Mradi wa mikanda ya mabasi na taxi, speed gavana - ni ufisadi wa mapolisi? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mradi wa mikanda ya mabasi na taxi, speed gavana - ni ufisadi wa mapolisi?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Pdidy, Sep 3, 2009.

 1. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #1
  Sep 3, 2009
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,249
  Likes Received: 5,631
  Trophy Points: 280
  JAMANI NAOMBA KUULIZA SI UJINGA,,...NIMESHANGAA SANA HIVI KARIBUNI KULIKUJA NA SWALA LA KUPAKA RANGI KWENYE TAX...KAMANDA MMOJA WA POLISI AKAJITAHIDI SANA KUSHADADIA HILI...KBLA YA KUJA KUJUA MOJA YA SEHEMU ZA KUPAKIA RANGI(URGENTS) YE NI MMILIKI....
  MAJUZI TU AMESIMAMA MH KOMBE NAE AMEKUJA NA SWALA LA SPEED GAVANA ATI MPAKA DEC....NA MIKANDA....JAMANI KAMA MNAKUMBUKA MCHEZO ,CHAFU ULIOCHEZWA NA ALIEKUWA WAZIRI MKUU WA TANZANIA MH SUMAYE NA MCHEZO WA KE WA SPEED GAVANA TULIFIKA WAPI???HUYU KOMBE ALIKUWA BADO POLISI ALITOA MAONI GANI BADA YA KUONA WATU WANAKUFA NA SPEDD GAVANA.....LEO HII KUNA NINI LIMEFUMUKA WAMEKUMBUKA SPEED GAVANA JAMANI.....MIKANDA HII IMEPIGIWA KELELE TANGU LINI....WATU WAMEKUFA WAMEKAA KIMYA......JAMANI WAPI TUNAENDA....LEO HII NAONA KILA GAZETI KUNA MAKAMPUNI YANA JIANDIKA

  MIKANDA MIKANDA MIKANDA

  WALE WASAMBAZAJI WA MIKANDA YA MABASI WANAPENDA KUWAATARIFU ILE MIKANDA YA MABASI IMEWASILI NA OFA YA KUFUNGIWA MIKANDA WAHI HARAKA IKO MICHACHE...KAMA MICHACHE SI UNGEACHA IISHE MLETE MINGINE....HUU UFISADI UTAISHA LINI JAMANI????


  MMMhhhhhh haya kombe tusubiri na speed zenu...hakika damu za watu watakaokufa ndani ya speed gavana zenu zitawafwata na vitukuu vyenu
   
 2. Mhache

  Mhache JF-Expert Member

  #2
  Sep 3, 2009
  Joined: Jun 20, 2008
  Messages: 346
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Ni vigumu kuamini kama nchi hii inaongozwa na watu wenye akili na waliosoma. Inapotokea ajali inakuwa ni neema kwa wachache, ninamaanisha hivyo kwa sababu kipindi kama hiki ndio maamuzi yasiyokuwa endelvu hufanyika. Suala la Speed governor au vipunguza mwendo havikusaidia lolote. Kwani maamuzi yanapofanyika hakuna evaluation au monitoring inayoufanyika? Inatakiwa pafanyike utafiti wa kina kubaini faida zilizopatikana kutoka na maamuzi kama ya speed governor kama kulikuwa na manuafaa au la. Inabidi tuliulize vyanzo vya ajali ni nini? Tuliulize ni kwa nini ajali zinapotokea zinafululiza kwa kipindi fulani na kutulia? Isije ikawa na wenye vyombo vya usafiri wanatoa maisha ya watu kafara ili wapate biashara/hela lukuki. Au kuna nguvu za giza au ushirikina ndani yake kama lilivyo suala la kutuua sisi alibino?

  Haya maamuzi ya kukurupuka inabidi yafanyiwe utafiti.
   
 3. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #3
  Sep 4, 2009
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,249
  Likes Received: 5,631
  Trophy Points: 280
  Inatakiwa pafanyike utafiti wa kina kubaini faida zilizopatikana kutoka na maamuzi kama ya speed governor kama kulikuwa na manuafaa au la. Inabidi tuliulize vyanzo vya ajali ni nini? Tuliulize ni kwa nini ajali zinapotokea zinafululiza kwa kipindi fulani na kutulia? Isije ikawa na wenye vyombo vya usafiri wanatoa maisha ya watu kafara ili wapate biashara/hela lukuki. Au kuna nguvu za giza au ushirikina ndani yake kama lilivyo suala la kutuua sisi alibino

  there ur..............mi nimechoka basi tu kukimbiia tanzania siwezi.....tuwatakie biashara njema
   
Loading...