Huyu jamaa alikuwa mfanya biashara maarufu wakati baba yake akiwa raisi. Baadhi ya biashara zake zilitia ndani kuagiza mafuta (crude oil) ambayo wakati fulani shehena yake ilizua mzozo mkubwa kati ya katibu mkuu na waziri wake pale wizara ya nishati na madini, kwa kuwa hiyo crude oil ilikuwa tofauti na standard iliyokubalika pale refinery (TIPER) na huyo katibu mkuu akaikataa wakati waziri wake aking'ang'ania hiyo crude oil ipakuliwe! (sasa utashangaa kujua nani alikuwa katibu mkuu na waziri Nishati na Madini wakati huo!). Pia alikuwa na biashara ya mazao, ambayo wakati fulani ilileta kelele sana kwa kuwa kuna wakati kulikuwa na issue kwamba walikuwa waki-export mahindi kwenda nje wakati Tanzania kukiwa na uhitaji mkubwa wa chakula. Hiyo biashara ilimuuhusisha pia Mbunge wa mmoja wa kaskazini ambaye pia ni wakili maarufu.
Sasa hao ndio viongozi wetu waliokabidhiwa dhamana ya nchi!
Yaani nachoka kabisa.
Jasusi, hiyo ni .docx ..... ni ya Vista OS (or Windows 7)Mbona hiyo doc haifunguki? Pia kuna zile apartment buildings Mikocheni.
There is no ustaarabu between Lions and men or more appropriate in this case, commonsense and nonsensical dispositions. Banning me would not solve anything, at least I speak very candidly and open heartedly about substandard threads that undermine the meaning of JF..l say we must discourage people from putting unsubstantiated, defamatory and malicious threads.. so that we can focus on nyani..
10billions.Kwani ni mfanyabiashara wa siku nyingi?. Usifanye mchezo na 10billion kwa mtu mmoja kuwa nazo kama si mfanyabiashara.
pcman kwa mtu mkubwa kama mtoto wa Mwinyi billion 10 ni fedha ndogo sana. Labda ungesema trillion 100 ndio ningesema ni nyingi. Naomba sana tuheshimu watoto wa maraisi wetu. Tusilete utani kwa watoto wa wakubwa. hata Mungu analijua hilo.
Ohh dear are you f..... joking? Kwa hiyo kama mtoto ni warais we all have to bow our head for him? Swali nililonalo kwako... je rais ni mtu mmoja au ni familia yake nzima?
ndugu yangu unataka data gani? huko nyuma nimeelezea mfano ulikuwepo na kuandikwa kwenye magazeti kuhusu ilipokuwa ofisi za zambia airways, na kuchukuliwa na familia ya kwanza, kuna deal nyingi tu mpaka za kuna shirika moja la ndege liliingia bongo likaishia kimya kimya sikumbuki jina vizuri macsoms? , haya hilo jengo lilikuwa la nhc/kiwanja sasa wewe ulisikia lini hicho kiwanja/myumba inauzwa mpaka useme kilipatikana kihalali? je unajua kuna viwanja vingapi vya wazi vilibadilishwa matumizi yake, kwa ajili ya familia ya kwanza, na ufisadi mwingine, mpaka road reserve maeneo ya kurasini ilifanywa kiwanja na watu walijenga karibu na rtc club au kurasini centre kule kwa wakatoliki ( mkabala ma Barabara ya Mandela. wewe kama una mtu wako nhc muulizie watakupa nyingi tu, madeal ya namna hiyo mpaka wengine walipata nyumba za tpdc upanga , sasa bado yale ya nyuma ya pazia ambayo wengi wetu hatu ya jui.Naona unanichanganya na ma corporate lawyers sasa.
Wewe umesema mtaji batili, nakuuliza batili kivipi na wewe unanijibu kwa swali "alipata kwa njia halali?" . Burden of proof iko kwako wewe accuser.Toa data, sio unadandia magari tu.
Sasa ufisadi ukowapi?? Hii heading ni defamatory kwasababu hakuna ushahidi.. infact hakuna ata accusation ya maana.. Kujenga apartment ndio ufisadi??? Au kufanya project ya 10million dollars ndio ufisadi? Kwanini alieleta thread hajaongelea funding jamaa katoka wapi..ameconclude kabla hajatoa ushahidi wowote ata theoretical..lol That is too weak and too speculative ndio maana inakera watu wakiandika vitu vya hovyo namna hii. I'm just saying.
Kiwanja kilikuwa cha NHC na sidhani kabla ya utaifishaji wa 1967 babayake alimiliki jengo hapo Seaview
Posted Date::4/22/2008
Rudisheni nyumba zote za serikali
Na Prof. Abdallah J. Saffari
Mwananchi
Makala hiyo inaelezwa kuwa baada ya kujichukulia nyumba ya serikali iliyopo Sea View, Upanga, Dar es Salaam Rais mstaafu Mkapa aliwaruhusu wenzake wachukue nyumba walizokuwa wanakaa kuficha dhuluma hiyo. Nyumba nyingine zilikarabatiwa kwa mamilioni kabla ya kuuzwa kwa bei poa. Rais Kikwete naye akaambulia yake Mtaa wa Ursino, Ada Estate, Dar es Salaam ambayo hadi sasa hajairejesha serikalini.
source; https://www.jamiiforums.com/jukwaa-la-siasa/12516-rudisheni-nyumba-zote-za-serikali-2.html
sio ukweli...well said!
na ikithibitika alikipata kiwanja kwa njia halali Mheshimiwa huyu ataombwa radhi? Haikuwa ajabu enzi za Mwalimu waheshimiwa kujenga mitaa ya Seaview, na huenda ameachiwa urithi na wazee wake.
Hakuna ajabu yeyote Dr. Mwinyi kuingia ubia na wawekezaji fulani kujenga apartments Blocks.
Mfano; Maeneo mengi ya Upanga utakuta hizo Blocks zenye majina ya 'Clients' ambao ni watoto/wajukuu wa wazee waliokuwa wanamiliki hizo plots miaka ya 70's... ambazo wengi wao wameingia mikataba yaku-lease plots zao kwa wawekezaji.
Au kufanya project ya 10million dollars ndio ufisadi?
sio ukweli
nimekaa mtaa wa mindu for more than 15 years na maghorofa yote unayoyaona mindu ni watu wameuza viwanja, hamna hata mtu mmoja wa zamani. hali iko hivyo kwenye mitaa mingine ya upanga
...dah, haya bana.
mfano wa kwanza; Pale pembeni ya Ubalozi wa Libya (Mtaa wa Mtitu), kuna Ghorofa linajengwa kwa ajili ya Apartments. Lina ghorofa saba tayari. Umesoma jina la Clients?
3^$&$()*(&#e%%^&%&()(e%r*()*() fvkdjahg()retq)uqhrjlvgdc^*roe qr{gn)fvbucor