Mradi wa kufuga kitimoto | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mradi wa kufuga kitimoto

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by Kachanchabuseta, Mar 19, 2010.

 1. Kachanchabuseta

  Kachanchabuseta JF-Expert Member

  #1
  Mar 19, 2010
  Joined: Mar 8, 2010
  Messages: 7,290
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  Natanguriza samahani kwa wale wasiopenda/kutumia kitimoto, WanaJF mimi nataka kuanza mradi wa kufuga kitimoto angalau minimum start wawe 30, ni vitu gani winaitajika tofauti na mtaji mana ninao tayari, Naomba mawazo yenu
   
 2. cheusimangala

  cheusimangala JF-Expert Member

  #2
  Mar 19, 2010
  Joined: Feb 27, 2010
  Messages: 2,590
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  king kuna thread ya maskini jeuri walishaongelea kidogo.
  na mimi nikamshauri atembelee blog moja inaitwa MITIKI ina maelezo mengi saana juu ya swala lako.
  kama inakupendeza itembelee nadhani utapata mwangaza.
   
 3. Kachanchabuseta

  Kachanchabuseta JF-Expert Member

  #3
  Mar 19, 2010
  Joined: Mar 8, 2010
  Messages: 7,290
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  Asante CheusiMangala Ngoja niigoogle
   
Loading...