Mfumo wa kutibu maji katika mradi wa maji wa Imaliabupina – Ichwankima mkoani Geita. Mradi umefikia asilimia 80 ya ujenzi na wananchi katika vijiji 11 watapata huduma ya majisafi,salama na ya kutosheleza.