Mradi wa Salama waterfront ufukwe wa Coco | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mradi wa Salama waterfront ufukwe wa Coco

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Game Theory, Jul 16, 2009.

 1. G

  Game Theory JF-Expert Member

  #1
  Jul 16, 2009
  Joined: Sep 5, 2006
  Messages: 8,571
  Likes Received: 92
  Trophy Points: 0
  Huu mradi umeishia wapi?

  Nawasilisha.
  nb: Watu wa Ulaya na USA najua mtaanza ohh lete data zaidi.Sio kosa langu nyie kukaa nje na kuwa out of touch with whats going on the ground.
   
 2. K

  Koba JF-Expert Member

  #2
  Jul 16, 2009
  Joined: Jul 3, 2007
  Messages: 6,144
  Likes Received: 494
  Trophy Points: 180
  ....mambo ya topic style za mipasho!
   
 3. Steve Dii

  Steve Dii JF-Expert Member

  #3
  Jul 16, 2009
  Joined: Jun 25, 2007
  Messages: 6,416
  Likes Received: 67
  Trophy Points: 145
  Ni takribani miaka minne sasa... what went wrong - who knows!

  Anyway, mji gani huo unaweza kuwa na "world class waterfront" huku usafiri mkuu ni vipanya?!
   
 4. Baba_Enock

  Baba_Enock JF-Expert Member

  #4
  Jul 16, 2009
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 6,802
  Likes Received: 160
  Trophy Points: 160
  It never took-off!
   
 5. Steve Dii

  Steve Dii JF-Expert Member

  #5
  Jul 16, 2009
  Joined: Jun 25, 2007
  Messages: 6,416
  Likes Received: 67
  Trophy Points: 145
  ...mmmh, kwani uhusiano kati ya CPCS na TPA uliingia ingia chenga vipi tena?!!
   
 6. The Farmer

  The Farmer JF-Expert Member

  #6
  Jul 16, 2009
  Joined: Jan 7, 2009
  Messages: 1,581
  Likes Received: 433
  Trophy Points: 180
  Mpaka sasa ishu hajulikani kabisa na miaka inazidi kwenda!!
   
 7. Baba_Enock

  Baba_Enock JF-Expert Member

  #7
  Jul 16, 2009
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 6,802
  Likes Received: 160
  Trophy Points: 160
  AND

  And the story keep going....
   
 8. Gelange Vidunda

  Gelange Vidunda JF-Expert Member

  #8
  Jul 17, 2009
  Joined: Aug 18, 2008
  Messages: 312
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Imetoka tender ya kutengeneza bike and walking/running track from Azania beach along the coast to Sea Cliff hotel in Masaki. hii ni katika kuboresha waterfont ya jiji letu la mnyalukolo Lukuvi.

  Incidentally, magazeti ya jana yamereport kuwa zinatafutwa shilingi trilioni 2 hivi kuukarabati jiji la Dar liwe na hadhi ya kimataifa zaidi. Labda waterfront ni mojawapo ya mradi hiyo.
   
 9. M

  Mama Joe JF-Expert Member

  #9
  Jul 17, 2009
  Joined: Mar 30, 2009
  Messages: 1,507
  Likes Received: 60
  Trophy Points: 145
  Mie nauliza hii Bahari Beach Project ni ipi, nimeikuta hapa
  Bahari Beach Project Main Page

  inaonyesha tayari inaendelea, inavutia sana hasa ukiplay hiyo movie yake!
  but will this ever come true? hii miji ya mfano itapendeza kama itumike kweli kama mfano wa kuboresha maeneo mengine pia, vinginevyo italeta ubaguzi kama itakuwa tofauti sana na sehemu nyingine kwa upendeleo inayopewa.
   
 10. MwanaHaki

  MwanaHaki R I P

  #10
  Jul 18, 2009
  Joined: Oct 17, 2006
  Messages: 2,403
  Likes Received: 122
  Trophy Points: 145
  Hivi majuzi mradi wa DART (Dar es Salaam Rapid Transit), yaani, mabasi yaendayo kasi, ulitangaza zabuni ya wabunifu (architects) kuchora njia ya baiskeli pamoja na waterfront, itakayoanzia bandarini (Old Post Office...?) hadi Upanga, na mwishowe, Oysterbay (Coco) Beach, kupitia upande wa Magogoni/Kivukoni Front.

  Ninahisi Salama Waterfront imemezwa na DART, lakini sina uhakika.

