bullar
JF-Expert Member
- Aug 16, 2014
- 9,084
- 19,950
At least 15M nakushauri anza na mbuzi.. nmeifanya hii kazi naifahamuLabda kiasi gani mkuu inaweza kutosha?
At least 15M nakushauri anza na mbuzi.. nmeifanya hii kazi naifahamuLabda kiasi gani mkuu inaweza kutosha?
Ilikuaje mkuu,.. Maana nami niliwaza kufanya hivyoMimi nimewahi kunenepesha ng'ombe baadaye kuwaleta pale Mnada wa Pugu. Nilijuta sana na sitarudia tena maishani.
Du aha ha a we manzese kweli ufugaji haukufaiMbuzi ukimhasi ananenepa?
uliliaje mkuuMimi nimewahi kunenepesha ng'ombe baadaye kuwaleta pale Mnada wa Pugu. Nilijuta sana na sitarudia tena maishani.
Kwaniaba ya biashara mzeeeWakuu naomba kuuliza swali. Ng'ombe dume anahasiwa ili iweje? Mimi nilidhani ananunuliwa ili azalishe?
Mkuu ng'ombe wa maziwa wapo aina nyingi ila kwa hapa Tanzania common breed ni Ashire, Fresian na Jersey. Wakati mwingine unakuta kutokana na kutoelewa kwa wakulima hizi breed zimezaliana pia kwahiyo unaweza kupata mchanganyiko wa hizo breed. Ng'ombe wanaongoza kwa utoaji wa maziwa ni Fresian wakifuatiwa na Ashire na Jersey ni wa mwisho. Kila mmoja hapo anafaida zake na asara zake. Fresian wanatoa maziwa mengi kama ukiwalisha vizuri lakini maziwa yake yana fat content kidogo ukilinganisha na wengine. Pia ni warahisi sana kushikwa na magonjwa especially maeneo ya joto au kama utawafuga huria. Ashire yeye ana maziwa mengi pia lakini siyo mengi kama Fresian ila maziwa yake yana fat yahani mafuta zaidi. Pia uwezo wake wa kukabiliana na magonjwa ni mkubwa kidogo ukilinganisha na Fresian. Pia anakula chakula kidogo kulinganisha na fresian .Jersey wanaumbo dogo kidogo kwa hizo aina nyingine mbili wao faida yao ni kuwa na uwezo wa kutoa maziwa ambayo yanakiwango kikubwa cha fat. Yahani maziwa yake ni futa futa yanakaribiana na ya ng'ombe wa kienyeji lakini pia ni mengi lakini siyo kama ya wenzie hapo juu. Pia kutokana na kuwa na mwili mdogo wanakula chakula kidogo kulinganisha na hao wawili hapo juu. Pia wanauwezo wa kupambana na hali ngumu kidogo. Kimsingi ng'ombe wa maziwa wote siyo rafiki wa ufugaji holela kama wale wa kienyeji .hivyo ukiamua kufanya mradi wa ufugaji wa ng'ombe wa kisasa epuka kuwazururisha kama wale wa kienyeji. Kama unataka kuwachunga hakikisha unawachunga kwenye eneo ambalo unachunga wewe tu. Yahani shambani kwako ambapo hawakutani na wengine. Pia ufuate ushauri wa kitaalam hasa kinga na matibabu. Ng'ombe hawa inapendeza zaidi ukiwafuga kwenye eneo ambalo ni confined. Maeneo ya pwani wanafugwa pia. Kuna aina nyingine ya ng'ombe ambao kwa asili ni ng'ombe wa kienyeji huko india wanaitwa Sahiwal. Hawa nao wana maziwa mengi kiasi lakini hawafikii wale watatu juu. Ila hawa wanamudu kwa kiasi fulani mazingira magumu. Hawa pia wanapatikana tanzania ila maeneo ya mpakani na Kenya Namanga kwasababu hii breed inafungwa pia kenya. Kenya wapo mbali sana kwenye issue ya ufugaji kwasababu serikali yao inasupport sana wakulima na wanaimport mbegu nzuri kutoka nje ya nchi. Jambo lingine unalotakiwa kuelewa ni kwamba utoaji wa maziwa kwa hawa ngombe wote wa kisasa unategemea sana malisho mazuri na huduma nzuri mtu anazo mpatia ng'ombe wake.MIMI NAOMBA KUFAHAMU YAFUATAYO
1. NI AINA GANI YA NG'OMBE WA MAZIWA ANAYEWEZA KUTOA MAZIWA YA KUTOSHA KWA MIKOA YENYE JOTO KAMA LINDI NA MTWARA
2. NG'OMBE HAO WANAPATIKANA WAPI KWA KARIBU NA BEI ZAKE (MAKADIRIO)
3. ILI WAWEZE KUENDELEA KUTOA MAZIWA YA KUTOSHA, WAPATE AINA GANI YA CHAKULA.
Nina mpango wa kuanza huu ufugaji na mtaji ninao.. Nataka nianze huu mradi mwishon mwa mwaka huu 2018.
Ushauri tafadhali.
Ndio napatikana dar Mkuu.Upo wapi mkuuu inaonekana wwe ni mtaalamu wa ngombe? Upo dar