Mradi wa maji chalinze umekamilika asilimia 98

Hizo walichangishwa waalimu. Na bado hazikuwa na viwango kwa maana ya vifaa. Vifaa vilikuja kusambazwa na JPM kwa kutumia magari ya jeshi.
Mh!!
na vp nishati ya gesi toka mtwara hadi kinyerezi?
 
Safi Sana tumeteseka Sana maji Chalinze,nirudi kwetu Sasa Kibiki maziwa
 
CHALINZE

Waziri wa Maji Mhe. Jumaa Aweso amekagua na kuridhika kuruhusu maji yaanze kutumiwa na wananchi katika maeneo ya Chalinze ambapo miundombinu imekamilika. Hizi ni habari njema kwa wananchi wa Chalinze ambao kwa muda mrefu wanahangaika na shida ya maji. Kwa upande wa Mbunge wa Jimbo la Chalinze amemshukuru Hayati Rais John Magufuli kwa kuridhia kuanzisha mradi na Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan kwa kuhakikisha anaukamilisha mradi huu.
Mbunge alieleza kutambua mchango wa wote kwa kusema kuwa "...kiungwana Usipomshukuru Binadamu mwenzio kwa kidogo , hauwezi mshukuru Mwenyezi Mungu kwa kikubwa.

Mhe Ridhiwani Kikwete, Mbunge wa Jimbo la Chalinze Mkoani Pwani.

View attachment 2001671

View attachment 2001672

View attachment 2001673

View attachment 2001674
Huu ni upi na ule wa JK ni upi ? Nakumbuka ulikuwepo mradi mwingine pale Chalinze 2002 to 2010 hivi .......naomba ufafanuzi
 
Kuna miradi ya kikwete ilifikia 80+% na haikumalizwa (kwa makusudi), km huyu ssh anaimalizia kwa upendo tu ya mwenzie basi anaxtahili sana pongezi
Mradi gani ulifikia 80+%wa kikwete ambao haujakamilishwa
 
Mradi wa Chalinze ulianza tangu enzi za Kikwete na ulijengwa na Wachina. Pump house pale Wami na matenki pande zote mbili kwenda Himo na kuja Chalinze karibu yote yalikuwa yamekamilika.
Wewe unazungumzika kitu usichokijua , huo mradi unaozungumziwa haukuanza kipindi cha kikwete?
 
Huu ni upi na ule wa JK ni upi ? Nakumbuka ulikuwepo mradi mwingine pale Chalinze 2002 to 2010 hivi .......naomba ufafanuzi
Hivi ni kuwa watu hamsomi? Hapo ridhiwani kasema anashukuru Magufuli kwa kurididhia kuanzishwa mradi.
Ungekuwa ule wa jk Wala asingesema hayo
 
Hivi ni kuwa watu hamsomi? Hapo ridhiwani kasema anashukuru Magufuli kwa kurididhia kuanzishwa mradi.
Ungekuwa ule wa jk Wala asingesema hayo
Wewe ndio huelewi.....nataka kujua ule zamani uli fail ulikufa au upgrade au kitu gani....mbona unahamisha magoli
 
Back
Top Bottom