NDINDA
Platinum Member
- Apr 4, 2011
- 10,324
- 47,042
- Thread starter
- #61
Sikubaliani na wewe kwamba nchi yetu ni masikini. Tanzania sio masikini hata kidogo, ni usimamizi mbovu tu wa rasilimali zetu na uongo wa viongozi kutaka kutuaminisha kwamba nchi ni masikini wakati wao na familia zao wanaishi maisha ya matanuzi. Kwa kutaka cha juu au kwa kutokujali wengine, viongozi wetu wamesaini mikataba mibovu inayofanya the so called wawekezaji kujichukulia utajiri wetu watakavyo kwa kuwa tu waliwaonga wachache.
Tanzania si masikini!!!!
nakubaliana na wewe umasikini wetu sio kama hatuna kitu, umasikini wetu ni wa kusababishwa na hao ambao w=hawawezi kutumia rasilimali za nchi vizuri ili nchi ipige hatua, management ya maliasili mbovu, wasimamizi wanaona mwisho wa matumbo yao, wanazidi kuneemesha mabenki ya uswiss, maana ndio wanazificha huko, ovyo kweli, bora wangekua wanazizungushia hapahapa kwa kufungua miradi mbalimbali, ingeuma lakini atleast wametupatia vibarua.