Mradi wa kukusanya hela za Rushwa kwa CCM kwenye uchaguzi wa 2015 huu hapa, tayari waanza.

Watanzania tumekuwa wapole mno,kila tunachoambiwa tunakubali kirahisi sana,ni kwa nini tunaacha nguvu ndogo na dhaifu kuishinda kubwa?au kuruhusu fikra dhaifu kutawala kubwa.Nchi nyingine hata mkate ukipanda bei kiholela watu wanaingia mtaani.
 
Pale kuna mtu anaitwa Pius Nyambacha ni balaa kwa mulungula .Maana jamaa kwanza ana kampuzi ya fire na mazabe kibao yeye ni engineer na hapo City Fire kuna mtu anaitwa Fikiri naye ni balaa zaidi kwa mulungula sasa kazi kwenu .
 
Watanzania tumekuwa wapole mno,kila tunachoambiwa tunakubali kirahisi sana,ni kwa nini tunaacha nguvu ndogo na dhaifu kuishinda kubwa?au kuruhusu fikra dhaifu kutawala kubwa.Nchi nyingine hata mkate ukipanda bei kiholela watu wanaingia mtaani.

Watanzania waoga, sio wapole.
 
Ndugu wana JF, Jana serikali ya magamba kupitia jeshi la zimamoto wameanzisha mradi wa kukusanya mihela kwa ajili ya uchaguzi ujao, hapa naambatanisha ninachomaanisha ili wote kama bado hamjaona muone.

My Take.

Hivi kwenye suala la zima moto kipi cha muhimu, sticker au Fire extinguisher? maana naona sasa tutakuwa tunalipia sticker kulingana na ukubwa wa gari yaani CC. halafu wanasingizia kuwa kutakuwa kunafanyika inspection pale fire ndo wakupatie hiyo sticker, jamanii huo si wizi mchana kweupe kweli, Hivi ni huduma gani ambayo tunalazimika kulipia kwa gharama zote hizi kama sio kwa ajili ya hela ya kampeni? hivi huo ukaguzi watakuwa wanakagua nini? why all these forces wakati huu?

Nchi hii ni lini wizi na justification za uongo zitaacha? naomba wazalendo tulipigie kelele hili suala.

nawasilisha

Dawa yao ni kuelemisha wananchi "kula CCM lakini kura CDM"".
 
Yani hawa jamaa hadi kula na kulala wataanza kukata kodi! Maana kila sehemu wanakata,je kama silipi hyo 40k watanifanya nini? Je nisipolipia hyo Load license je watanifanya nini? Polisi akanikamata si nampa buku2 tu? Kwanza hawajalipwa mshaara mpaka mda huu hata buku nitampa ataniachia!
 
kamtungi kenyewe kanauzwa 15,000, stiker 40,000 kweli serikal mmepania kutubakisha mifupa. Mimi naamini TULIMNUKUU VIBAYA mh Rais wetu MTUKUFU JK, ule usemi wake wa maisha bora kwa kila Mtanzania! Alikuwa anamaanisha maisha BORA kwa kila FISADI.
 
hilo ni eneo ambalo nao fire staff individually watafaidi baada ya trafic polici kuwa wanakuala pekeyao. mimi ninchoshangaa ukaguzi tuu 40k, hakuna msaaada mwingine. let us all say no to this wizi wa mchana.

hivi kwanza hii sheria ilipitia wapi, au ndo kama ya social security funds?

Hakuna watu bogus kama trfick polisi Tanzania. Ni hovyo, wezi na wenye njaa kali. Kama wanakubali kuhongwa hata 500 na mtu masikini kuna watu hapo. They are simply Breathing things not human naapa
 
kamtungi kenyewe kanauzwa 15,000, stiker 40,000 kweli serikal mmepania kutubakisha mifupa. Mimi naamini TULIMNUKUU VIBAYA mh Rais wetu MTUKUFU JK, ule usemi wake wa maisha bora kwa kila Mtanzania! Alikuwa anamaanisha maisha BORA kwa kila FISADI.

Wanakagua kitu gani kama ni suala la udhibiti wa moto? Kama mtu kuangalia kama una mtungi au huna linagharimu 40000 basi Watz tumeliwa, tunaliwa na tutaliwa hadi tushangae. Its illogical mtungi kuwa ghali kuliko ukaguzi
 
hilo ni eneo ambalo nao fire staff individually watafaidi baada ya trafic polici kuwa wanakuala pekeyao. mimi ninchoshangaa ukaguzi tuu 40k, hakuna msaaada mwingine. let us all say no to this wizi wa mchana.

hivi kwanza hii sheria ilipitia wapi, au ndo kama ya social security funds?

Jamani hata km tutalipa, hicho kikosi cha zimamoto hapo fire kitakidhi kuhudumia magari yote ya hapa Dar?
 
hilo ni eneo ambalo nao fire staff individually watafaidi baada ya trafic polici kuwa wanakuala pekeyao. mimi ninchoshangaa ukaguzi tuu 40k, hakuna msaaada mwingine. let us all say no to this wizi wa mchana.

hivi kwanza hii sheria ilipitia wapi, au ndo kama ya social security funds?

Corruption is authority plus monopoly minus transparency...
Hicho ndicho kilichofanyika kwani kwa ambao hawakuona hilo tangazo kwa sababu zozote zile walishutukia tu road licence zimepanda na baada ya kuuliza wanaambiwa mambo ya fire.

Sticker ya ukaguzi usalama barabarani TZS 3,000 lakini fire TZS 25,000; 30,000 au 40,000 kulingana na cc za gari. Haya wengi wetu tulishakamuliwa bila kukaguliwa na wala kupewa huduma yoyote.

Tunalipa PAYE, na kodi ya kila huduma au manunuzi utakayofanya lakini hatusongi mbele...

Dah, kweli hii ndiyo bongo!
 
kinachonisikitisha ni hao wanaojiita wawakilishi wetu bungeni hususani wa upinzani (wa ccm kwa makusudi siwahesabu coz wanawakilisha matumbo yao na chama) kushindwa kuhoji serikali katika hili. Haiingii akilini eti unakagua stika ya fire badala ya mtungi wenyewe! Ni wazi kwamba wako interested na pesa zetu kupitia stika kuliko huo mtungi, sasa mtu makini atajiuliza kinachozima moto ikiwa la kutokea likatokea ni stika au mtungi?! Mnyika, zitto, lissu tafadhali lisemeeni hili bungeni. Pia kwenye majukwaa kama ya m4c lipueni huu wizi wa wazi directly kwenye mikutano yenu, hili ni rahisi kueleweka hata kwa mwananchi mpanda baiskeli tu! Tafadhali tumieni loop holes kama hizi kugain popularity kwa wananchi.
 
Back
Top Bottom