infantrier
JF-Expert Member
- Jan 1, 2013
- 343
- 126
Wanajamii kuna huu mradi wa REA ,Umeme Vijijini katika Kijiji cha NAMWAWALA Wilaya ya KILOMBERO nguzo za umeme mkubwa zimepitishwa kwenye maeneo ya nyumba za watu, badala ya kupitisha kandokando ya Barabara kuu.
1. Naomba wataalamu wa umeme na wengine mtufahamishe madhara ya huu umeme wa KV kubwa kupitisha kando ya nyumba za watu.
2. Naomba Viongozi wa juu wafuatao Mbunge waJimbo la Mlimba, Mkuu wa Wilaya ya Kilombero, Mkuu wa Mkoa wa Morogoro.
Kamishina wa Nishati, pamoja na Mameneja wa TANESCO Wilaya ya Kilombero na Mkoa wa Morogoro, Wafuatilie kwa makini huu mradi kuna dalili ya rushwa kati ya Viongozi wa Kijiji na msambazaji (Contractor).
Nawasilisha