARY NO JF-Expert Member

  #8
  Jul 21, 2012
  Joined: Dec 29, 2011
  Messages: 1,778
  Likes Received: 587
  Trophy Points: 280
  Bomba halina umuhimu km hiyo gas inayotoka inakua shipped to foreign states! Leo tumeona UGANDA wanataka 40%n ktk mafuta yao sisi bado tunamikataba ya 3% ktk madini,gas nk...So tumpongeze kwa lipi na uku mambo ya muhimu km haya hayajayafanya zaid ya kuombaomba
   
 9. TzPride

  TzPride JF-Expert Member

  #9
  Jul 21, 2012
  Joined: Nov 2, 2006
  Messages: 2,420
  Likes Received: 392
  Trophy Points: 180
  Ndugu hatuna 3% kwenye mikataba yetu ya Oil and Gas, tuna zaidi ya hapo, fanya utafiti hiyo 3% ni biashara aliyofanya Mkapa kwenye madini.
   
 10. simplemind

  simplemind JF-Expert Member

  #10
  Jul 21, 2012
  Joined: Apr 10, 2009
  Messages: 11,802
  Likes Received: 2,576
  Trophy Points: 280
  Hadi leo hamna sheria ya exploration and exploitation of natural gas hivo upo mwanya mkubwa wa kufanya madudu. Si ajabu tunakula 3% royalty tu.
   
 11. P

  Precise Pangolin JF-Expert Member

  #11
  Jul 21, 2012
  Joined: Jan 4, 2012
  Messages: 12,196
  Likes Received: 1,977
  Trophy Points: 280
  Hela yenyewe ya gas ilishachukuliwa na wajanja wa ccm wakahifadhi huko uswisi kwahiyo kinachofanyika sasa ni kulipa deni tuu
   
 12. TzPride

  TzPride JF-Expert Member

  #12
  Jul 21, 2012
  Joined: Nov 2, 2006
  Messages: 2,420
  Likes Received: 392
  Trophy Points: 180
  Sheria ipo, labda kama ina hitaji review. Hebu jihabarishe hapa Legal and Fiscals
   
 13. M

  Mokte New Member

  #13
  Jul 23, 2012
  Joined: Jun 27, 2012
  Messages: 2
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mokte,

  Mradi utakuwa mkombozi wa sekta ya umeme pamoja na uchumi.
   
 14. Kinyungu

  Kinyungu JF-Expert Member

  #14
  Jul 23, 2012
  Joined: Apr 6, 2008
  Messages: 4,380
  Likes Received: 3,339
  Trophy Points: 280
  Wanazidi kuongeza joto tu huku Dar, kwa nini wasizalishe umeme huko Mtwara halafu ukasambwazwa tokea huko kwenda kwa watumiaji wengine nje ya Mtwara?

  Kuna siku hawa waungwana watasema wa-diverge mto Rufiji uje Dar ili wazalishe umeme pale Mbagala!

  Za kuambiwa changanya na zako!
   
 15. Barubaru

  Barubaru JF-Expert Member

  #15
  Jul 24, 2012
  Joined: Apr 6, 2009
  Messages: 7,162
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 0
  Hakika ni uwekezaji mkubwa kwa Serikali yenu katika kutaka kukuza uchumi wa nchi yenu. Hakika kila penye barabara nzuri, umeme wa uhakika na bandari nzuri basi maendeleo yatatapatikana kwa kasi sana.

  Hongereni sana

   
 16. mgt software

  mgt software JF-Expert Member

  #16
  Oct 4, 2015
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 10,717
  Likes Received: 1,627
  Trophy Points: 280
  wamwombe bibi aachie
   
Loading...