  ./MwH
   
 11. Rev. Kishoka

  Rev. Kishoka JF-Expert Member

  #11
  Jul 18, 2009
  Joined: Mar 7, 2006
  Messages: 4,470
  Likes Received: 276
  Trophy Points: 180
  Kwanza wahakikishe vyoo vina maji na takataka zinazolewa kila siku, hii haihitaji fedha nyingi kuboresha hadhi.

  Iweje Moshi usifike kama mji msafi Afrika na Dar ambapo ni makao makuu ndipo pachafu kupindukia?
   
 12. G

  Game Theory JF-Expert Member

  #12
  Jul 20, 2009
  Joined: Sep 5, 2006
  Messages: 8,571
  Likes Received: 92
  Trophy Points: 0
  I cant wait to see hiyo blue print
   
 13. Chapakazi

  Chapakazi JF-Expert Member

  #13
  Jul 21, 2009
  Joined: Apr 19, 2009
  Messages: 2,881
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  Sasa kama wewe uko in-touch, kwa nini unaulizia tena?
   
 14. Chapakazi

  Chapakazi JF-Expert Member

  #14
  Jul 21, 2009
  Joined: Apr 19, 2009
  Messages: 2,881
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  Naona kwanza sijui inajengwa na Wachina. Maana mziki/tune inayosikika kwenye background ya movie, ni wa kichina.
  Ningependa kukuunga mkono kuwa style kama hii inaleta ubaguzi na kuongeza matabaka nchini, maana inaoneka itakuwa sehemu ghali ya kuishi.
   
 15. Mateso

  Mateso JF-Expert Member

  #15
  Jul 21, 2009
  Joined: Aug 6, 2008
  Messages: 240
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Natumaini wanamazingira waliupiga vita wakidai viumbe vingi vitanyakwa haki nyingi ikiwa pamoja na haki ya kuishi. Hebu tuwasikie wengine.
   
 16. Steve Dii

  Steve Dii JF-Expert Member

  #16
  Jul 21, 2009
  Joined: Jun 25, 2007
  Messages: 6,416
  Likes Received: 67
  Trophy Points: 145
  Jitu halina mapungufu yoyote kimaumbile lakini linajinyea na lichafu... halafu wewe kwa kufikiria ni mtashi unalinunulia suti mpyaaa eli ling'ae na kuonekana pasnaa!!! Mweeee...

  Unadhifu wa pahala unategemea sana ustaarab wa wanajamii. Hizi cures badala ya kinga hazitatufikisha mbali. Kuna vimiji hata vijiji ambavyo wala havina infrastructures na ma projects makubwa makubwa ya mabillioni ya pesa, but mtu unatamani mandhari na ustaarab wa mambo yaliyopo.

  Ndiyo Dar ina population kubwa, but in my opinion kwa ustaarab uliopo amongst the majority chochote kile kitakacholetwa hata kiwe cha bei gani, kama population hii haitatungiwa sheria zinazotekelezeka na kuhimizwa kwenye masuala mbalimbali, hususan ustaarab, kitu hicho kitaharibika within no time.
  Tumejionea jinsi vile uwanja wa mpira ulipofunguliwa ulivyokuwa vandalised kwenye game ya kwanza tu ndani ya pitch ile. Mara uzio ikabidi wauzungushie mabati ili watu wasiharibu!! Mifano hii na mingine mingi tell a lot about Dar population!
   
 17. Chapakazi

  Chapakazi JF-Expert Member

  #17
  Jul 21, 2009
  Joined: Apr 19, 2009
  Messages: 2,881
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  Correction...sio kampuni ya kichina, ni ya uingereza
   
 18. G

  Game Theory JF-Expert Member

  #18
  Jul 21, 2009
  Joined: Sep 5, 2006
  Messages: 8,571
  Likes Received: 92
  Trophy Points: 0
  inaitwaje?
   
 19. Chapakazi

  Chapakazi JF-Expert Member

  #19
  Jul 21, 2009
  Joined: Apr 19, 2009
  Messages: 2,881
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  Hapa tunaongelea Bahari Beach project sio hiyo ya Salama Waterfront mkuu. Hawa wa hiyo Bahari Beach ni Intergrated Property Investments Ltd. Salama sina habari nayo.
   
 20. SILENT WHISPER

  SILENT WHISPER JF-Expert Member

  #20
  Jul 21, 2009
  Joined: Jun 26, 2009
  Messages: 2,231
  Likes Received: 53
  Trophy Points: 145
  Salama water front in pics. Its a serious project. Bongo itakuwa kama ulaya...! Check these pics..!
   

  Attached Files:

Loading...